Ni hivi karibuni waziri wa Elimu Prof. Adolf Mkenda alikumbushia muda wa wanafunzi kufika shuleni asubuhi ni saa 2 asubuhi. Na hiyo ni kwa mujibu ws sheria namba 84 inayoongoza shule za misingi nchini.
La ajabu walimu bado wanadharau na kupuuzia maelekezo ya viongozi wakuu level ya waziri wa...
Habari, naomba kutanguliza samahani. Nilikuwa naomba kuuliza kama kuna mtu mwenye connection ya kazi. Naomba msaada, wakuu. Nina umri wa miaka 23 na nina elimu ya chuo kikuu.
Habar za wakati huu,
Samahan Mimi ni Kijana mchapakazi na muaminifu. Niko Mwanza nina miaka 30.
Natafuta kazi yoyote ya halali, Nina ujuzi mkubwa wa kutumia computer pamoja na ufundi upande wa software. Pia na ujuzi wa kazi za Stationery mambo ya online application, kazi, mikopo ya wanafunzi...
degree
elimuelimu ya
kazi
kazi ya stationery
kazi yoyote
marketing
miaka
miaka 30
miaka 5
mwanza
natafuta
natafuta kazi
nayo
stationery
uzoefu
wakati
zaidi ya
Kwa zaidi ya Miaka 10 sasa ukipitia Majukwaa mbalimbali humu utakutana na Malalamiko ya Wazazi na Walezi kuhusu Maamuzi kadha wa kadha yanayotolewa na Shule Binafsi nchini ambayo yaaathiri Malezi na Makuzi ya Wanafunzi lakini Wizara ya Elimu ambayo inabeba dhamana ya kusimamia utoaji wa elimu...
Hongera team ya JamiiForums kwa kazi kubwa mnafanya kuhabarisha umma na jamii zote ndani na nje ya nchi hii ya Tanzania.
Ninayokero ambayo inahusiana na Sekretiati ya Ajira kwa maana ya Ajira Portal . Tunapendezwa na huduma zinatolewa na Ajira Portal lakini kuna sehemu ndogo ambayo tunaomba...
Anonymous
Thread
ajira
ajira portal
changamoto
elimu
kubadili
portal
sifa
Ofisi ya Afisa Elimu Jiji Dodoma haiko na utaratibu mzuri wa kusikiliza Watu wanaohitaji huduma za Afisa Elimu.
Nimekuwa nikifuatilia barua ya ruhusa wiki mbili sasa lakini kila nikienda nakutana na PS naambiwa mpaka boss awepo.
Akija Afisa Elimu anakaa dakika tano ofisini kisha anatoka...
Anonymous
Thread
afisa
afisa elimu
dodoma
elimu
huduma
jiji
kusikiliza
ofisi
utaratibu
wananchi
MNARA WA TANK LA MAJI β SEHEMU YA 1/6
UNATAKA KUJENGA MNARA WA TANK LA MAJI? USIANZE NA NGUZO!
Watu wengi wanaanza kwa kuuliza:
β βNguzo ziwe na ukubwa gani?β
β βNiweke nondo mm ngapi?β
β βMsingi uchimbwe kiasi gani?β
Lakini swali la kwanza linapaswa kuwa:
π TANK LITAKUWA NA UWEZO GANI NA...
Ndugu zangu Watanzania,
Waziri Mkuu Wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Daktari Mwigulu Lameck Nchemba Mr CLEAN Anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi katika Wiki Ya Elimu, Ujuzi na Ubunifu itakayofanyika Siku ya Jumatatu ya Tarehe 24/8/2026 Mkaoni Tanga.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na...
Wakati mataifa mengi ya Afrika Mashariki yakihangaika kuboresha mifumo yao ya elimu, wabunge kutoka Uganda wamegeukia Kenya kutafuta mafunzo kuhusu mageuzi yanayoweza kuboresha sekta hiyo nchini mwao.
Ujumbe wa Kamati ya Elimu na Michezo ya Bunge la Uganda ulifanya ziara katika Bunge la Kenya...
Moshi Manispaa- 18/8/2026
Moshi, Kilimanjaro β Diwani wa Kata ya Miembeni katika Manispaa ya Moshi, Mhe. Haruna Mushi, amepongeza juhudi za Serikali chini ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuwezesha upatikanaji wa vifaa vya kujifunzia katika shule mbalimbali, hatua inayochochea...
Agosti 14 mwaka huu wa 2026, ilifanyika semina maalum kwa wanafunzi wa shule ya sekondari Kirima iliyopo Kata ya Kibosho Kirima wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro yenye lengo la kuwajengea wanafunzi uelewa na maarifa muhimu katika maeneo ya taaluma, afya, kujitambua pamoja na kupinga na...
Wadau kwema? Vijana wengi wanamaliza vyuo na kupata vyeti, lakini bado wanakaa muda mrefu bila ajira. Wengine wanaishia kufanya kazi ambazo hazihusiani kabisa na taaluma walizosoma mfano boda boda n.k
Kwa maoni yako, tatizo kubwa ni ukosefu wa ajira, mfumo wa elimu, ukosefu wa ujuzi wa vitendo...
Sasa hivi mambo yamebadilika kabisa! π± Adobe imeleta tools zake ndani ya ChatGPT, ikiwemo Photoshop, Firefly, Premiere, Acrobat na Adobe Express. π¨πΈπ¬
Kuanzia Agosti 6, 2026, Adobe imeleta Adobe plugin ndani ya ChatGPT, ikiwa na zaidi ya tools 70 kutoka kwenye ecosystem yake.
πΌοΈ Photoshop β...
Kwa hii Redmi hapa Wamepitiliza Aiseeh π
Kuna simu mpya ya Redmi inakuja lakini uwezo wake sasa π₯π₯, inaweza kuifanya iwe moja ya simu zenye battery kubwa zaidi kwenye flagship za mwaka huu.
Redmi K100 Pro Max 9,070mAh π + 185Hz β‘ kwenye simu moja?! π₯π± inakuja ikiwa na battery kubwa sana...
Nakumbuka kipindi Cha uchaguzi walisema kuwa vitambulisho vya nida ndio vitakuwa ni kadi za bima au niliwanotes vibaya
Basi tunaomba hili waliweke sawa kati ya elimu na huduma ya Afya
Bora zaidi huduma ya Afya ndio iwe bure na elimu ndio tulipie, Kwa sababu elimu imetangazwa bure ila michango...
Wakuu, nina ndugu yangu ambaye anamaliza la darasa la saba mwaka huu, kama ndugu tumeona tumtafutie shule ambayo haitakuwa mbali sana na makazi yetu. Ni mtoto yatima
Jibu likaja ni kibaha secondary, huyu kijana anasoma pale olympio primary, sasa kimbembe kimekuja ni namna gani tunaweza kupata...