eneo

  1. JamiiForums Tanzania Mashambulizi ni makali mno nchini Congo kati ya Jeshi la wananchi wa Tanzania eneo la goma

    Mashambulizi ni makali mno nchini Congo kati ya Jeshi la wananchi wa Tanzania eneo la goma jeshi la wananchi JWTZ limepoteza Askari wawili huku M23 wakishindwa kusonga mbele kutokana na mashambulizi mazito ya JWTZ yakiendelea idadi ya Askar wa M23 waliofaliki katika mashambulizi hayo imewekwa...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Huawei yazindua mradi wa uhifadhi wa eneo lililohifadhiwa la baharini nchini Kenya

    Mwanzoni mwa karne ya 20, harakati za wahifadhi mazingira zilizochochewa na watu mashuhuri kama vile John Muir, Gifford Pinchot, na Paul Sarasin zilisisitiza haja ya kuhifadhi mazingira ya asili. Katika kukabiliana na mahitaji yanayokua ya kulinda mazingira haya ya asili na kuratibu juhudi za...
  3. JamiiForums Tanzania KERO Responded Eneo la Tegeta - Kwa ndevu uchafu unarundikwa eneo la barabara kama dampo, wasimamizi wako wapi?

    Katika eneo la Tegeta kwa Ndevu wahusika wanaosimamia suala la kuzoa taka wanatakiwa kuwajibika kwa uzembe ambao wamekuwa wakiruhusu utokee kwa kubariki Wafanyabiashara wa soko lisilo rasmi lililopo pembezoni mwa Kituo cha Daladala kurundika uchafu kwenye eneo la barabara huku uchafu huo wakati...
  4. JamiiForums Tanzania Ninashauri Barabara ya Lami iwekwe kuelekea eneo lililojengwa shule hii! Ni aibu kubwa sana

    Picha nimeweka hapa!
  5. JamiiForums Tanzania Plot4Sale INAUZWA Eneo linauzwa, Chamwino Dodoma

    ENEO ZURI, TAMBARARE LINAUZWA UKUBWA: 7,021 square meters, sawa na 1.735 acres). MAHALI: Kata ya Manchali, Wilaya ya Chamwino, Dodoma. Eneo lipo kando ya barabara kuu ya Dodoma - DSM. Ni umbali wa 20km kutoka Chamwino Ikulu, 38km kutoka Kituo Kikuu cha Mabasi Dodoma. DIRECTION LINK...
  6. JamiiForums Tanzania Plot4Sale Morogoro eneo la heka 7 linauzwa kila heka 1 ni million 2

    Eneo la heka 7 linauzwa ni sehemu nzuri kwa uwekezaji lipo maeneo ya Lugono Nyama choma karibu na Chuo cha Mzumbe
  7. JamiiForums Tanzania Uwanja wa Mkapa ni eneo gani mtu akikaa anaona mechi vizuri kuliko maeneo mengine?

    Sisi watu wa nje ya Dar es salaam hatujui majukwaa ya uwanja wa Mkapa yalivyopangiliwa, hivyo kuuliza si ushamba😃 Ni eneo gani ukiwa kwa Mkapa ndiyo unaweza kuona mechi vizuri zaidi kuliko maeneo mengine ya uwanja huo wa Mkapa?
  8. JamiiForums Tanzania Kampuni ya Barrick yasema eneo la mgodi wake nchini Tanzania limegeuka kuwa ‘kambi ya kijeshi

    Kampuni tanzu ya Barrick Gold Corp. inasema inapoteza mamilioni ya dola kutokana na “uvamizi haramu na hatari” unaofanywa na wakazi wa vijiji wa Tanzania, ambao mara nyingi huwa na silaha kama mikuki na mapanga. Affidavit na ushahidi mwingine uliotolewa na mameneja wa Barrick, ambao...
  9. B

    JamiiForums Tanzania KERO Wanaofanya uvuvi Mto Ngerengere eneo la Tungi na Kihonda wawe makini, kuna mashimo yaliyochimbwa wakati wa ujenzi wa SGR yana kina kirefu

    Mimi ni mkazi wa Mfaranyaki, Kata ya Tungi, Manispaa ya Morogoro, mtaani kwetu tumechoshwa na matukio ya watu kupata majanga ikiwemo kupoteza Maisha katika eneo hilo la Mto Ngerengere uliokatisha Kata ya Tungi na Kihonda. Mto huo umekuwa ni kero na tishio kutokana na watu kupoteza maisha...
  10. A

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Nina frame ya biashara eneo zuri lakini sina mali. Mwenye mali njoo tufanye kazi

    Habari Wadau, Nina frame mjini Morogoro, eneo la Sabasaba, eneo zuri kabisa kwa biashara ya nguo (nafuu), viatu, jezi, nk, jumla na rejareja. Pia ni eneo lenye mnada siku ya Jumapili. Tatizo sina mtaji wa kutosha kama wanaonizunguka… nakuita wewe mwenye mali, njoo tushirikiane, lete mali...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Eneo la biashara Dar es Salaam

