elon musk

Elon Reeve Musk ( EE-lon; born June 28, 1971) is a business magnate, industrial designer, and engineer. He is the founder, CEO, CTO, and chief designer of SpaceX; early stage investor, CEO, and product architect of Tesla, Inc.; founder of The Boring Company; and co-founder of Neuralink and OpenAI. A centibillionaire, Musk is one of the richest people in the world.
Musk was born to a Canadian mother and South African father and raised in Pretoria, South Africa. He briefly attended the University of Pretoria before moving to Canada aged 17 to attend Queen's University. He transferred to the University of Pennsylvania two years later, where he received bachelor's degrees in economics and physics. He moved to California in 1995 to attend Stanford University but decided instead to pursue a business career, co-founding the web software company Zip2 with his brother Kimbal. The startup was acquired by Compaq for $307 million in 1999. Musk co-founded online bank X.com that same year, which merged with Confinity in 2000 to form the company PayPal and was bought by eBay in 2002 for $1.5 billion.
In 2002, Musk founded SpaceX, an aerospace manufacturer and space transport services company, of which he is CEO, CTO, and lead designer. In 2004, he joined electric vehicle manufacturer Tesla Motors, Inc. (now Tesla, Inc.) as chairman and product architect, becoming its CEO in 2008. In 2006, he helped create SolarCity, a solar energy services company that was later acquired by Tesla and became Tesla Energy. In 2015, he co-founded OpenAI, a nonprofit research company that promotes friendly artificial intelligence. In 2016, he co-founded Neuralink, a neurotechnology company focused on developing brain–computer interfaces, and founded The Boring Company, a tunnel construction company. Musk has proposed the Hyperloop, a high-speed vactrain transportation system.
Musk has been the subject of criticism due to unorthodox or unscientific stances and highly publicized controversies. In 2018, he was sued for defamation by a diver who advised in the Tham Luang cave rescue; a California jury ruled in favor of Musk. In the same year, he was sued by the US Securities and Exchange Commission (SEC) for falsely tweeting that he had secured funding for a private takeover of Tesla. He settled with the SEC, temporarily stepping down from his chairmanship and accepting limitations on his Twitter usage. Musk has spread misinformation about the COVID-19 pandemic and has received criticism from experts for his other views on such matters as artificial intelligence and public transport.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Elon Musk ataka kujenga jiji mwezini, ndoto yake inawezekana?

    Hivi karibuni, Elon Musk alitangaza mpango wa kujenga mji kwenye Mwezi; alisema kuwa mpango huo unaweza kutekelezwa ndani ya muda usiozidi muongo mmoja na kwamba mji huo utakuwa na uwezo wa kukua na kuendelea kwa kujitegemea. Elon Musk alisema kuwa badala ya kujikita katika ujenzi wa mji kwenye...
  2. JamiiForums Tanzania Walokole Wazindua Brand Mpya za Magari yao ya Umeme kushindana na Elon Musk na BYD

    Kanisa la Kilokole la Pentekost la Christ Embassy, chini ya uongozi wa Pastor Chris Oyakhilome, limezindua rasmi safu ya magari yanayotumia nishati ya umeme, ikiwa ni sehemu ya miradi yake ya kiteknolojia na viwanda. Magari hayo yamewasilishwa kupitia njia rasmi za huduma hiyo, huku baadhi ya...
  3. JamiiForums Tanzania Je ni Kweli Fedha Hazitakua na Umuhimu Ifikapo Mwaka 2036

    "Money Won't Matter in 2036" Utabiri wa Elon Musk kwamba fedha zinaweza kuwa “hazina umuhimu” (irrelevant) karibu na mwaka 2036. Musk ameeleza kuhusu mustakabali wa miaka 10–20 ijayo ambapo AI na roboti zinaweza kufanya kazi nyingi za binadamu kuwa za hiari, na hivyo kupunguza sana umuhimu wa...
  4. X

    JamiiForums Tanzania Elon Musk: China inavutia sana. Ninawahimiza sana watu kutembelea huko

