english

  1. JamiiForums Tanzania The class is big but English is the problem. Kocha wa Yanga amewachana live waandishi wetu, wana maswali lakini hawamuulizi.

    Kiingereza ni lugha yetu rasmi ya Taifa, kwanini waandishi mnashindwa kuitumia kwenye kazi zenu? Tanzania hatuhitaji mkalimani wa kiingereza kwakuwa English inafundishwa kuanzia chekechea, shule za msingi, sekondari hadi vyuoni, kwanini hamjui kuiongea? Wewe mwandishi wa habari bila shaka...
  2. JamiiForums Tanzania Magoda Junior awachana wazazi wanao somesha English Mediums kwa kufuata A+

    Jitahidi Usome Mpaka Mwisho ✅Unatoa milioni 3+ na mtaaluma wa shule kitu pekee anaonyesha kwao ni best ni A+ tena ambazo zimetokana na remedial za kutosha , makambi ,speed test nyingi jua unatapeliwa tu. ✅Nafahamu sio wote watakaonielewa ila katika karne ya 21 ambayo shule ni nyingi sana...
  3. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda's Ian Karlton Muyimba Makes History With Bronze at Global English Speaking Championship

    Uganda's Ian Karlton Muyimba has made history after becoming the first African to finish among the top three at the 2026 International Public Speaking Competition in London. The 18 year old won the bronze medal during the grand final held at the Royal Institution on July 17, finishing behind...
  4. JamiiForums Tanzania PICHA: TRA INATOA POST ZA TIPS ZA ONGEZEKO LA KODI KWA ENGLISH WHY ? WALIPA KODI WENGI NI WASWAHILI

    Cha kushangaza hizi Tips za ongezeko la Kodi mnatoa kwa Kingereza lakini habari zingine zote mnatoa kwa Kiswahili , hii sio sawa !!! Mnahudumia walipa kodi wote Waswahili na hao wa Kingereza
  5. JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu masomo yanayofundishwa sasa hivi ngazi ya Nursery na Primary (Mtaala Mpya - English Medium)

    Habari za majukumu wana-JamiiForums? Naomba msaada wa kufahamu masomo rasmi yanayofundishwa kwa sasa katika ngazi ya Elimu ya Awali (Nursery) na Shule za Msingi (Primary) kwa mfumo wa English Medium. Lengo langu ni kupata uelewa sahihi wa mtaala mpya ili niweze kuwaandaa vizuri watoto wangu...
  6. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda Discussing "Visit Uganda" English Premier League Jersey Sponsorship, to boost inland Tourism.

    The government is in discussions with several English Premier League clubs over a potential jersey sponsorship arrangement that would see the 'Visit Uganda' brand featured prominently on match kits, in a move aimed at boosting the country’s global tourism visibility. The strategy mirrors...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Oral Interview ni English au Swahili

    Interview za Ajira portal ni lugha gani inatumika
  8. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Kuna mazingira ya ukiukwaji wa taratibu za udahili kwa Shule ya Nyanza English Medium (Mwanza)

    Napenda kutoa taarifa hii ili kufichua vitendo vya urasimu na ukiukwaji wa taratibu katika zoezi la utoaji wa nafasi za kujiunga na Shule ya Nyanza English Medium kwa Mwaka wa masomo 2026, hususan kwa Madarasa ya awali na Darasa la Kwanza. Awali, uongozi wa shule hiyo ya Serikali ambayo...
  9. JamiiForums Tanzania Zimebaki siku chache yule jamaa aanze kuwaambia kuwa mnaharibu pesa kupeleka watoto wenu english mediums

    "mimi watoto wangu wote wanasoma asante mkapa., hizi EMs ni utapeli."
  10. H

    JamiiForums Tanzania English tribute to a deceased loved one. (From English learner)

    Dear Love I know you cannot read this now (may be you can, I don't know), Its been few days since you left us, in the most sudden , shocking and unpredictable way. I am still not able to comprehend and believe that you are actually gone. You were a very important part of my life, and though we...
  11. JamiiForums Tanzania Serikali ifanye uhakiki kwenye Shule za English medium huko ndio jiko la kuwavua uzalendo vijana

