👉🏾Zamani, mfumo wa elimu ulikuwa ni piramidi (pembe tatu),
wengi walianza na elimu ya msingi, baadae sababu kama kukosekana kwa msukumo wa elimu,utoro,mazingira,kufeli waliishia darasa la saba au hawakufika,na wengine walikwenda sekondari walioweza kuhimili hizo changamoto.
walimaliza elimu ya...