eneo

  1. JamiiForums Tanzania Kati ya igunga au Tanga ni eneo gani linafaa zaidi kwa mfanyakazi kuishi muda mrefu

    Kati ya Igunga na Tanga, ni eneo lipi linafaa zaidi kwa mfanyakazi kuishi kwa muda mrefu? Tafadhali linganisha maeneo haya ukizingatia vigezo vifuatavyo: Maisha nje ya kazi (quality of life). Fursa za shughuli za kiuchumi na biashara. Utulivu na usalama wa mazingira. Upatikanaji wa huduma za...
  2. JamiiForums Tanzania Sikugonga Kitu Chochote, Lakini Nilipata Ajali: Simulizi ya Tukio la Kushangaza Lililonibadilishia Eneo la Kazi

    AJALI NILIYOIPATA NJIANI: SOMO KWA MADEREVA WOTE Utangulizi Tarehe 15/06/2026 ni siku ambayo sitaisahau kwa urahisi katika maisha yangu. Nilipata ajali ya pikipiki katika eneo la Butinzya nikiwa safarini kuelekea Ushirombo kutoka Katoro. Kilichonishangaza zaidi siyo ajali yenyewe, bali mazingira...
  3. JamiiForums Tanzania Shamba la Ekari 2 linauzwa. Lipo Masugusugu eneo linaitwa Saeni

    Shamba zuri lenye ukubwa wa ekari mbili linauzwa. Shamba liko Saeni Misugusugu Kibaha maarufu kama Zogowale. Linakaribiana na maeneo ya uwekezaji wa viwanda hivyo ukinunua unakuwa umejiwekea hazina. Kila ekari moja inauzwa kwa bei ya shilingi milioni 25. Kwa mawasiliano zaidi njoo DM
  4. JamiiForums Tanzania Nashauri serikali itenge eneo hata la hekari 700 pajengwe ukuta ambapo raia hawataingia kizembe then kifanyike kilimo cha zao la Bangi kisasa.

    na watu binafsi pia wapewe vibali waanze kilimo hicho kuwepo na mashamba darasa, Zao la Bangi likishaa komaa na kukaushwa liwe processed kidogo then lipelekwe nje direct kwenye viwanda vya madawa ya binadamu. Tz mapori ni mengi sana
  5. JamiiForums Tanzania Kama uko nje ya mji, eneo ambalo mji unajengeka, Fanya biashara ya kukodisha mbao

    Fanya biashara ya kukodisha mbao za linta, Majukwaa Kwa ajili ya kujengea, Fox, Mapipa ya kuwekea maji Kodisha mpaka machepe, Suluku, majembe nk Changamoto yake kubwa utakayoipata ni mafundi kukata mbao ndefu. Kuitatua hiyo changamoto nenda saiti fundi apime vipande vyote anavyohitaji nenda...
  6. J

    JamiiForums Tanzania KERO Wakazi Kimara Temboni (Mtakuja) tuna changamoto ya upatikanaji wa Maji. Yapata wiki ya tatu sasa hatuna maji

    Wakazi wa Eneo la Kimara Temboni mtakuja Tunapata shida ya Maji yapata sasa ni week ya tatu Maji hatuna .Ratiba ilikuwa kila jumamosi tena wanatoa Maji kuanzia saa kumi usiku na ikifika saa kumi na mbili maji yanakatika . Watu wanateseka sana. Tunaomba mamlaka husika itufikirie sisi wakazi wa...
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Eneo la Buswelu Center - Mwanza tuna tatizo sugu la kukatika kwa umeme, tumeripoti TANESCO ila hata hatuwaelewi

    Ningependa kuwasilisha malalamiko yangu kuhusu tatizo sugu la kukatika kwa umeme katika eneo la Buswelu Center, jijini Mwanza. Kwa muda wa zaidi ya miezi sita sasa, kumekuwa na changamoto kubwa ya kukatika kwa umeme mara kwa mara, hasa nyakati za jioni (kuanzia saa 12 hadi saa 2 usiku). Tatizo...
  8. R

    JamiiForums Tanzania EPZA Tanga wekeni ramani ya eneo lenu iwe public kuwasaidia watu kutotapeliwa

    Kuna mgogoro mkubwa unaendelea katika eneo linalodaiwa kuwa la EPZA huko Tanga. Tatizo linatokana na wamiliki wa zamani baada ya kulipwa fidia kuwauziawageni wasiojua kuwa eneo hilo ni la EPZA . Worse still Mwenyekiti wa Dogodogo amehusika pakubwa kuwatapeli wanachi kama Mwenyekiti wa.mtaa wa...
  9. JamiiForums Tanzania Biashara ya uuzaji dhahabu feki inavyochangia wanafunzi wengi kuacha masomo na kupoteza maisha katika umri mdogo hapa Bunda na hasa eneo la uswahilin

    Nakumbushia tu siyo kwa ubaya.Niliwahi kutoa maandiko zaidi ya manne nikionyesha jinsi biashara ya uuzaji dhahabu feki ilivyoathiri maendeleo ya wanafunzi mashuleni na kujikuta wamelowea kwenye biashara hiyo na kuacha masomo.Matokeo yake wengi wamepata vilema kwa vipigo,na baadhi kupoteza...
  10. JamiiForums Tanzania Kiwanda cha Metafrax Chemicals katika eneo la Perm nchini Urusi chashambuliwa na Drones za Ukraine!!

