Hatimae Jombi kamaliza salama shahada uhandisi Mitambo (Mechanical engineering)

jombi95

JF-Expert Member
Jul 24, 2016
1,404
2,156
Wakuu wangu shikamoo zenu.

I'm super excited kwanza.

Mdogo wenu Jombi nimefanikiwa kumaliza Salama degree yangu ya uhandisi. Nakumbuka miaka 4 iliyopita mlinishauri vizuri sana Mdogo wenu kuhusu haya mambo ya shule .

Kwa kuwa na Mimi nimemaliza salama basi nitashare experience yangu ya maisha ya chuo ili ndugu zetu wanaoenda chuo wapate cha kujifunza pia kama ambavyo Mimi nilijifunza kutoka kwenu.

MY LIFE AT THE HILL(UDSM)

1. Coet Life.
Maisha ya Coet yanachangamoto zake kikubwa stress za masomo na wale wazee huwa hawacheki na kima ukikaa vibaya unaliwa kichwa kiutani utani.Mdogo wenu pamoja na kupata vi ONE vyangu huko nyuma nilikotoka(O level na A level) lakini pale mjini coet nilichezea sup za kutosha sana . First year nilipata Supp 1, second year 3(hapa ilibaki kidogo ninikajiongeza bana Watoto wazuri wa chuo year nilipata moja na hii 4th year alhamdullilah nimepita Salama.

2. Biashara na Shule.
Wakuu kama mjuavyo miaka hii ajira zinasumbua so ukiwa chuo lazima na wewe ufanye biashara kidogo ili ukimaliza chuo upate pa kuanzia ila kwa upande wangu mambo yaliniendee kombo biashara zilitaka kunitokea puani mana zilikuwa zinakula mda wangu sana ukijumlisha na madude Yale ya Mechanical basi tabu niliipata .Nikaaamua kuachana na biashara ya kununua na kuuza nikaamua bora nianze kukopesha pesa kwa riba(hapa kidogo nilipata faida ingawa changamoto zilikuwepo pia)

Ushauri wangu: Wewe kijana ambae ndo unaenda chuo kama unania ya kufanya biashara na shule basi hakikisha semester moja unaitumia kusoma mazingira ya shule kwanza na uzito wa masomo unayosoma na ujipime na kichwa yako.Je utaweza kuhimili mikimiki yake.. Ukikurupuka utakosa vyote .

3. Jombi na Mapenzi.

Oya chuo kuna watoto wazuri bana.

Miaka yangu miwili ya kwanza 1st and 2nd year nilitongoza mademu kinoma si unajua Mihemko ya advance(uboyzin ) bado ilikuwa haijaniisha na nilikuwa nakataliwa kinoma hadi nilikuwa najihisi Nina gundu ila baada ya kujua watoto wa chuo wanataka vitu gani basi mambo yakawa mpwito mpwito nikigusa tuu hii hapa.

Daaah nimechoka kuandika mazee.
 
Umechoka kuandika, umechoka kutusimulia, au umechoka kutushukuru?
Engineer gani wewe unateanza project ambayo huujui mwisho wake?
Wewe ndio nikuletee IST yangu ya mkopo kweli
Kwa hiyo? punguza Ushamba!
Nenda kafanye registration ERB kisha urudi uandike uzi vizuri
Kwa hiyo unataka sisi tufanyeje mkuu?
mbona wa2 wa jf wana jazba kias hik.....yaan ukileta habar nzur wanakasirika ukija kuwaambia umepigwa kibuti utatukanwa mpk ukome

Shida ni nn wanajf au ndo ugreat thinker???
 
Shida ni kudai kuwa unechoka kuandika na kuacha maswala mengine bila kumalizia hivyo sisi kama Magreat thinkers tumeona;
Unaleta utoto
Hauko serious
Umetupotezea muda.
 
Wakuu wangu shikamoo zenu.

I'm super excited kwanza.

Mdogo wenu Jombi nimefanikiwa kumaliza Salama degree yangu ya uhandisi. Nakumbuka miaka 4 iliyopita mlinishauri vizuri sana Mdogo wenu kuhusu haya mambo ya shule .

Kwa kuwa na Mimi nimemaliza salama basi nitashare experience yangu ya maisha ya chuo ili ndugu zetu wanaoenda chuo wapate cha kujifunza pia kama ambavyo Mimi nilijifunza kutoka kwenu.

