email

Electronic mail (email or e-mail) is a method of exchanging messages ("mail") between people using electronic devices. Email was thus conceived as the electronic (digital) version of, or counterpart to, mail, at a time when "mail" meant only physical mail (hence e- + mail). Email later became a ubiquitous (very widely used) communication medium, to the point that in current use, an email address is often treated as a basic and necessary part of many processes in business, commerce, government, education, entertainment, and other spheres of daily life in most countries.
Email is the medium, and each message sent therewith is also called an email. The term is a mass noun.
Email operates across computer networks, primarily the Internet, and also local area networks. Today's email systems are based on a store-and-forward model. Email servers accept, forward, deliver, and store messages. Neither the users nor their computers are required to be online simultaneously; they need to connect, typically to a mail server or a webmail interface to send or receive messages or download it.
Originally an ASCII text-only communications medium, Internet email was extended by Multipurpose Internet Mail Extensions (MIME) to carry text in other character sets and multimedia content attachments. International email, with internationalized email addresses using UTF-8, is standardized but not widely adopted.

View More On Wikipedia.org
  1. Jinsi ya Kutengeneza Barua Pepe (Email) Nyingi Bila Kikomo Kutoka Akaunti Moja ya Gmail

    Je, ulijua kwamba ukiwa na akaunti moja ya Gmail, kwa kweli una uwezo wa kuwa na anuani za barua pepe zisizo na kikomo? Mbinu hii inaweza kuwa na matumizi mengi muhimu sana. Unaweza kufanya hivyo kupitia mbinu inayoitwa “plus addressing.” Plus Addressing ni nini? Plus addressing ni njia...
  2. Email ambayo inatumika kukusanya ushahidi wa MAUAJI ya MO29 ni ya serikali (Bite anamtafuta Beatrice)

    Email na website haijitegemei kwamba isifungamane na upande wowote ili sasa tume itoe taswira ya kilichotokea pasi na kuegemea upande wowote. Sasa kinachoonekana ni Dulla anamtafuta Abdalla. Maana anayetuhumiwa ni serikali so inamtafuta huyo serikali anayetuhumiwa. Pia inamaanisha kwamba...
  3. Email yangu haileti notifications moja kwa moja ila niliingia kwenye app

    Email yangu haileti notifications moja kwa moja ila niliingia kwenye app yenyewe nazikuta shida inaweza kuwa nn labda
  4. Mfumo wa email air Tanzania haufanyi kazi

    Mfumo wa email wa air Tanzania haufanyi kazi, leo nipo hapa Lubimbashi, nataka kurudi tanzania, nimeshindwa kureset password, ila imeshindikana kwa sababu email hazifiki. Air Tanzania ebu jaribuni kuliangalia hili, hamtaweza kusurvive kwenye soko la usbindani kwa namna hii.
  5. Professional/Business email na umuhimuwake.

    Wafanya biashara na wajasiria mali wengi Tanzania wanashindwa kutumia au wana chukulia wepesi kiungo hiki muhimu kwenye biashara na kampuni unapojitanabaisha kuwa wewe ni kampuni au biashara suala la digital branding ni muhimu sana hasa nyakati hizi za digitalisation Professional/Businesse...
  6. Kivipi naweza kupata email ya ikulu, serikali, international organisations ili kuwasilisha malalamiko yetu eneo la kazi (whistleblowing)?

    Ninapofanya kazi sio shwari kuna mambo mengi hayapo sawa. Huyu muwekezaji ana nguvu na anajeuri ya kupindisha mambo ya kisheria kuanzia kwa wafanyakazi mpaka mambo ya kimamlaka na ukosefu wa uadilifu. Nataka nifikishe ili jambo kwenye vyombo vya serikalini na watetezi wa haki za wafanyakazi...
  7. K

    TRA kwanini waitwe kazini kwa Email badala ya Tangazo la kuitwa kazini linalotolewa kwa UMMA?

    Salaam Wakuu, Kama mtakumbuka, mwezi Februari mwaka huu, TRA walitangaza nafasi za Kazi kwa Watanzania wenye SIFA. Na takribani Watanzania laki moja na kitu, waliomba zile nafasi, na baada kufanyiwa Usaili uliofanyika tarehe 29 & 30 Mwezi Machi. Baada ya Usaili, Matokeo yalitoka Mwezi April na...
  8. K

    Kuna yeyote humu aliyepigiwa simu au kutumiwa email na gaming board of Tanzania kuwa kapata kazi?

    Kuna jamaa angu kaniambia eti gaming board of Tanzania ishawatumia watu email na kuwapigia kuwa wamepata kazi? Je humu jf kuna mdau yeyote aliyefanya oral ambae kapigiwa na hao jamaa? maana utaratibu wao wa recruitment unashangaza sana.
  9. Zile email za kwenda kwa Raisi wa Finiland Bwana Alexander Stubb ziendelee kutumwa, Asitishe Ziara yake Tanzania.