    "China is awesome. I strongly encourage people to visit." — Elon Musk Hii ndiyo kauli ya Elon Musk kwenye ukurasa wake wa X (Twitter), mtu ambaye si mtazamaji wa mbali bali ni mfanyabiashara mwenye uwekezaji mkubwa China kupitia Tesla Shanghai gigafactory Musk ameiona China kwa macho yake...
  5. JamiiForums Tanzania Elon Musk : Vipofu sasa wataanza kuona

    Mwanzilishi wa Neuralink, Elon Musk, anasema kampuni hiyo ya kutengeneza vifaa vinavyopandikizwa kwenye ubongo inapanga kupandikiza vifaa vyake vya kwanza vya kuona vinavyojulikana kama Blindsight ndani ya miezi sita hadi 12 ijayo, huku ikiendeleza teknolojia inayolenga kuwarejeshea uwezo wa...
  6. JamiiForums Tanzania Elon Musk kaposti hii!

    they are coming …...
  7. JamiiForums Tanzania Its 2026, elon musk anatengeneza kifaa cha kusaidia vipofu kuona meanwhile bongo bado mambo ni haya

    Ukijaribu kusema unaambiwa hata wazungu wana uchawi wao😬 anyway, maisha yaendelee.
  8. F

    JamiiForums Tanzania Elon Musk; trilionaire wa kwanza kabisa ulimwenguni. Kwa utajiri wake mtu anaweza kuishi akila bata la hatari kwa miaka milioni 10!

    Elon Musk ndiye mwanadamu kwa kwanza tangu kuumbwa kwa ulimwengu huu kuwa trilionaire! Tunawajua mamilionare wengi tu hata hapa nchini wapo wengi tu hata JF wapo. Pia tunawajua mabilionaire kadhaa hawa ni wachache ndio akina Azam, Rostam, Dewji na wachache sana wengine. Utakusanya zaidi ya...
  9. JamiiForums Tanzania OFFICIAL: Elon Musk amekuwa trillionaire ($) wa kwanza kutokea dunia

    Hii ndio historia ya utajiri wake throughout the years. 2026: $1 Trillion 2025: $683 Billion 2024: $400 Billion 2022: $219 Billion 2021: $151 Billion 2020: $74.6 Billion 2018: $19.9 Billion 2016: $10.7 Billion 2012: $2 Billion Utajiri wa elon upo documented ila naamini kuna watu walishaigusa...
  10. JamiiForums Tanzania Elon Musk: Vituo vya Data Angani na Mwezini

    Elon Musk anasema SpaceX inaweza siku moja kujenga vituo vya data angani, na hata kwenye Mwezi. Wazo hili linasikika kama hadithi za kisayansi (science fiction), lakini mantiki yake ni rahisi. Vituo vya data duniani vinahitaji kiasi kikubwa cha umeme, mfumo wa kupoza (cooling), ardhi, na...
  11. JamiiForums Tanzania Ziara ya rais Trump pamoja kundi lake na hapo hapo Elon musk na mtoto wake.

    Ukifika malekani ukisikia neno mfia nchi au mzalendo basi ni jambo rahisi kuona kila nyumba ikiwa na bendera ya marekani. Nchi zenye kupenda watu wake zinaangalia utaifa na watu wake.Sio huku tanzania Amani labda za wanyama ambao hawa wezi kuuliza. Kuna mda unaweza kusema sisi ambao raia...
  12. JamiiForums Tanzania Nimefarijika Kumbe Elon Musk hana utajiri wa kutisha kama tunavyodhani

    Nilikuwa(ga) naumia, kumchukia na kumuonea wivu bure Elon Musk eti tajiri namba moja duniani. Kumbe hela ambayo anayo mkononi cash ni ya kawaida tu hata haipiti billion 2 USD. Kumbe utajiri wake unathaminishwa na stocks. The vast majority of his fortune is illiquid, tied up in stock and...
  13. JamiiForums Tanzania Ilikuaje Trump na Elon Musk matapeli wakubwa zaidi kuwahi kutokea katika siasa za Marekani kuaminiwa na raia wengi?!

