elimu

  1. JamiiForums Tanzania Hali ya Elimu katika Nchi Yetu Sasa

    Habari wanajamvi, Naamini tunaendelea vizuri na shughuli zetu za kufunga mwaka wa 2024. Mungu amekuwa mwema kwetu, na ni kwa kudra zake tunaendelea kuishi. Jana nilimtembelea rafiki yangu mmoja. Yeye na mke wake ni waalimu wa sekondari. Tuliongea mengi, na mojawapo ya tulivyovigusia ni hali ya...
  2. U

    JamiiForums Tanzania Wizara ya afya na watalam wa afya ya mlaji mnatowa elimu gani kuhusu hili?

    Kuna habari nilizisikia zamani na sasa pia nazisikia kuwa wafugaji wa nguruwe wanawapa nguruwe wao ARV ili wanenepe.Naomba kufahamu hii haina madhara kwa mlaji?Ninyi wahusika mmewahi kufatilia hili kujuwa ukweli na kuchukuwa hatuwa?
  3. JamiiForums Tanzania Elimu ya kusoma nyota (unajimu) inaruhusiwa katika Ukristo?

    Ukisoma biblia mamajusi(wanajimu) watatu kutoka mashariki walisoma na kuifuata nyota kutoka mashariki iliyowaongoza kutoka mashariki walipokuwepo hadi Bethlehemu alipozaliwa mfalme wa Wayahudi(Yesu Kristo). Je ni sawa kwa mkristo kushiriki kwa namna yoyote katika usomaji nyota(unajimu)?
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ucheleweshaji wa fedha za kuendeshea shule za msingi za serikali

    Kila mwezi serikali inaingiza fedha za uendeshaji shule kwa kuzingatia idadi ya wanafunzi, fedha hizo zimekuwa zikichelewa sana na kusababisha kero kwa walimu , lakini upande wa sekondari huwekewa fedha zao mapema. Pamoja na changamoto hizo wanazopitia walimu wako baadhi ya madiwani wanaopanda...
  5. JamiiForums Tanzania DC Lindi Amulika Miradi ya Elimu, Asisitiza Muda, Ubora na Thamani ya Fedha

    DC LINDI AMULIKA MIRADI YA ELIMU, ASISITIZA MUDA, UBORA NA THAMANI YA FEDHA Mkuu wa wilaya ya Lindi Victoria Mwanziva amesisitiza Miradi ya elimu kukamilika kwa wakati, Ubora na thamani ya fedha ambapo ameyasema hayo akikagua miradi ya Elimu Sekondari katika Manispaa ya Lindi akianza na Miradi...
  6. G

    JamiiForums Tanzania Gaza haitamaniki imepigika haswa, Israel wanaendelea kufumua mitaro ya mahandaki na kushusha majengo

    USIAANZISHE VITA USIYOIWEZA, UKILIANZISHA USILALAMIKE UKIKANDWA !! N:B: Majengo yanayolipuliwa kwenye video hayana watu, kama wamo ni magaidi
  7. JamiiForums Tanzania Hivi unaweza kusoma sheria ukiwa na elimu ya Form Four?

    Kichwa cha habari chahusika, Nina kaka angu alimaliza form four miaka ya nyuma na hakuweza kufaulu kuendelea na form five, sasa hivi anawaza kuingia chuo asome sheria ila matokeo yake ana C ya Historia na C ya Civic, Masomo mengine alipata yote D. Je, anaweza kuingia Chuo matokeo hayo?
  8. JamiiForums Tanzania Msaada: Mimi nmesoma Elimu ya watu wazima na maendeleo ya jamii, hivi Kuna uwezekano wa kubadilishwa kutoka kwenye ualimu nikaenda ustawi wa jamii?

    Naomba msaada plz. Mimi nmesoma Elimu ya watu wazima na maendeleo ya jamii, hivi Kuna uwezekano wa kubadilishiwa muundo kutoka kwenye ualimu nikaenda kufanya kazi Uastawi wa jamii au maendeleo ya jamii? , na je maendeleo ya jamii scale yao ya mshahara ni zaidi ya ualimu? Naomba kueleweshwa kwa...
  9. G

    JamiiForums Tanzania Mali zinazopatikana kwa elimu zisigawanywe kwenye talaka, Juhudi za chekechea mpaka chuo haziwezi kupigwa pasu kwa pasu , Tuwaige wenzetu wakenya

    Chekechea - miaka 2 Msingi - miaka 7 Olevel - miaka 4 Form 5 / Dip - miaka 2 Degree - Miaka 4 kujitolea kupata ujuzi - miaka 3 Mtu kasota miaka kibao kajiwekeza then kapata ajira yake au kajiajiri kwa taaluma aliyosomea, kaanza kufaidi matunda yake ya uwekezaji alioufanya tangu chekechea hadi...
  10. JamiiForums Tanzania Sikubaliani na aina ya mabadiliko ya viongozi uliofanywa na Rais Samia. Washauri wake wamempoteza

