elimu

  1. JamiiForums Tanzania Mpatie mwanao elimu maana ndio urithi wa kudumu

    📚 ELITE HOME TUITION 🏠🎓 Unahitaji Mwalimu Binafsi (Private Tutor) kwa ajili ya mtoto wako? Elite Home Tuition inakusaidia kupata walimu wenye uwezo na uzoefu kulingana na darasa, curriculum na mahitaji ya mwanafunzi. ✅ KG hadi University ✅ Cambridge, IB, British, Indian & Kenyan Curriculum ✅...
  2. JamiiForums Tanzania Hivi kwa mtazamo wenu elimu ya chuo inamanufaa yoyote?

    Mimi kwa kweli naona zama zimebadikika Huwezi kutoboa kwa system yenye congestion namna hii Naona private sector na waliojiajiri wanakula maisha kuliko wenye ajira. Gharama za maisha zimezidi, ukitegemea mshahara hupigi hatua Wanakula maisha ni wenye Mia ya mingi ya hela, wale ambao hela I...
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wizara ya Elimu, ingilieni kati kuhusu Utendaji wa NACTVET

    Kumekuwa na changamoto katika usimamizi na uchakataji wa taarifa za wanafunzi, kuanzia hatua ya usajili hadi utoaji wa namba za AVN. Ucheleweshaji huu umekuwa ukivunja matumaini ya wanafunzi wanaohitaji kuendelea na masomo ya elimu ya juu. Hadi sasa, vyuo mbalimbali, ikiwemo DIT, Tengeru, IAA...
  4. JamiiForums Tanzania NECTA: Darasa la Tano mwaka 2026 kumaliza Elimu ya msingi 2027

    Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limetoa taarifa rasmi inayoeleza mabadiliko katika mfumo wa elimu ya msingi kwa wanafunzi wa shule nchini Tanzania. Mabadiliko haya yanatekelezwa kwa mujibu wa Sera ya Elimu na Mafunzo ya Mwaka 2014 Toleo la 2023 pamoja na Mitaala iliyoboreshwa, kwa lengo...
  5. G

    JamiiForums Tanzania Maendeleo ya Taifa lolote yanaletwa na kushindanisha Ubora kuanzia mifumo ya kapata viongozi ELIMU na uchumi tunaandaa taifa duni tukiondoa ushindani

    Hutuwezi kuwa taifa lenye nguvu imara na lenye maendeleo makubwa kama tutaondoa ushindani wa ubora . Tunaweza kuliua taifa taratibu Kwa sababu ya kikundi Cha watu wachache wenye tamaa wadhaifu wasio na uwezo wasiotaka ushindani. Kuanzia kwenye mfumo wa ELIMU tunaopaswa kuandaa vijana wenye...
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Malalamiko kuhusu kuchelewa kutoka kwa Miundo ya Mitihani ya Kidato cha sita kwa mtaala mpya

    BARUA YA MALALAMIKO Tarehe: 17 Septemba 2026 KWA: Katibu Mkuu, Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, S.L.P. 10, DODOMA. YAH: MALALAMIKO KUHUSU KUCHELEWA KUTOKA KWA MIUNDO YA MITIHANI YA KIDATO CHA SITA (ACSEE) KWA WANAFUNZI WA MTAALA MPYA Ndugu Katibu Mkuu, Tunakuandikia kuwasilisha...
  7. JamiiForums Tanzania Shule mpya ya Makulo yafuta adha ya watoto kutembea zaidi ya km 10 kufuata elimu

    Ujenzi wa Shule Mpya ya Makulo, iliyopo katika Kijiji cha Makulo, Kata ya Nkinto, Wilaya ya Mkalama, yenye thamani ya TSh milioni 300.2, umeleta matumaini mapya kwa wananchi wa eneo hilo na unatarajiwa kuondoa adha ya wanafunzi kutembea umbali mrefu kufuata elimu. Awali, wanafunzi wa Kijiji cha...
  8. JamiiForums Tanzania Azania Bank tawi la Moshi na mkakati wa kuwapa vijana elimu ya fedha na kuwawezesha kiuchumi

    Benki ya Azania tawi la Moshi mkoani Kilimanjaro imeanzisha program ya kutoa elimu ya fedha kwa makundi mbali mbali ikiwamo vijana lengo ni kuwawezesha kuwa na uelewa mpana wa namna ya kutunza fedha Mkakati huo utayasaidia makundi hayo kugeuza elimu hiyo kuwa fursa za kibiashara zinazotolewa...
  9. JamiiForums Tanzania Jumapili ya leo naomba nitoe elimu kuntu, adimu sana huwezi ipata popote pale kwa Dada zetu na wamama watarajiwa.

    Mwanamke anapokuwa katika hedhi, anapaswa kuepuka kuwakasirikia watoto wake, vinginevyo watakuwa wakaidi sana. Mwanamke anayetokwa na damu hapaswi kumpiga mtoto wake, vinginevyo mtoto atakuwa maskini sana maishani, hata kuolewa itakuwa vigumu sana, na watakuwa wapumbavu sana shuleni...
  10. H

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi 150 wa kitanzania kunufaika na fursa ya elimu ya juu Algeria

    WANAFUNZI 150 WA KITANZANIA KUNUFAIKA NA FURSA YA ELIMU YA JUU ALGERIA Tanzania imepata nafasi 150 za ufadhili wa masomo ya elimu ya juu nchini Algeria kwa mwaka 2026, zikilenga wanafunzi waliofanya vizuri zaidi katika masomo ya sayansi. Akizungumza na waandishi wa habari Septemba 11 jijini...
  11. JamiiForums Tanzania Umechapwa na maisha si kwa sababu huna elimu, bro umekosa connection. Kazi zipo nyingi

    Kama huna connection lazima ubebeshwe vyombo na wale wahuni wanaoweka matangazo ya kazi kwenye nguzo za umeme. Hivi umewahi kujiuliza mwonja chakula cha Rais kasomea kozi gani na ana elimu gani? Kama huna connection subiri matangazo ya kazi ya SEKRETERIETI YA AJIRA, na hicho Kiingereza chako...
  12. JamiiForums Tanzania Uwekezaji wa Rais Samia Elimu ya Juu Walipa!

