Kuna jambo linaendelea naona kuna dalili ya kitu fulani ambacho hakipo sawa, kuna ujenzi wa kituo cha mafuta (Sheli) umeanza Mitaa ya Luguruni.
Wameanza kujaza kifusi katika sehemu ambayo nafikiri siyo sahihi kwa sababu, kwanza ipo kwenye roundabout ya kwenda kwenye Ofisi ya Mkuu wa Wilaya...
Anonymous (1896)
Thread
barabarani
eneo
karibu
ofisi
tanroads
ubungo
ujenzi
Eneo hili Kuna uharibifu mkubwa wa mazingira kwa uchimbaji molamu na kulipua mawe kwa kutumia baruti ambazo zinatoa mlipuko kama bomu.Wakazi wa maeneo haya mwaka jana 2025 walilalamika kwenye ofisibza NEMC mkoa wa Mwanza na wakazuia mhusika kuendelea kuchimba badala yake afukie hili shimo...
Anonymous (66bb)
Thread
eneo
kijiji
kitongoji
kuchimba
kutumia
mawe
mazingira
Kwa kweli kwa wasiojua kuwa bandari bagamoyo ambayo itajengwa sambamba na eneo maalumu la kiuchumi la viwanda (economic zone).
Mradi huu utakuwa na manufaa makubwa sana kwa wakazi wote wa ukanda wa pwani yaani dar es salaam, pwani yenyewe na tanga na Tanzania kwa ujumla.
Bandari hii inajengwa...
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imekabidhi rasmi eneo la ujenzi wa tenki la maji litakalokuwa na uwezo wa kuhifadhi lita 500,000 katika eneo la Mbezi Msumi kwa mkandarasi Jeccs Construction and Supply Limted.
Hatua hiyo ni kuashiria kuanza rasmi kwa shughuli za...
Hapa ni Kibirizi, jirani na Msikiti wa Mtendeni Manispaa ya Kigoma Ujiji, hii barabara ni kubwa, inaelekea katika Bandari ya Kibirizi na kuelekea Kigoma Mjini.
Eneo hili limekuwa kero ya muda mrefu kwa madereva wanaotumia barabara hii.
Licha ya uwepo wa kero hiyo ila bado wahusika wameendelea...
Anonymous (9713)
Thread
barabara
eneo
hali
kibirizi
kigoma
kigoma ujiji
manispaa
Hii Miili kwa Mujibu wa Mtoa taarifa, ilikua inatoa harufu Kali sanaaaa , maana yake Kama imefukiwa na Serikali, ni kwamba sehemu ilipokua miili hiii, Serikali haikua na uwezo wa kuihifadhi , Je Serikali inakoswa uwezo wa kuhifadhi miili ???
TAHARUKI YAZUKA BAADA YA MIILI MINGI ILIYOHARIBIKA...
Igweeeeeee
Hii nchi ukiifikiria kiundani utaishia kulaani wazazi wako kukuzaa bongo
Nimepata kwenda kumtembelea rafiki yangu ana site yake huko goba, mji umepangika vizuri na watu wanaishi maisha standard ikiwa na ujenzi wa kisasa kabisa
Ajabu ya eneo hili goba mageti hususani upande huu wa...
TAARIFA KWA UMMA
KUHUSU HUDUMA YA VYOO KATIKA STENDI YA MAWASILIANO (SIMU 2000)
Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo inapenda kutoa ufafanuzi kwa umma kuhusu taarifa zilizochapishwa na Jamii Forum tarehe 31 Jan 2026 zinazosema "KUSITISHA HUDUMA YA VYOO STENDI YA MAWASILIANO, KUNASABABISHA KERO KWA...
Baadhi ya wananchi wamevamia eneo la bonde la Buyuni Kata ya Buyuni wilayani Ilala- Dar es Salaam na kupima viwanja kinyume na utaratibu.
Eneo hilo lipo ndani ya Mradi wa Viwanja 20,000 Buyuni. Ni bonde linalotenganisha mtaa wa Serikali Buyuni na Kigezi na ni bonde ambalo lipo nyuma ya Zahanati...
Eneo la viwandani Buguruni Madenge kuna wezi na wakabaji, wamejenga vibanda katika eneo hilo na kusababisha hofu kwa wapita njia waendao kazini hasa kwenye viwanda.
Wanaishi na wanalala hapo asubuhi asubuhi na mchana tu, na usiku wanakwenda kuvunja na kuiba vitu mbalimbali hasa vya magari...
Najiuliza Hawa mabwanyenye wanao nunua ENEO la Namanga msasani kwenda mpaka Makangira wakiongozwa na huyo Mwamajeshi kutoka upanga OFISI ya Jeshi, na kuporomosha majengo ya ghorofa ni shi ngapi wanatoa?
Mh waziri sisi tulio kuwa wakzi miaka mingi maeneo ya Namanga msasani TUNATAMBUA yakuwa...
Umofia kwenu wakuu. Kuna taarifa za kutoka Chanzo cha kuamimika kwamba Halimashauri ya wilaya ya Karatu imempatia mtoto wa Samia, Abdulu eneo la mnada wa Karatu ili ajenge Hoteli.
Kwa mlio wahi fika karatu mtakuwa mnajua lile eneo la mnada ni maarufu sana, sasa ni kwamba mtoto pendwa kapewa na...
Jeshi la Zimamoto na Uokoaji tayari limefika hapa Posta Jengo la National Social Security House kwa ajili kuuzima moto pamoja na kuokoa waliopo ndani ya jengo hilo.
Soma pia: Dar, Jengo la National Social Security House Posta linawaka moto muda huu
Baada ya Mdau wa JamiiForums.com kueleza kuwa kuna baadhi ya Maafisa wa Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba wamekuwa wakiuza mchanga eneo lililokuwa na makaburi ya Kishenge, Bukoba Mjini licha ya kuwa limetengwa kwa ajili ya uwekezaji, hatua zimechukuliwa na Mamlaka husika.
Kusoma hoja ya Mdau...
Hbr wajenzi. Baada ya kumaliza kuchapia/plasta ndani na copro naomba kujua bidhaa gani ni bora kwakuw skimu lakin pia nakarbisha fundi aje inbox tuelewani kazi _ location saiti ilipo ni KIBAHA -kongowe
Coral decor
Wallputy
Gypsum power
Na unazo zijua nyingne, napenda kujua na bei elekezi pia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.