engineering

Engineering is the use of scientific principles to design and build machines, structures, and other items, including bridges, tunnels, roads, vehicles, and buildings. The discipline of engineering encompasses a broad range of more specialized fields of engineering, each with a more specific emphasis on particular areas of applied mathematics, applied science, and types of application. See glossary of engineering.
The term engineering is derived from the Latin ingenium, meaning "cleverness" and ingeniare, meaning "to contrive, devise".

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ipi ni Marketable kati ya Electrical and Hydropower engineering Vs Civil engineering

    Hello wakuu, Naomba msaada nimehitimu kidato Cha nne kwaka Jana 2020 na kupata grade C flat na nataka niingie college Je, kati ya course mbili hizi civil na electrical & hydro power engineerings niipi iko marketable hapa Tanzania ngazi ya diploma Note; Electrical and Hydropower engineering ni...
  2. JamiiForums Tanzania Hawa Beiging Engineering Company niliowasikia kwenye taarifa ya habari jana ndio wa kina nani?

    Habari wadau! Anayewajua hawa wa wachina jamani
  3. JamiiForums Tanzania 26 Job Opportunities At China Civil Engineering Construction Company, April 2021

    Discipline: Architecture 1. Position Title: Architecture Designer 2 Posts Location of Work: Mwanza or Shinyanga Requirement for Experience: 3 years experience in Architecture relevant work as minimum Discipline: Electrical 2. Position Title: Power supply Designer 2 Posts Location of Work...
  4. JamiiForums Tanzania Wajuaji naomba kufahamu je board ya engineering inaundwa na majina gani?

    Habari wadau! Nilikuwa nataka kujua je board ya wahandisi au engineering (ERB) inaumdwa na watu wangapi na majina yao kama yapo..! Je yule mzee Dokta wa Civil engineering pale Kilimani mwenye kuingia na camera kama camera man ili ukicheat tu anakupiga picha anaposimamia mithiani yupo kwenye...
  5. JamiiForums Tanzania TRAFFIC ENGINEERING: Ni vigezo gani huzingatiwa katika kufanya maamuzi ya kufunga "traffic lights" au kuweka "roundabout" kwenye makutano ya barabara?

    Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa hapa jamiiforums. Ndugu zangu watanzania (Traffic Engineers) eti; Ni vigezo gani vya kitaalam huzingatiwa na engineers katika kufanya maamuzi ya kufunga "traffic lights" au kuweka "roundabout" kwenye makutano ya barabara za mijini? (1) Kama...
  6. JamiiForums Tanzania Kitabu hiki hapa: Advanced Engineering Mathematics 10th Edition By ERWIN KREYSZIG (pdf)

    Ni kwa ajili ya watoto wote wanaosoma degree za B.Sc. Engineering.... na B.Sc. (Mathematics,....) MUBARIKIWE NA BWANA
  7. JamiiForums Tanzania Natafuta ajira, nina shahada ya uhandisi wa uchimbaji madini (Bsc Mining Engineering) nina uzoefu wa miaka 3

    Habari wana jamii, natafuta ajira yeyote inayohusiana na maswala ya madini. Elimu yangu ni shahada ya uhandisi wa uchimbaji madini(Bsc Mining Engineering), nimesajiliwa ERB kama graduate engineer, nina uzoefu wa miaka mitatu nimefanya kazi quarry mine na gypsum mine, na uwezo wa kutumia design...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Naombeni kujuzwa nawezaje kupata Scholarship ya kusoma Msc. in Civil Engineering Canada na USA

    Habari za leo wadau Great Thinkers, Sasa leo naombeni mnipe mwonozo maana nimechoka kugoogle mimi nimehitimu degree in civil engineering mwaka 2018 na nina GPA ya 3.1 na hapa nina wadau wangu wanaoishi USA na Canada, sasa wamenipa ofa nifanye application nione kama naweza kupata chap USA na...
  9. JamiiForums Tanzania Engineering surveyor at Photomap

    Position title Engineering surveyor Introduction Tanzania Photomap Limited specializes in Aerial photography, Engineering surveys, Orthophoto /DTM , Line / Vector mapping and hydrographic surveys, the company is based in Moshi, Tanzania. Tanzania Photomap Limited intends to recruit qualified...
  10. JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kuweza kupata ajira au internship

    Habari zenu wakuu, Mimi ni graduate mechanical engineer. Naomba msaada wa kuweza kupata ajira au internship. Natanguliza shukrani za dhati kwenu.
  11. E

    JamiiForums Tanzania Maswali na Majibu, Questions and Answers (Science, Engineering, Accounting and Management)

    Habarini za leo ndugu na marafiki. Uzi huu utakua maalumu kwa maswali na majibu, ya science, engineering, accounting na management. Nimeandaa maswali na majibu mengi tu ambayo yanafaa kwa uma wa Watanzania kwaajili ya kujifunza mambo mbalimbali. Natumai sasa ndugu na marafiki wataweza kupata...
  12. JamiiForums Tanzania Naweza nikasoma Computer Engineering baada ya kuhitimu IT ngazi ya cheti?

