elimu

  1. JamiiForums Tanzania Mzazi mwenzangu hataki mtoto apate Elimu nzuri, nadhani hajui elimu ni kwa faida ya mtoto sio mimi wala yeye

    Habarini ndugu Mimi na mzazi mwenzangu bado hatuna ndoa, ila tumebahatika kupata mtoto mmoja, kwa sasa wamerudi mkoani baada ya kuja na kukaa nyumbani kwetu kwa lengo la kumleta mtoto familia yangu imtambue. Baada ya mtoto kufikisha miaka mitatu na nusu, nikamwambia mama yake itabidi mtoto...
  2. JamiiForums Tanzania Ni bora kuwa na maarifa kuliko elimu

    NI BORA KIONGOZI MWENYE MAARIFA KULIKO MWENYE ELIMU
  3. JamiiForums Tanzania Nafasi ya upendeleo

    Kwa upande wangu natamani sana kuona wanafunzi hasa kwanzia kidato cha kwanza mpaka cha sita wanapewa elimu ya kutosha ya kujitegemea. Kwamfano nchi yetu kuna washauri na watu waliobobea kwenye masuala ya teknolojia ya mtandaoni, pia watengeneza maudhui
  4. JamiiForums Tanzania Kuna umuhimu gani vyeti vya ujuzi, elimu viwe na muhuri wa Mwanasheria

    Ndugu zangu Kama mnavoona heading. Hivi kuna umuhim gani wa kupigwa muhuri wa mwanasheria kwenye vyeti vya elimu. Ikiwa hivo vyeti vinatoka serikalini je Mwansheria yeye anathibitisha vipi kwamba hivyo vyeti ni fake au oghiyo imetokea kwa rafiki yangu ambae aliomba kazi shirika La reli TRC...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Tusaidieni Elimu kuhusu Upokeaji wa Summons!

    Naomba mtusaidie Elimu kuhusu taratibu za Upokeaji wa Summons. Je, ni Nani anapaswa kubeba summons kutoka mahakamani kumpelekea Mdaiwa? Je, Ni yeyote Yule au kuna mtu maalumu? Je, kuna muda maalumu (namaanisha masaa ya kazi) au saa yoyote Ile ata saa 7 za usiku ni sahihi? Je, ni sahihi...
  6. JamiiForums Tanzania Hivi unaweza kusoma computing science na kusoma code bila kupitia mfumo rasmi wa elimu?

    Aisee hivi unaweza kusoma computing sciences na kusoma code bila ya mfumo rasmi wa elimu kwa Tanzania na je kuanzisha financial technology company(fintech) vigezo vyake ni vipi? *********
  7. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Kigahe: Wajasiriamali Wapewe Elimu ya Kurasimisha Biashara

    NAIBU WAZIRI KIGAHE: WAJASIRIAMALI WAPEWE ELIMU YA KURASIMISHA BIASHARA Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Exaud Kigahe amezitaka mamlaka za Serikali zinazosimamia sekta ya biashara nchini kutoa huduma bora na kuwalea wajasiriamali ili waweze kufanya uzalishaji wenye tija na kuongeza...
  8. JamiiForums Tanzania Nchi ya Tanzania itafanikiwa endapo 90% ya Wananchi watakuwa wamepata elimu na kujifunza nidhamu ya kufuata sheria

    Ndugu zangu Watanzania napenda kuwaeleza kuwa matatizo ya Tanzania yanasababishwa na ukosefu wa elimu (ujinga) na sio umasikini. Utajiri unapatikana hata kwa kuuza mboga endapo nidhamu ya pesa itazingatiwa Wananchi wanapokosa elimu matokeo yake ujinga unatawala katika fikra zao na mwisho wake...
  9. JamiiForums Tanzania Kati ya elimu na afya kipi kitolewe bure na serikali?

    Elimu na Afya ni huduma muhimu sana katika jamii,ila nina uhakika kwamba moja wapo ni muhimu zaidi hivyo inapaswa kutolewa bure. Nakusanya data kwa kazi maalumu ya kiutafiti,naomba nisaidie kufanya voting kulingana na mtazamo wako. Baada ya polling hii nitakuja na muendelezo ili utimiza adhma...
  10. JamiiForums Tanzania Sioni umuhimu wa elimu Tanzania

    Ukweli mchungu kwa mazingira ya Tanzania elimu haina maana yeyote. Watu waliosoma vizuri uko nyuma asilimia kubwa wapo nje ya nchi wanafanyakazi na kulipwa vizuri Waliobaki Tanzania wengi ndo wameshikilia serikali elimu yao na vyeti vyao ni tiamatiamaji!! Mtu alipata four ya 28 akasoma...
  11. JamiiForums Tanzania Bodi ya mkopo elimu ya juu mwaka ujao nilipe tena?

