Email yangu haileti notifications moja kwa moja ila niliingia kwenye app

Email yangu haileti notifications moja kwa moja ila niliingia kwenye app

Mashaka J kihehe

New Member
Joined
Oct 30, 2023
Posts
2
Reaction score
0
Email yangu haileti notifications moja kwa moja ila niliingia kwenye app yenyewe nazikuta shida inaweza kuwa nn labda
 
Zinachelewa kuja ama haziji kabisa?

Kama haziji kabisa nenda setting kisha apps itafute hio app husika kwenye permission hakikisha notification ipo on.

Kama Zinachelewa hakikisha app husika battery optimization ipo off, nenda setting kisha apps chagua app husika then battery weka off kama app ipo optimized.
 
Back
Top Bottom