    Ndege zisizo na rubani za Ukraine za masafa marefu zilishambulia kiwanda cha Metafrax Chemicals katika eneo la Perm nchini Urusi, takriban kilomita 1,700 kutoka mpaka wa Ukraine, katika mojawapo ya operesheni za ndege zisizo na rubani za Ukraine zilizoripotiwa kushambulia ndani zaidi eneo la...
  11. JamiiForums Tanzania Ni eneo gani la kazi kwa maoni yako linaongoza kwa kuona warembo/watu wapya kila siku mpaka mtu anaingia kazini na furaha ya ajabu?

    Kuna baadhi ya maeneo ya kazi ukiajiriwa tu unaanza kuamini dunia bado ina furaha. Sio kwa mshahara kwanza… bali mazingira yenyewe yanakuwa kama series isiyoisha kuhusu “uhamiaji wa viumbe wazuri” Mfano maeneo ya vyuo vikuu… aisee huku ni kama Serengeti migration. Kila mwaka linaingia...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Tazama Eneo ambalo Kilipokutwa kicha cha James Temba

    Tazama Eneo ambalo Kilipokutwa kicha cha James Temba, ni yule aliokotwa mto Msimbazi akiwa anaelea huku amekatwa Kichwa
  13. A

    JamiiForums Tanzania KERO Chemba inayotiririsha maji taka eneo la Shoppers -Mikocheni, pembezoni mwa barabara inachangia mitaro kuziba

    Mitaro iliyopo kwenye barabara kutoka Shoppers Mikocheni Dar es salaam kuelekea Hospitali ya Kairuki imejaa maji machafu na taka, hali inayosababisha harufu mbaya na kuwa kero kwa wakazi wa maeneo hayo, hususan wafanyabiashara. Hali hiyo pia inachangiwa na chemba inayotiririsha maji taka katika...
  14. JamiiForums Tanzania Eneo Lenye Nyumba ya Kuvunja Linauzwa

    Eneo lenye Nyumba ya Kuvunja Linauzwa. Mahali: Kinondoni Msisiri, Mtaa wa Ndotonadai. Eneo liko mita chache kutoka barabara ya Kawawa. Ukubwa wa Eneo: SQM 326. Bei: Tzs Milioni 300. Mazungumzo yanaruhusiwa. Nyaraka: Leseni ya Makazi. Kwa maelezo zaidi na kuweza kuona wasiliana nasi...
  15. A

    JamiiForums Tanzania KERO Halmashauri ya Bunda ilichukua eneo letu kujenga Hospitali, haijatulipa fidia tangu Mwaka 2019

    Mimi ni mwanakaya wa familia iliyotoa eneo la shamba kwa ajili ya ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Bunda kupitia makubaliano na Serikali ya Halmashauri mwaka 2019. Kupitia makubaliano hayo, halmashauri ilichukua eneo la shamba la familia yetu kwa madhumuni ya ujenzi wa hospitali, huku ikiahidi...
  16. JamiiForums Tanzania Na hiki ndicho AI huweza kukifanya pindi unapoiacha ifanye kila kitu yenyewe

    Angalia hiyo code hapo imeandikwa na Claude AI, ni code ambayo ukiipitia mstari hadi mstari haina shida yoyote na hata ukiirun itafanya kazi vizuri kwa maana lengo la hiyo method litakua linatimia bila shida ambalo ni kutengeneza parent ambae ni user. Shida kubwa itaanza kujitokeza taratibu...
  17. A

    JamiiForums Tanzania KERO Daraja hili Kigamboni eneo la Kona ya Chuo cha Mwasonga haliishi, tunateseka na nauli

    Hii ni Kigamboni, barabara inaunganisha eneo la Kona ya Chuo na Mwasonga, hilo daraja haliishi maji, yakijaa hapo Watoto hawaendi shule wiki ya tatu sasa. Yaani ukitaka kwenda Cheka boda anakushusha upande na mwingine anakupokea upande wa pili yaani kona ya Chuo cha City College, tunalipa nauli...
  18. JamiiForums Tanzania Mtu mmoja afariki kwa kung'atwa na nyuki eneo la Bweri, Musoma Mkoani Mara

    https://www.youtube.com/watch?v=Do0-6e7Bs-Q
  19. JamiiForums Tanzania Zanzibar: Jengo lililopo eneo la Stone Town, Zanzibar limeporomoka

    Jengo lililopo eneo la Stone Town, Zanzibar limeporomoka ghafla, huku mamlaka zikianza uchunguzi wa haraka kubaini chanzo cha tukio hilo. Chanzo: Mnana Online TV Pia soma ~ Jengo Maarufu Zanzibar kwa utalii, Beit Al Ajaib laporomoka
  20. T

    JamiiForums Tanzania Mwekezaji mzungu amlalamikia mpangaji kumdhulumu eneo lake karatu

    Mgogoro mkubwa umeibuka katika jengo la biashara la Manyara Safari Lodge – Heritage Camp Lodge lililopo wilayani Karatu, mkoani Arusha, baada ya mwekezaji wa kigeni na mmiliki mwenza wa eneo hilo, Timothy Flavell, kudai kuwa anajaribiwa kutapeliwa na mpangaji wake, Erick Mashauri. Flavell, raia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…