    Kwenye gazeti la leo la Mwana Habari pana habari inayosemeka 'Rais Samia apeleka kicheko elimu ya juu'. Habari hii inahusu mikopo kwa wanafunzi wa vyuo. Kwa kweli nimefadhaika mno kwani niña binti ambae kateuliwa na Chuo Kikuu cha Dar es Salamm (UDSM) kwa mwaka wa kwanza. Tarehe 4/09 nililipa...
  12. JamiiForums Tanzania Mtaan kuna hitaji elimu ,uchawi ama upambanaji?

    Wajamvi polen. Na majukum. Ndugu yenu napitia changamoto hasa katika harakat za utafutaji unapambana sana lkn mwisho wa siku asbh unamka unajikuta huna hata sent ya kuanzia siku hiyo ,hadi unatamn usiku uendelee tu. Mwisho wa siku najiuliza ili ufanikiwe katika haya maisha ni misingi ipi...
  13. JamiiForums Tanzania Mtaani kunahitaji elimu, uchawi ama upambanaji?

    Wajamvi polen. Na majukum. Ndugu yenu napitia changamoto hasa katika harakat za utafutaji unapambana sana lkn mwisho wa siku asbh unamka unajikuta huna hata sent ya kuanzia siku hiyo ,hadi unatamn usiku uendelee tu. Mwisho wa siku najiuliza ili ufanikiwe katika haya maisha ni misingi ipi...
  14. JamiiForums Tanzania Wanu H. Ameir (Mtoto wa Rais Samia) - Kupata Elimu ya Afya ni Jambo Moja, Lakini Muhimu Sana ni Kupima Kujua Afya yako

    WANU H. AMEIR - KUPATA ELIMU YA AFYA NI JAMBO MOJA, LAKINI MUHIMU SANA NI KUPIMA KUJUA AFYA YAKO "Mwanamke Initiatives Foundation (MIF) tunaunga mkono Serikali zote mbili, Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika masuala ya Elimu, Afya na Uchumi" -...
  15. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kiwango cha juu cha ELIMU ya Gachagua?

    Mwenye kufahamu kiwango cha juu cha ELIMU ya aliyekua Naibu Rais Kenya Rigathi Gachagua tafadhali. Ukimsikiliza matamshi yake Kuna kitu utang'amua
  16. JamiiForums Tanzania Elimu Kwa wapiga kura iwe endelevu

    Ni mazingira gani yanayopelekea huu utamaduni kutokuwa endelevu?
  17. JamiiForums Tanzania Wachina na wahindi wamefanikiwa sana katika kuanzisha viwanda vidogo vidogo hata sisi naamini tunaweza

    Kwa dunia ya sasa haina haja ya kusubiri aje mwekezaji mkubwa kutoka nje ya nchi aje atuletee maendeleo tutabaki kuwa watumwa katika nchi yetu kila muwekezaji anakuja kwa lengo la kuchuma nazani Mimi kwa mtazamo wangu naona wakutukomboa ni sisi wenyewe tunapaswa tuongeze jitihada mahali flani...
  18. JamiiForums Tanzania Huwa mnawakanya mambo muhimu ya kuzingatia huko vyuoni?

    Oya wana Jamiiforums hivi hawa madogo kabla ya kwenda Chuo Kuenjoy na bata sijui Boom. Hivi huwa mnawakanya mambo muhimu ya kuzingatia huko vyuoni.... ✍️
  19. JamiiForums Tanzania Pitia elimu fupi: Subaru forester 4th generation (eyesight)

    HII NDIYO FORESTER NEW MODEL (4th GENERATION)🔥🔥 FORESTER ni gari ambayo imepata umaarufu wake kutokana na Ufanisi wa Utendaji wake ambao ni thabiti hata katika barabara zenye changamoto. Katika Toleo la NNE (SJ) Kuna maboresho ambayo yamefanyika. Hapa tunazungumzia matoleo ambayo uzalishwaji...
  20. JamiiForums Tanzania Ni wapi bado tunahitaji sauti zaidi za wanawake? Je, ni katika Siasa, Elimu au Biashara?

    Wanawake wanaposhiriki katika maamuzi, huleta mitazamo mipya yenye nguvu za kuleta mabadiliko chanya na ya kudumu. Ushiriki wao unaleta uwiano wa kijinsia unaohitajika katika kila sekta – iwe ni siasa, biashara, jamii au elimu. Tunapozingatia changamoto nyingi zinazokumba jamii zetu, kama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…