MY LIFE AT THE HILL(UDSM)

1. Coet Life.
Maisha ya Coet yanachangamoto zake kikubwa stress za masomo na wale wazee huwa hawacheki na kima ukikaa vibaya unaliwa kichwa kiutani utani.Mdogo wenu pamoja na kupata vi ONE vyangu huko nyuma nilikotoka(O level na A level) lakini pale mjini coet nilichezea sup za kutosha sana . First year nilipata Supp 1, second year 3(hapa ilibaki kidogo ninikajiongeza bana Watoto wazuri wa chuo year nilipata moja na hii 4th year alhamdullilah nimepita Salama.

2. Biashara na Shule.
Wakuu kama mjuavyo miaka hii ajira zinasumbua so ukiwa chuo lazima na wewe ufanye biashara kidogo ili ukimaliza chuo upate pa kuanzia ila kwa upande wangu mambo yaliniendee kombo biashara zilitaka kunitokea puani mana zilikuwa zinakula mda wangu sana ukijumlisha na madude Yale ya Mechanical basi tabu niliipata .Nikaaamua kuachana na biashara ya kununua na kuuza nikaamua bora nianze kukopesha pesa kwa riba(hapa kidogo nilipata faida ingawa changamoto zilikuwepo pia)

Ushauri wangu: Wewe kijana ambae ndo unaenda chuo kama unania ya kufanya biashara na shule basi hakikisha semester moja unaitumia kusoma mazingira ya shule kwanza na uzito wa masomo unayosoma na ujipime na kichwa yako.Je utaweza kuhimili mikimiki yake.. Ukikurupuka utakosa vyote .

3. Jombi na Mapenzi.

Oya chuo kuna watoto wazuri bana.

Miaka yangu miwili ya kwanza 1st and 2nd year nilitongoza mademu kinoma si unajua Mihemko ya advance(uboyzin ) bado ilikuwa haijaniisha na nilikuwa nakataliwa kinoma hadi nilikuwa najihisi Nina gundu ila baada ya kujua watoto wa chuo wanataka vitu gani basi mambo yakawa mpwito mpwito nikigusa tuu hii hapa.

Daaah nimechoka kuandika mazee.
Ndo maana kazi za ujenzi wanapewa Wachina. Yaan Engineer ndo mbabaishaji hv?
 
Shida ni kudai kuwa unechoka kuandika na kuacha maswala mengine bila kumalizia hivyo sisi kama Magreat thinkers tumeona;
Unaleta utoto
Hauko serious
Umetupotezea muda.
Mmeuchukulia serious sana uzi wake kuliko matarajio yake
 
mbona wa2 wa jf wana jazba kias hik.....yaan ukileta habar nzur wanakasirika ukija kuwaambia umepigwa kibuti utatukanwa mpk ukome

Shida ni nn wanajf au ndo ugreat thinker???
Uzuri wa hii habari ni nini? Alianza kuonesha busara kwa kushukuru, japo ukifikiri kwa undani, utaona ni unafiki, kwani yeyote hapa JF, hakumfanyia mitihani ya kidato cha sita hadi kufaulu, hakumchagulia cha kusoma wala hawakumchagua huko alikoenda kusoma na zaidi hawakumsomea mpaka kamaliza.

Angetuarifu amemaliza, wajibu wetu ukabaki kumpongeza. Angetoa ushauri kwa wengine kwa kuweka mifano yake ya aliyopitia, na kuwaasa wazingatie kilichowapeleka chuoni na sio kufanya ulimbukeni.

Sasa nampongeza kwa kuwa Mhandisi, nakumtakia kila la Kheri mtaani, na yale ya biashara na ngono ambayo hayakuwa mahali muafaka kufanywa akiwa chuoni, sasa amefika mahala na wakati wa kuyafanya. Namtakia mafanikio zaidi!
 
mbona wa2 wa jf wana jazba kias hik.....yaan ukileta habar nzur wanakasirika ukija kuwaambia umepigwa kibuti utatukanwa mpk ukome

Shida ni nn wanajf au ndo ugreat thinker???

Umekuja kwa ID nyingine sasa rudia kusoma na uelewe Thread yako/yake ni ya Kishamba imejaa dharau, kejeli na ambayo mwisho wake ni utoto mtupu Watu wazima unaambia "6
nimechoka kuandika" utadhani tulikutuma au tumekuomba utuandikie.
Haya tumeelewa umemaliza Chuo, tukusaidieje?
 
Back
Top Bottom