    Raisi wa Finland Mwezi huu atavisit nchi kafhaa za Africa ikiwemo Tanzania, sasa tunataka afikiria mara mbili mbili kujusu kuvisi Tanzania make nchi isha haribika imekuwa nchi ya kuuana na kuumizana. Hivyo wadau tuendelee kutuma email kwa offisi ya Raisi wa Finland na kumuandikia yeye mwenyewe...
  10. Elon Musk awa mbogo kwa watumishi wakaidi wa serikali kukaidi kumtumia kwa email taarifa zao za kila wiki kuhusu kazi zao!

    Elon Musk amekuwa mbogo baada ya baadhi ya taasisi kukataa kutii amri yake ya wafanyakazi wote wa umma Marekani wawe wanamtumia email kila wiki kuelezea walichofanya wiki iliyoisha! Taasisi zilizokaidi amri yake ni pamoja Pentagon, FBI na State Department(Ofisi ya mambo ya nje) ambao...
  11. Nawezaje ku recover email yangu?

    Wadau mpo poa? Mwanenu hapa nahitaji msaada . Niliibiwa simu yangu , baada ya muda nilipata nyingine . Changamoto ni pale ambapo katika ku log in kwenye simu mpya ikanihitaji nifanye 2 step verification. Kipengele kikawa kwamba namba niliyoisajilia hii email yangu kama verification...
  12. Msaada wa namna ya kufuta email zilizojaa

    Habari wana Jf naomba msaada namna gani ya kupunguza email kwa goggle account nimeambiwa zimejaa nimejaribu kudelete lakinj bado naletewa meseji ya kujaa na kupewa tahadhali yabkutopokea tena email kuanzia tarehe 1 mwezi wa 2 msaada please
  13. R

    E-mail kutoka TaESA

    Habari wapendwa. Mimi nimejiunga na TaESA lakini sijafiki asilimia za kuomba reg no. Lakini nimekua ninapokea e-mail zao mfano zinakua zinasema “MAOMBI YA USAJILI WA MWAJILI KWENDA WIZARA YA KAZI YAMETUMWA KUTOKA TAA SONGEA” nashindwa kuelewa naomba mwenye kujua anielekeze nisije kua napishana...
  14. Jamaa wameniaharibia Raha ya mwaka mpya na na email ya kifedhuli, hivi new year si siku ya mapumziko?

    Niliomba kazi kwenye hii taasisi wiki iliyopita Sasa Leo nakutana na email na hivi ni mwaka mpya nikajua itakua ni habari njema kumbe ni huu upuuzi 🤣🤣🤣 Thank you for the time you took to express interest in Watu. We regret to inform you that at this stage we have decided to proceed with...
  15. Jinsi vyombo vya usalama vinavyoweza soma email zako kwa kutumia Namba ya simu kama security uliyoweka kwenye email yako

    Imezoeleka Kwa wengi kutumia Namba ya simu kama 2FA. Sasa tukija kuangalia usalama kawaida Huwa ni ndogo kwasabu zifuatazo. Email inbox na outbox hazijifuti kama ilivyo kwenye WhatsApp. Vyombo vya usalama vinaweza kupewa access ya jumbe fupi au calls unazotumiwa kwenye namba Yako ya simu...
  16. W

    Msaada: Nataka ku-renew password akaunti ya Yahoo email

    Mambo vipi wadau nimekua na account ya email ya yahoo Kwa muda ila Kuna siku mwaka Jana nilitaka kulogin ikakataa kwamba password sio yenyewe nikajaribu kuforget password ili ni renew ikadai code zitatumwa kwenye namba ya simu niliotumia kusajilia account nilishindwa kwasabqbu namba niliotumia...
  17. Msaada wakuu: Nili-restore simu, Sasa wakati naingiza email kujiunga tena imekwama

    Hii email ni muhimu maana ndio naendesha blog,website na mambo mengine mengi ya kibiashara. Niliweka 2 step verification,Sasa inadai inatuma notification nibonyeze yes lakini haiji notification yoyote na mbaya zaidi hizo njia zingine kama passkey Sina access nayo ,na hata namba ya simu...
  18. Yaani Mtu anajiita Msomi halafu inapita Mwezi au Miezi hajafungua hata Email yake ajue kuna nini, kwanini Dotto Magari 'asitudharau' tu na Kumnunia?

    Wasomi wengi sana tunakosa Fursa au Mawasiliano ya maana kwakuwa wengi Wetu hatuna muda wa hata tu Kuangalia / Kuchungulia kuna nini katika Emails zetu ( Inbox ), likiwa ni Suala muhimu sana Kimawasiliano hasa kwa Zama hizi. Wasomi wengi hizi Emails Addresses tumeziweka tu kama Pambo, ila huwa...
  19. Email App

    Wakuu naomba mnisaidie Email Application ambayo itanisaidia kuona mambo mbambali. - Blue tick kama mtu husika ameifungua na kusoma Email yako niliyomtumia(Kama ilivyo kwa WhatsApp au Fb Messenger) - Tick za kuonesha email imeenda lakini haijafunguliwa - Na status zingine nyingi nzuri...
  20. Hivi nawezaje kuweka vitu vyangu kwenye email yangu?

    Salamuu wakuu, Naomba kujuzwa ni namna gani naweza viweka vitu vyangu kwenyee email yangu kwa mfano contracts pamoja na pichaa zangu Naomba kuwasilisha kwa anaejuaaa wakuu msaada wenu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…