ARUSHA TZS Bilioni 99 kwa Elimu Bora!
Rais ametumia TZS99bn kujenga shule mpya 34, madarasa 834 mabweni 60 na maabara 78.
Rais Samia amejenga shule mpya 27 za sekondari, shule mpya saba (7) za msingi na kujenga vyumba vya madarasa 843 na mabweni 60 ya wavulana na wasichana. Hata hivyo Mama Samia...