    Inawezekana tunajiuliza vijana wetu wametoa wapi hulka za ajabu ajabu? Jibu ni kuwa tumeiuwa taasisi ya familia kupitia ratiba mbovu za shule hususani english media. Watoto wanakesha shule lakini wengi wa walimu wametoka nje ya nchi wamekuja kutufundishia mambo ya ajabu kwa watoto wetu. Wizara...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kenya kapigwa goli 3-1 na Gambia, English haijawasaidia

    English iwasaidie basi waweze ku qualify world cup
  13. B

    JamiiForums Tanzania Maajabu na kweli: Walimu wa English Course wanaendesha magari ila walimu wa Mathe hawana hata baiskeli

    Miaka ya elfu 2 kumi kulikuwaga na mzee mmoja mtaani kwetu nyumbani kwake alikuwa ana banda ameajiri vijana wanafundisha English kwa watu mbalimbali na matangazo yake y alikuwa ya kubandika kwenye nguzo alikuwa ana tuma watu wake wanabandika nadhani wilaya yote ya Kinondoni plus Ubungo.. Mzee...
  14. JamiiForums Tanzania Karibu Tujifunze Kichina (Chinese to Swahili, Chinese to English, English to Chinese, Swahili to Chinese)

    Karibu kwenye uzi huu maalum wa kufundisha lugha ya Kichina (Mandarin). Kupitia uzi huu, CHUO CHA MAWAZO YA BIASHARA tutakuwa tukifundisha lugha ya Kichina hatua kwa hatua kuanzia mwanzo hadi mwisho. Tutapitia mambo yafuatayo: 1. Utangulizi wa Lugha ya Kichina: alfabeti ya Kichina (Pinyin)...
  15. JamiiForums Tanzania Je, ni salama kiasi gani kumsomesha mtoto shule za english medium?

    Kesi nyingi za ubakaji Tanzania zinawekwa kapuni na polisi. Kama zingetangazwa zote wananchi mngeogopa. English medium schools na madrassa ya Elimu akhera kuna mambo ya hovyo sana. Je, nini kifanyike kudhibiti haya?
  16. JamiiForums Tanzania “Your English is so good”, Trump amwambia Rais wa Indonesia

    Jana wakati Rais Trump alipokutana na baadhi ya viongozi wa nchi za Afrika Magharibi, alimsifia Rais wa Liberia kwa kuongea Kiingereza kizuri. Maneno hayo ya Trump yamezua mjadala. Kuna wanaodai Trump alionyesha dharau. Kuna wanaodai Trump alionyesha ujinga wake kwa sababu Liberia lugha rasmi...
  17. JamiiForums Tanzania JF DIALOGUE: Tag & Start A Dialogue With Anyone Here But Only In English Language

    Lucas Mwashambwa I heard a rumour that you have painted your bedroom green and yellow in respect of your party's theme colours min -me Which one among these is okey? "I am sick of malaria" or "i have malaria" ? Kiranga If i were to get a chance to sit down with you and you allow me to ask...
  18. JamiiForums Tanzania Broken English wakati wa faragha

    Mini huwa nakerwa sana na mademu ambao huwa wana act kuongea broken English wakati wa kufanya mapenzi, kwanini ? Kwani hamfahamu kuwa mimi nimekupenda wewe kama wewe na hiyo rafudhi yako ya Kisukuma ? sasa kwanini una spoil game kwa ku-switch to a broken English ? Tafadhali kina dada acheni...
  19. E

    JamiiForums Tanzania Walimu wa English Language na Literature wenye GPA ya 3.8 fanyeni Masters za Linguistics/Literature Kuna uhaba.

    Wakuu nimekuwa nikifanya utafiti wa kwenye masomo husika naona hakuna wataalam juu sababu ni kwamba walio juu hawataki wenzao kufika huko hasa ndugu zetu wa Mlimani. Ushauri wangu soma vyuo hivi: 1.MA in Linguistics SAUT Mwanza (Evening/Weekend mode)- Ukiwa lake zone. Ada M 5,56660 Total...
  20. JamiiForums Tanzania My English Learning Diary.....Est: Wed, June 2025

    Gm GTs... I have chosen opening this thread because I want sophiticating my English writing muscles, along side speaking that in a way I can speak though in no way I want be, but I got ways am fabricating it so I reach the apex of its mastery, formally and informally...am the fresh youth and...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…