    Hawa watu wawili sijui waliwezaje kuwadanganya na kuwalagahi mamilioni ya Wamarekani kuweza kuwaamini! Ahadi zote kubwa kubwa Trump alizowaahidi Wamarekani hadi wakamchagua kwa kishindo hajatekeleza hata moja na zaidi sana ameenda kinyume chake na hakuna maelezo yoyote anayowapa Wamarekani...
  14. JamiiForums Tanzania Elon Musk ametangaza kua Tesla watasitisha uzalishaji wa Model S na Model X kuanzia Q2 ya 2026!

    Tajiri Elon Musk ametangaza kua kampuni ya Tesla itasitisha uzalishaji wa magari yake Model X na Model S. Tajiri kasema factory zilizokua zinazalisha ayo magari zitafocus kwenye marobot yake ya Optimus.
  15. W

    JamiiForums Tanzania Malaysia na Indonesia zazuia Grok ya Elon Musk kwa sababu ya kuhariri picha za watu kutumika katika maudhui ya kingono

    Malaysia na Indonesia zimezuia matumizi ya Grok, roboti ya akili bandia (AI) inayomilikiwa na Elon Musk kupitia mtandao wa X, baada ya kubainika kuwa inatumiwa kutengeneza deepfake za kingono. Grok huruhusu watumiaji kuunda na kuhariri picha, lakini kwa hivi karibuni imekuwa ikitumika...
  16. JamiiForums Tanzania Kwenu TRA, StarLink ina kodi tamu, wahini mshiko haraka, Elon Musk analipa kodi nzuri tena kwa wakati na analipa in USD

    TRA msipitwe na gari la mshahara TRA kataeni siasa chukueni Pesa TRA mleteni mjomba StarLink msipoteze muda kwenye pesa Nchi zilizochelewa kuipokea zimegundua kuwa zilijikosesha mamilioni ya USD kwasababu Elon Musk analipa kodi kwa wakati na jambo kubwa zaidi hana longo longo kipengele mje...
  17. JamiiForums Tanzania Inaonekana kama Elon Musk anapenda Nudity, Twitter akaita X, Wikipedia akapendekeza Dickpedia, Grok kupata kashfa ya kuvua Wanawake nguo

    Binafsi sijajua ni kipi kilichopo kwenye akili ya Elon Musk, pengine ana uraibu wa ngono kwasababu matukio yake ya kashfa za ngono yanafuatana Baada ya kununua Twitter akabadilisha jina na kuitwa X lakini pia akaruhusu maudhui ya ngono hata za ulawiti X ni alama ya utambulisho wa ponografia kwa...
  18. Q

    JamiiForums Tanzania Elon Musk: Hongera Rais Trump. Huu ni ujumbe kwa madikteta wote duniani

    Congratulations, President Trump! This is a win for the world and a clear message to evil dictators everywhere.
  19. JamiiForums Tanzania Elon Musk aelezea kwa nini nchi za Dunia ya 3 zinazaliana kwa wingi

    Udini mwingi + Elimu Duni + Umaskini (Kipato kidogo )= Uzaliana kwa wingi Udini kidogo + Elimu Nzuri + Utajiri (Kipato kikubwa)= Uzaliana kwa uchache https://www.instagram.com/reel/DRLsnfKAk0Z/?igsh=MTR1MXlqaGMyaWFnag==
  20. JamiiForums Tanzania Musk amtolea povu waziri wa uchukuzi US kufuatia mpango wa serikali ya Trump kui-DOGE na kuindoa NASA kuwa shirika huru

    Elon Musk amewatolea povu waziri wa uchukuzi wa Marekani Sean Duffy na serikali ya Trump kufuatia mpango kutaka kuiweka NASA chini ya waziri wa uchukuzi au kama mojawapo ya wizara tofauti na ilivyo sasa kama shirika huru linalojitegemea. Waziri huyo wa uchukuzi amesema pia SpaceX inafanya kazi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…