    Natafuta eneo la kuweka mwamvuli mahali palipochangamka kwa Dar kwa ajili ya biashara ya kukaanga kuku. Ipo 20k. 0678225164
  12. JamiiForums Tanzania ACT: Tunaitaka Serikali ya JMT, kuacha utowaji wa Leseni kwa eneo la Fungu Mbaraka na Bahari Kuu upande wa Zanzibar

    TAARIFA KWA UMMA TUNAITAKA SERIKALI YA JMT, KUWACHA MARA MOJA UTOWAJI WA LESENI KWA ENEO LA FUNGU MBARAKA NA BAHARI KUU UPANDE WA ZANZIBAR Tokea mwaka (2009) ambapo Baraza la Wawakilishi na Serekali ya awamu ya sita ya Dr. Abedi Amani Karume na aliekua Waziri wa sekta hiyo ndugu Mansour Yussuf...
  13. JamiiForums Tanzania Serikali yapanda miti mingine zaidi ya 1500 eneo la Milala (Mpanda - Katavi) baada ile ya awali kunyauka

    Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kuripoti juu ya kutelekezwa kwa Mradi wa upandaji miti eneo la Bwawa la Milala, Manispaa ya Mpanda unapojengwa mradi mkubwa wa maji wa Miji 28, Serikali imechukua hatua ya kupanda miti mtingine. Awali, Mwanachama huyo alisema kulikuwa na Kampeni ya...
  14. JamiiForums Tanzania KERO Mamlaka hazioni kero zinazotokana na kukosekana kwa Stendi eneo la Kawe Mwisho (Dar es Salaam)?

    Wakati Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) ikiendelea kutoa vibali vya daladala kutoka maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es Salaam kuelekea eneo la Kawe lililopo ndani ya Jiji hilo lakini katika hali ambayo inaleta mtanzuko sehemu hiyo ni muda sasa imeendelea kukosa stendi yenye hadhi...
  15. JamiiForums Tanzania Kuna miji, majiji, mikoa na maeneo Majina yake tu Yanaonesha eneo ni zuri kuishi

    Eneo zuri kuishi kwanza liwe na watu wengi, pia liwe na mzunguko mzuri wa biashara. Nitajaribu Kutaja baadhi ya maeneo kama ukijaribu kutembelea utanishukuru kwa uzuri wa maeneo hayo CHATO, MBEYA, TUNDUMA, MULEBA, MOROGORO, MAFINGA, SONGEA, TUNDUMA, VWAWA ONGEZEA MENGINEUYAJUAYO
  16. JamiiForums Tanzania Yemen iliwaonya kwamba Tel Aviv imeteuliwa kama eneo lisilo salama kabisa

    Wanaukumbi. Yemen warned the settlers that Tel Aviv has been designated as an unsafe area and will be targeted by the Yemeni Armed Forces, they didn’t listen🤷🏻‍♂️ ========================= Yemen iliwaonya walowezi hao kwamba Tel Aviv imeteuliwa kama eneo lisilo salama na lingelengwa na...
  17. JamiiForums Tanzania Taka zilizosambaa eneo la Kibaha Maili Moja Mkoa wa Pwani zaondolewa, usafi wafanyika

    Hali ilivyo Kibaha Maili Moja karibu na Kituo cha Maliasili ambapo taka zimeondolewa, pia chombo kinachotumika kuhifadhi taka kikiwa hakijajaa kama ilivyokuwa awali. Ikumbuke, Mdau wa JamiiForums.com alitoa ushauri kwa Uongozi wa Kibaha kuondoa uchafu uliokuwa umezagaa eneo hilo kiasi cha...
  18. JamiiForums Tanzania Natafuta eneo la Car Wash Dar

    Hello wanjamii Kwa mtu yeyote ambaye anafaham sehem ambayo ipo sehem nzurii Kwa car wash hapa JIJINI DAR es salaam anifahamishe. Kuhusu vigezo Nataka iwe sehem ambayo ipo road inafikika kirahis na mtu anaweza kujua kama Kuna biashara ya car wash. Ikiwa center itakuwa vizurii zaidi sehem ambayo...
  19. JamiiForums Tanzania Eneo kubwa la biashara linauzwa Goba

    Eneo linauzwa lipo Goba njia nne barabara ya kuelekea Madale lina faa sana kwa ajili ya kujenga sheli ya mafuta au Kujenga maduka makubwa. Eneo lina ukubwa wa sqm 4800 na ndani ya eneo kuna nyumba 1 imejengwa na fremu 2 za biashara Bei yake ni Tsh 500 mil Kwa mawasiliano zaidi piga 0656077998
  20. JamiiForums Tanzania Kwenye eneo hili namkubali sana Elon Musk

    Mwana anasisitiza watu wazaliane unlike yule mwenzie wa makompyuta anaeshadadia depopulation. Heko kwa huyu mwamba, dunia inahitaji watu. The future of humanity is through birth.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…