east africa

  1. JamiiForums Tanzania Uganda sasa Kuongea kiswahili rasimu: Kalibu wagand kwene mtanange wa the Titans of East Africa!

    Waganda sas wametangaza kuanza kuongea kiswahili na kuiacha lugha yao ya kikabila https://youtu.be/UKg4ZWlxKCI?si=9c_kWE1a5lZm8Mgl Karibu sasa rasmi:
  2. JamiiForums Tanzania Advisor for Artificial Intelligence in East Africa

    Job Opportunity: Advisor for Artificial Intelligence in East Africa Programme: GIZ Digital Skills for an Innovative East African Industry (dSkills@EA) Duty Station: Arusha, Tanzania Job Band: 4 Contract: Fixed Term About GIZ The Deutsche Gesellschaft für Internationale Zusammenarbeit (GIZ)...
  3. JamiiForums Tanzania Mjadala Mzito: Umuhimu wa Tanzania Katika Mtangamano wa Afrika Mashariki (Leo Kwenye Space 04 Dec 2024 19:00 East Africa )

    Leo kuanzia saa moja kutakuwa na mjadala mzito utakaoendeshwa online kuhusu Umuhimu wa Tanzania Katika Mtangamano wa Afrika Mashariki Sote tunakaribishwa: https://x.com/i/spaces/1OwGWNkRORVKQ/peek Wazungumzaji nguli watakuwepo. Mnakaribishwa na kutakuwa na Live Update hap JF:
  4. G

    JamiiForums Tanzania East Africa Radio kwanini mlikatisha mahojiano na Mzee Bantu?

    Jana katika kipindi cha jioni alikuwepo mtu mmoja aliyejitambulisha kama Bantu. Alikuwa ameanza kuzungumzia jinsi alivyouona uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliopita. Alikuwa anaongea maneno ya kweli na adimu sana kuyasikia kwenye media zetu. Muda mfupi nilitoka nje ya gari kidogo, kurudi...
  5. JamiiForums Tanzania Hatimaye Tanzania yaipiku Kenya katika FIFA - Football ranking - CAF Zone, Rasmi Tanzania na Uganda ndiyo Giants wa soka East Africa

    Je, huu ni Mwanzo wa Tanzania kuwa power house of East africa, Kimichezo na Kiuchumi kama ilivyokuwa mwanzoni mwa miaka ya 80's?
  6. JamiiForums Tanzania Tanzania Inahitaji 6 International Airports kuwa mshindani kiuchumi East Africa

    Kwa ukubwa wa Tanzania, tumechelewa sana kwenye secta ya anga. Hadi 2015 tulikuwa bado tunatumia rada za majirani zetu na tulikuwa tuna kiwanja kimoja tuu chenye hadhi ya kimataifa. Kwa sasa tuna viwanja viwili 2 ambavyo vinaweza kuhost ndege kubwa za kimataifa ambavyo ni Kilimanjaro ambacho...
  7. JamiiForums Tanzania Je, ni kweli umri unavyozidi kuongezeka Mwanamke hutaka ngono zaidi huku Mwanaume hamu ikipungua?

    Wataalamu tunaomba msaada. Je, ni kweli umri unavyozidi kuongezeka Mwanamke hutaka ngono zaidi huku Mwanaume hamu ikipungua?
  8. JamiiForums Tanzania Kenya the giant of Africa is sleeping and the sleeping giant of east africa is waking up!! Viva Tanzania

    The Giant of Africa Kenya has no any significant Export among the top ten. On other side the sleeping Giant is waking up to her long sleepy era and she is taking up her place as the East Africa biggest Economy. Tanzania is exporting more than 3 Billion usd ahead of any nation in East Africa...
  9. JamiiForums Tanzania KERO NIDA kuna matatizo ya rushwa na urasimu

    Ni siku tatu zilizopita nimelalamikia nida Kawe na uhuni nilioona. 1. Siku naenda kujiandikisha nilifika saa nne nkaitwa saa tisa kupigwa picha. Unaweza hisi ni makusudi ama wewe pekeyako lakini lundo la watu mnaitwa saa tisa wengine walikata tamaa wakaondoka. 2. Nililalamika ushenzi...
  10. JamiiForums Tanzania Mustakabali wa Gen Z East Africa

