engineering

Engineering is the use of scientific principles to design and build machines, structures, and other items, including bridges, tunnels, roads, vehicles, and buildings. The discipline of engineering encompasses a broad range of more specialized fields of engineering, each with a more specific emphasis on particular areas of applied mathematics, applied science, and types of application. See glossary of engineering.
The term engineering is derived from the Latin ingenium, meaning "cleverness" and ingeniare, meaning "to contrive, devise".

View More On Wikipedia.org
  1. Papaah

    Biomedical Engineering (DIT) vs Electrical and Biomedical Engineering (Arusha Tech)

    Salaam wakuu, Kwa ujuvi wa mambo, ukiwa na lengo la kua Biomedical Engineer mzuri kibongo bongo lipi ni chaguo sahihi zaidi hapo juu? Nawasilisha...🙏
  2. Vuitton_7

    Natafuta Kazi, nina BSc in Metallurgy and Mineral Processing Engineering.

    ‎Habari Member wa Jf ‎Mimi ni Kijana kutokea Mbeya (29) nina Shahada ya Uchakataji na Uchenjuaji Madini ‎(Metallurgy and Mineral Procesing Engineering) ‎ ‎Ambapo naweza kufanya kazi kwenye: ‎- Plants za uchenjuaji (kama operator), Viwandani pamoja na kwenye maabara za madini. ‎ ‎Pia nina ujuzi...
  3. The_CivilEngineers_Hub

    5 Main Types of Civil Engineering Specialization in Tanzania!

    Kuna Swali Watu Wanajiulizaga Mtaani Watu Waliosoma Civil Engineering.. Ni Wahandisi Ndio Lakini Wanajihusisha Na Nini Haswa.? Civil Engineering Ni Uhandisi Unaojihusisha na Kudesign, Kujenga na Kufanya Maboresha/Marekebisho Ya Miundombinu Yote Inayotumika na Wanadamu! Civil Engineering Ni...
  4. A

    KERO Waliosoma BACHELOR OF SCIENCE IN INDUSTRIAL ENGINEERING MANAGEMENT – Mzumbe hakuna ajira zao zinazotangazwa

    Mamlaka iliyoanzisha Kozi hii ya BACHELOR OF SCIENCE IN INDUSTRIAL ENGINEERING MANAGEMENT katika Chuo Kikuu Mzumbe Morogoro. Sioni nafasi zikitangazwa kutoka Serikalini ingali kila mwaka wanachuo wanazidi kuhitimu na kurundikana mtaani pila kujua hatima yao wapi watatumia elimu yao waliyoipata...
  5. Ubuju

    KERO Changamoto ya vifaa vya kufundishia kwa course ya Ordinary Diploma in Heavy Duty Equipment Engineering inaferisha vijana kwenye soko la ajira

    Habari wakuu, Course ya Ordinary Diploma in Heavy Duty Equipment Engineering inayotolewa katika chuo cha ufundi arusha (ATC) ambayo ina miaka 5 toka iyanzishwe inapitia magumu sana kwa wanafunzi wanayosoma kwasababu hakuna mitambo ya kujifunzia uliopo ni fuvu tu haifanyika kama ilivyo hapo...
  6. A

    KERO Course ya Ordinary Diploma in Heavy Duty Equipment Engineering kutokuwepo kwenye mfumo inatukosesha kazi

    Kuna changamoto katika waombaji wa kazi katika mfumo wa ajira.go.tz kutokubaliwa na mfumo na ikitokea ukiitwa interview wakaguzi hawaturuhusu kufanya usaili. Tulivyouliza shida ni nini jibu toka utumishi ni kuwa chuo kitume maombi ya kutambulisha course kwenda utumishi na jambo hilo...
  7. cocastic

    Mtaalamu wa masuala ya computer science na software engineering anahitajika

    Hey Wana JF Nina uhitaji wa mtu mwenye ujuzi wa computer science na software engineering. Awe na weledi katika masuala haya. Blogs, Apps, Logos designs, Wallpapers, Photography, Broadcasting Network. Muhusika mwenye sifa tajwa na mwenye utayari, naomba aje PM. kwa mawasiliano zaidi. .....
  8. B

    Naomba msaada ipi ni kozi bora zaidi Kati ya civil engineering na geomatics Kwa level ya degree

    Habari za muda huu wadau wa JamiiForums, Naomba mwenye uelewa zaidi kwa kozi ya civil engineering na geomatics anisaidie kufanya comparison Kwa nyanja mbalimbali. Mfano marketability, ushindani , ugumu wa masomo na kazi ,Fursa za ajira ( kujiajiri na kuajiriwa pia) na Mishahara ya kazi...
  9. P

    Computer engineering vs Computer science

    Je,course ya computer engineering ina dili nchini au Africa kama ilivyokuwa computer science?
  10. C

    Dirisha la usajili kwenye vyuo vinavyo toa ordinary diploma in electrical engineering lipo wazi?