    Kiukweli napenda sana kusoma Computer Engineering kutoka moyoni ila sikuweza kusoma sayansi o-level pia sikuweza kupata ufaulu mzuri nilipohitimu kidato cha nne. Nimepata D - 5 zote za Sanaa. Swali langu naweza nikasoma Computer Engineering baada ya kuhitimu IT ngazi ya cheti.
  13. JamiiForums Tanzania Hatimae Jombi kamaliza salama shahada uhandisi Mitambo (Mechanical engineering)

    Wakuu wangu shikamoo zenu. I'm super excited kwanza. Mdogo wenu Jombi nimefanikiwa kumaliza Salama degree yangu ya uhandisi. Nakumbuka miaka 4 iliyopita mlinishauri vizuri sana Mdogo wenu kuhusu haya mambo ya shule . Kwa kuwa na Mimi nimemaliza salama basi nitashare experience yangu ya...
  14. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Likoni Floating Bridge: Kenya's Engineering Marvel

    An artists impression of a floating bridge. The Kenya National Highways Authority (KeNHA) on Sunday, September 13, released an illustratory video of Kenya's first floating bridge under construction at the Likoni Channel. Dubbed the Likoni Floating Bridge, the mega project is estimated to cost...
  15. I

    JamiiForums Tanzania Kada ya Engineering, ualimu Tamisemi

    Wakuu naomba tupeane tips jins ya kuomba hizo ajira za ualim kwa sisi wa kada ya engineering. Nimeona kwenye tangazo kua tuta ajiriwa kama walimu daraja la 111b kwa wenye astashahada na 111c kwa wenye shahada za civil, electrical na mechanical. Naomba tupeane elimu kidogo tunaombaje ombaje...
  16. U

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kati ya Bachelor Degree ya Air transportation and management operation na bachelor degree ya Air Craft and Maintanance Engineering

    Habari wakuu? Kati ya kozi ya Bachelor degree ya Air transportation and management operation na bachelor degree ya Air Craft and maintanance Engineering Hizo kozi naombeni ushauri zinatolewa bila shaka NIT, ni ipi kozi nzuri na isioumiza kichwa!
  17. JamiiForums Tanzania Soko la Network Engineering Tanzania

    Wadau naomba ushauri juu ya soko (kwa upande wa ajira) mimi nasoma Bachelor of Computer Engineering, MUST, siko interested sana na coding. Nafkiria kuspecialize na Network & System Administration kwenye suala la ajira iko vp hii? Na ni sector zipi zina uhitaji wa ao watu wa network?
  18. JamiiForums Tanzania Engineering Superintendent at Geita Gold Mining Ltd (GGML)

    Overview Geita Gold Mining Ltd (GGML) is Tanzania’s leading gold producer with a single operation in Geita Region. The company is a subsidiary of AngloGold Ashanti, an international gold producer headquartered in South Africa, with operations in more than ten countries, in four continents. The...
  19. JamiiForums Tanzania BSc. Petroleum Chemistry Vs BSc. Petroleum Engineering. Ni kozi ipi ina uwanja mpana wa Ajira?

    Habari za Leo wakuu, Naombeni kuuliza kati ya hizo kozi mbili tajwa ni ipi ina uwanja mpana wa ajira kwa hapa Tanzania? Na ni ipi ipo wide? Natanguliza shukrani.
  20. JamiiForums Tanzania Baadhi ya fani zenye ajira kubwa Duniani: Wazazi somesheni watoto nje Degree za Cyber Security na Aeronautical Engineering

    Kuna degree Tanzania hamna ila zina soko sana duniani, vijana wa PCM zinawafaa. Wazazi, mkiwa na pesa na mkiwa na watoto wazuri waliofaulu vizuri PCM pelekeni Ulaya au Marekani wakasome degree za Cyber Security na Aeronautical Engineering. Ni baadhi ya hot cake degrees, dunia nzima inawataka.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…