    Hili vuguvugu la harakati za Gen Z lililoanzia Kenya kisha kuhamia Uganda hivi karibuni. Ni kiashiria cha mahitaji ya mabadiliko ya kiuchumi na kijamii yenye kupiganiwa na vijana. Kwa vile mifumo na sera za fedha na ajira limegeuka kupe dhidi yao katika maisha ya kila siku. Walakini viongozi...
  11. JamiiForums Tanzania Data Analyst at East Africa Fruits July, 2024

    Data Analyst at East Africa Fruits July, 2024 About the job Collect and curate data from various sources, including but not limited to Google Sheets, databases, and APIs. Organize, clean, and maintain datasets to ensure data integrity and accessibility. Apply statistical methods to interpret...
  12. JamiiForums Tanzania Katika nchi za East Africa hakuna nchi inayopitia kipindi kigumu kama Tanzania. Yanayoendelea Kenya ni tabia tu.....

    Ugweee..nimekosa salam ya haraka kuwasabahi ndg zangu. Hawa Z Generation nchini Kenya ni muenendo na miendelezo ya tabia ya wananchi waliosomeshwa na serikali zao za nyuma...hapa namzungumzia Moi na wengine waliofanya vema. Kinachoendelea nchini Kenya ni sahihi na haki kabisa. Hapa Tanzania...
  13. JamiiForums Tanzania MWENYEKITI wa Kampuni ya Mohammed Enterprises (T) Limited (METL), Ghulam Dewji amekana kampuni yake kuwa na uhusiano wa aina yoyote na Kampuni ya ITEL

    MWENYEKITI wa Kampuni ya Mohammed Enterprises (T) Limited (METL), Ghulam Dewji amekana kampuni yake kuwa na uhusiano wa aina yoyote na Kampuni ya ITEL East Africa Limited. Amesema masuala yanayohusu Kampuni ya ITEL East Africa Limited yasihusishwe na kampuni yake huku akionyesha wasiwasi...
  14. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jirani, Wananchi Hawaelewi Kilichopo Kichwani Kwa Rais Wao ni nini!

  15. JamiiForums Tanzania Enzi za Idd Amini zingekutana na John Magufuli Afrika Mashariki ingechangamka sana

    Hawa wajomba wawili, wana sifa moja common ya kutokuwa na simile na mabwanyenye wa magharibi.. Laiti enzi za uongozi wao zingekutana kwa pamoja, naamini East Africa haingekuwa kama ilivyo sasa. Shida kubwa waliyokumbana nayo wote wakati wanaongoza ni walikuwa hawakubaliki na nchi jirani wakati...
  16. JamiiForums Tanzania Mjadala East Africa Radio: Diamond ni mkubwa YouTube kuliko Jay Z

    Mjadala ambao umechukua hisia za mashabiki katika viunga mbalimbali Africa ya mashariki ni kuhusu hoja iliyoletwa na watangazaji vijana machachari wa East Africa radio kuwa Diamond Platinumz ni mkubwa kuliko Jay Z kwenye mtandao wa YouTube. Mjadal huo uliendeshwa na vijana wenye vipaji na...
  17. JamiiForums Tanzania Operations Accountant at East Africa Fruits Ltd April, 2024

    About EA Foods East Africa Foods is a food-tech company focusing on efficient distribution of foods from farm to market. It has an extensive operations and logistics team that works around the clock to achieve the highest distribution efficiency in the industry We are currently looking for an...
  18. JamiiForums Tanzania Marketing and Relationship Supervisor (Farmer) at East Africa Fruits Ltd April, 2024

    About EA Foods East Africa Foods is a food-tech company focusing on efficient distribution of foods from farm to market. It has an extensive operations and logistics team that works around the clock to achieve the highest distribution efficiency in the industry We are currently looking for...
  19. JamiiForums Tanzania Senior Accounts Officer at East Africa Fruits Ltd April, 2024

    About EA Foods East Africa Foods is a food-tech company focusing on efficient distribution of foods from farm to market. It has an extensive operations and logistics team that works around the clock to achieve the highest distribution efficiency in the industry We are currently looking for...
  20. JamiiForums Tanzania Je, Ethiopia kujiunga Jumuiya ya Afrika Mashariki kutaharibu au kuimarisha jumuiya hiyo?

    Ethiopia inataka kujiunga na EAC? Nini madhara na faida? Je Tanzania na Kenya zitakua bado na sauti ndani ya EAC au ndio mvurugano utaongezeka?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…