    Samahani kwa anayejua kuhusu mwenendo wa dirisha la usajili kwenye vyuo vinavyotoa ordinary diploma in electrical engineering, naomba kujua kama bado nina muda wa kutuma maombi au muda umeshaisha saivi.
  11. Sales man

    Kijana Emmanuel aliyemwaga chozi akilalamika kuwa amesoma Electronic Engineering lakini hapati kazi leo amemtambulisha mke wake

    Kijana Emmanuel aliyemwaga chozi akilalamika kuwa amesoma Electronic Engineering lakini hapati kazi leo amemtambulisha mke wake
  12. A

    KERO TANROADS Engineering Consulting Unit (TECU) mambo shaghala baghala

    TECU ni moja lakini kila Meneja wa Mkoa anafanya anavyojua na Chief Eng. Mwandambo hajui hata kinachoendelea. Napenda kuuliza kwanini wafanyakazi wa TECU kwenye miradi mikoa mingine wanalipwa kila mwezi na mikoa mingine wanadai hadi miezi 9? Mikoa mingine hawakatwi kwenye responsibility/site...
  13. Titleless leader

    Biomedical engineering

    Naomba kujuzwa kuhusu kozi ya biomedical engineering,,, Soko lake la ajira lipoje
  14. Engineer izaq

    Sehemu bora ya field Electrical engineering

    Habari, Me ni mwanafunzi wa DIT ktk fani ya Electrical Engineering, kwa sasa Nipo week ya kwnz ya Field hapa Azam(Tazara/Dsm)... ila changamoto ninayo iona apa hakuna zile kazi nikaongeza knowledge hata kdg, mda mwingi tunakaa tu. Naomba msaada sehem bora kwny Field hii ya umeme, niondoke apa!
  15. C

    Je, naweza kujiunga na Diploma ya Electrical Engineering?

    Mimi nimehitimu mafunzo ya ufundi umeme level 3 nilikuwa naukiza kama naweza kujiunga na mafunzo ya electrical engineering ngazi ya diploma
  16. X

    Chuo cha St Joseph University cha Dar kinafaa kusoma Engineering?

    Wakuu mm ni mgeni humu Jamii Forums na hii ndo thread yangu ya kwanza kuandika. Nina shida moja, mm ni mhitimu wa kidato cha sita mwaka huu na nimesoma PCM nimepata Division II ya 10 Physics D Chemistry C Mathematics C Sasa ndoto yangu ni kusoma Mechanical Engineering na hii ndo iko moyoni...
  17. E

    Tofauti gani kati bachelor of computer science na bachelor of science in computer science in software softwere engineering?

    Mimi nimwajiriwa Nina stashahada ya Ualimu (physics & mathematics) nataka kwenda kusoma mwaka huu course ya TEHAMA, Wakuu naomba kujua utofauti wa course ya bachelor in computer science Na Bachelor of science in computer science in software engineering
  18. bob_fundi

    Anayejua kwa undani bachelor of plumbing and services engineering

    Habari wana jf nimeona kozi mpya chuo cha maji pale ubungo. Wameanza kutoa bachelor in plumbing and service engineer naombeni msaada kwa anayeijua vizuri fursa zake au changamoto zake
  19. W

    Ni kwa nini degrees na diploma za IT zinazidi kukosa soko kwenye ajira zisizo na connection, kipaumbele ni computer science na computer engineering ?

    IT iliwahi kuwa kozi yenye dili sana lakini sikuhizi imekuwa haipewi kipaumbele, ajira nyingi wana prefer kushortlist computer rngineering na computer science
  20. S

    ICT vs water supply Engineering vs Agriculture

    Hello wanajukwaa. Naombeni ushauri wenu kulingana na uzoefu wenu wataalamu. Nina mdogo wangu kamaliza kidato Cha nne mwaka jana, amepangiwa Kozi ya ICT chuo Cha Taifa Cha usafirshaji. Mimi nilitamani sana asomee mambo ya maji hasa kozi ya Water supply engineering au pump mechanic engineering...
Back
Top Bottom