    Uwekezaji wa Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan katika elimu ya juu walipa. ■Wanaodahiliwa vyuo vikuu waongezeka zaidi ya mara one ■Alikuta wadahiliwa 51,489 leo nafasi zimefika 227,000 ■Ni wakati uwekezaji mkubwa kihistoria ukiendelea mikoani
  13. JamiiForums Tanzania NECTA: Watahiniwa 1,168,649 kufanya mtihani wa kumaliza elimu ya msingi 2026

    Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limetangaza kuwa jumla ya watahiniwa 1,168,649 waliosajiliwa kutoka katika shule za msingi 20,019 nchini watashiriki katika Mtihani wa Kumaliza Elimu ya Msingi (PSLE) kwa mwaka 2026. Mtihani huo wa kitaifa unatarajiwa kufanyika rasmi tarehe 9 na 10 Septemba...
  14. JamiiForums Tanzania UN yaidhinisha ramani yenye Ukubwa halisi ya Afrika huku USA Wapinga.Tu Damp Dini, Elimu na mifumo Yao ya Utawala.

    My Take Hawa kima weupe walitufogosha sana ,ni wakati wa kuwatupia virago kuanzia dini zao,Elimu zao na mifumo Yao ya usalama Ili tururishe ukuu wa muafrika. https://www.instagram.com/p/Dc5oAiZjT0Q/?img_index=2&igsi=NnhsbDFnY3l1Zml0
  15. JamiiForums Tanzania Serikali yaweka mikakati elimu ya lazima ya miaka 10

    Serikali imeendelea kuchukua hatua za kuimarisha sekta ya elimu kwa kuongeza miaka ya elimu ya lazima, kupanua fursa za elimu ya sekondari na kuimarisha mafunzo ya ufundi ili kuwapa vijana uwezo wa kushiriki kikamilifu katika soko la ajira. Akizungumza Septemba 02, 2026 jijini Dodoma na Balozi...
  16. JamiiForums Tanzania Piptyda akiingiza milioni 45 Kwa masaa tu live TikTok gift, nilibisha na nitabisha NAOMBENI elimu, pesa nyepesi kiasi hicho

    Mchezesha makalio pip alianzisha kipindi cha dukuduku ambapo anaingia MTANDAONI watu wanatoa madukuduku Yao mbalimbali, sasa hiyo sio KESI, KESI ni kua Kuna gift hutolewa na watazamaji inasemekana mfano ukipigwa simba inakua na thamani sana hivo kadri gift zinavo ongezeka na ndio hela hiyo...
  17. A

    JamiiForums Tanzania KERO Walimu wa Elimu Secondary wilaya ya Bariadi DC hatujapewa hela ya kujikimu na tukiulizia tunatishiwa kupelekwa Shule za vijijini au tunasakiziwa kesi

    Tunaomba utupazie sauti walimu Ajira mpya Halmashauri ya Bariadi DC mkoa wa Simiyu tupewe hela zetu za kujikimu. Tumekuwa tukipeleka taharifa kwa uongozi wetu na majibu tunayopewa ni aidha hela zetu wamezitumia kulipa madeni ya likizo au hela zetu hazijatoka serikali kuu, wakati huo watumishi...
  18. JamiiForums Tanzania Elimu ya ununuzi wa magari used, hasa haya ya Ujarumani

    Mdau, leo nigusie kidogo suala la uagizaji magari kutoka nje. Hasa haya ya Ujarumani. Wengi huagiza haya magari wakiamini huko lilikotoka lilimilikiwa na mtu mmoja. hapana hata kule kuna yard za magari used na sio wazungu/wajapan wote wana uwezo wa kununua zero kilometer. Zipo yard maarufu...
  19. JamiiForums Tanzania Iganzo sekondari wamegoma kupokea maagizo ya wizara ya elimu, waendeleza unyanyasaji kwa mwanafunzi na mzazi wake

    Ijumaa ya tarehe 28 Agosti, nilichapisha hapa jukwaani habari ya walimu wa shule ya sekondari IGANZO iliyopo mkoa wa Mbeya kujaribu kusitisha masomo ya mdogo wetu bila kufuata utaratibu rasmi. UZI: MAMA ALAZIMISHWA KUSAINI BARUA YA MTOTO WAKE KUACHA SHULE Jumatatu tulifanikiwa kuwapigia simu...
  20. JamiiForums Tanzania Kamishna Mwishawa: Ongezeni wigo wa utoaji wa elimu ya uhifadhi kwa wananchi

    Na. Philipo Hassan - Dodoma Kamishna wa Uhifadhi wa Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA), Massana Mwishawa, Agosti 31, 2026 amekielekeza Kitengo cha Mahusiano ya Jamii kuongeza wigo wa utoaji wa elimu ya uhifadhi kwa wananchi hususan jamii zinazozunguka Hifadhi za Taifa ili kuwawezesha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…