    Niaje waungwana Naona raisi Samia kaendelea kuvuruga serikali yake mwenyewe bila kujua madhara yanayoweza kutokea kutokana na uvurugaji wake huo. Ni kama vile kocha asiejua nafasi za wachezaji wake uwanjani kiasi ya kwamba golikipa anampanga kwenye ushambuliaji, mshambuliaji anapangwa kwenye...
  11. JamiiForums Tanzania Vijana wezangu nipeni elimu kijana wenu

    Wakuu, naomba kuuliza: Je, kuna madhara yoyote yanayoweza kutokea unapokula mfululizo karanga mbichi, mbegu za maboga, muhogo mbichi, na vyakula vinavyosadikika kuimarisha mfumo wa uzazi wa mwanaume, lakini hushiriki kabisa tendo la ndoa kwa muda mrefu, ila unakula tu kujiimarisha na kujiweka sawa?
  12. M

    JamiiForums Tanzania Usalama barabarani Tanzania, iwe mada ya lazima kufundishwa na maswali yake yajibiwe kwa lazima na kila mtahiniwa kwa ngazi zote za elimu nchini

    Kutokana na ongezeko kubwa la vyombo vya moto, vyombo vya usafirishaji na mitambo mbalimbali inayotumia barabara, ipo sababu ya mitaala na miongozo ya ufundishaji au utoaji mafunzo yoyote nchini kujumuisha mada ya usalama barabarani ili kupanua wigo katika uelewa wa matumizi sahihi ya barabara...
  13. JamiiForums Tanzania Dodoma: TRA yatoa elimu ya Kodi ya zuio Kwa taasisi za Umma

    Mamlaka ya Mapato Tanzania imetoa semina kuhusu kodi ya zuio kwa Taasisi za Umma leo tarehe 5/12/2024 Dodoma. Semina hiyo iliongozwa na Naibu Kamishna wa Huduma za Kiufundi kutoka idara ya Walipakodi Wakubwa (DCTS) Bw. Gabriel Kimweri.
  14. JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi latoa Elimu ya usafirishaji haramu wa binadamu kwa Watumiaji vyombo vya majini

    Ikiwa ni mwendelezo wa utoaji elimu kwa makundi mabalimbali katika jamii kikosi cha wanamaji dawati la jinsia na watoto limewafikia watumiaji wa vyombo vya majini na kuwapa elimu ya ukatili ikiwa ni pamoja elimu ya usafirishaji haramu wa binadamu. Akiongea wakati wa utoaji elimu hiyo...
  15. JamiiForums Tanzania Mfumo wa elimu uwe wa kikanda kutokana na fursa za kiuchumi wa eneo husika

    Niende moja kwa moja kwenye mada kutokana na uwepo wa degree nyingi mtaani bora kuwe na mfumo mpya wa elimu kutokana na kanda husika kutoka primary hadi high level. Kwa mfano watu wa Mwanza wawe na silabasi yao inahusu uvuvi na uchumi wa blue toka shule ya msingi kama usafirishaji wa majini...
  16. JamiiForums Tanzania Uzi maaluumu wa kupeana hints za hii kazi wanayoenda kufanya interview "Editor II" Taasisi ya elimu (TIE))

    Wakuu kwema?? Naomba nilete huu uzi hapa ili tuweze kupeana hints za hii job Ukwl kwamba hii job imechukua watu wa fani tufauti tofauti kupiga hii interview Naijiuliza ili uweze kudufua hii job unahitaji kujikita kwenye nini hasa? Common predictable question zinaweza kuwa kama zipi? Hii...
  17. JamiiForums Tanzania Msaada kwa mwenye elimu ya Biblia

    Habari ndugu zangu matumaini yangu ni kuwa mu wazima wa afya na kama kuna changamoto yoyote usikate tamaa ndio ubinadamu. Leo nilikua siko poa, na mara nyingi napokua katika situation kama hii napenda kusikiliza mziki au kusoma bibilia ili kurudi kwenye mood. Sasa leo katika kusoma kwangu...
  18. M

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Zanzibar hakuna Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, tupeane elimu kidogo kuhusu Chaguzi

    Hivi karibuni huko Tanzania Bara kumekuwa na mchakato wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ambapo leo Novemba 27, 2024 Wananchi wanapiga kura. Mimi kama mdau wa siasa na mifumo ya Uchaguzi Zanzibar nimekuwa nikipokea maswali mengi kuhusu kwanini Zanzibar kumekuwa hamna shamrashamra za Uchaguzi kama...
  19. F

    JamiiForums Tanzania Naomba kupata elimu kuhusu CCTV cameras

    Please wapendwa, naomba kupata elimu kuhusu CCTV cameras, jinsi ya ku operate, aina zake, bei na wapi zinakopatikana, pia apart from homes, je naweza itumiamawneo yapi mengine, I am so ignorant about it. So ningependa kuwa enlightened, Dunia inaenda Kasi jamani. Your contributions would be...
  20. JamiiForums Tanzania LGE2024 CHADEMA watoa Elimu ya kupiga Kura ya Ndio na Hapana Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Kesho, tarehe 27 Novemba 2024, ni siku muhimu kwa Watanzania kushiriki katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Hii ni fursa ya kipekee kwa wananchi waliojiandikisha kutumia haki yao ya kidemokrasia kuchagua viongozi bora watakaosimamia maendeleo katika maeneo yao. CHADEMA wametumia fursa hiyo pia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…