duniani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Siku ya Wanawake Duniani: Itafutwe namna ya kuonyesha jitihada za wanaume kifamilia na kijamii

    Ni vyema kuwashukuru na kuwapongeza mama zetu kwa kutulea toka tumboni mpaka leo. Watu husema wababa wengi hufa mapema kuliko wamama kutokana na kutokuongea na hivyo kupata magonjwa yatokanayo na misongo ya mawazo. Jana ilikua siku ya wanawake duniani, wanawake wengi waliongelea ubora wao na...
  2. Simba ya 98 kwa ubora duniani

    Sio Mimi ni priva Yaani timu 20 za epl+ 20 za Seria A + 20 za ligi 1 +20 za la liga +18 za Bundasliga =98 maanake Simba anamreplace moja hapo This is Simba ladies and gentlemen
  3. Nchi zinazo zalisha gesi asilia zaidi duniani, 2022

    Nchi zinazo zalisha gesi asilia, zaidi duniani, 2022; 1. Russia (47,805 billion cubic meters) 2. Iran (33,721 bcm) 3. Qatar (24,072 bcm) 4. United States (15,484 bcm) 5. Saudi Arabia (9,200 bcm) 6. Turkmenistan (7,504 bcm) 7. United Arab Emirates (6,091 bcm) 8. Venezuela (5,740 bcm) 9. Nigeria...
  4. Nchi zinazozalisha mafuta zaidi duniani 2022

    Nchi zinazo zalisha mafuta zaidi duniani 2022, (thousands barrels per day); 1. United States (12,108) 2. Russia (10,835) 3. Saudi Arabia (9,580) 4. Iraq (4,620) 5. Canada (4,129) 6. China (3,823) 7. United Arab Emirates (3,068) 8. Kuwait (2,652) 9. Brazil (2,604) 10. Iran (2,213)
  5. Kuongezeka kwa bei za Dhahabu na Mahindi duniani; Mawaziri Biteko na Bashe na Gavana BoT mmejipangaje?

    Amani iwe nanyi, Habari kuu kwa sasa duniani ni kupanda kwa bidhaa adimu kutokana na vita vinavyoendelea vya Russia v Ukraine. Bidhaa adimu kama mafuta na Gesi zinazidi kupanda kwa kiwango cha kutisha na Mataifa yenye mafuta na Gesi Afrika yameanza kukamatia fursa kuongeza mapato yake kwa...
  6. K

    Duniani kuna Mambo!

    Kuna mfanya biashara mmoja maarufu(jina kapuni) ametoa dau la Tshs 2.3 Bilioni kwa atakayemkamata Putin, hai au amekufa! Sasa nimecheka peke yangu. Nikajisemea: "Isije ikawa kibao kikabadilika halafu tanangazo hilo ligeukie kwake!" Putin ni mjanja kama nyoka! Na akiamua anampata!
  7. Vikwazo vya kiuchumi kwa mabilionea Russia ni funzo kwa Mafisadi na viongozi wa serikali mbalimbali duniani wanoiba mali na fedha na kuzificha nje

    Russia inashambuliwa kiuchumi kila kona kwa nguvu zote na matajiri wakubwa wajulikanao kama "Oligarchs" wanazuiwa mali zao katika mabenki mbalimbali duniani. Hiyo ni kufuatia nchi mbalimbali duniani zikiongozwa na Marekani na Uingereza kuamua kuiweka vikwazo vya kiuchumi Russia baada ya nchi...
  8. Victoria Charles Mwanziva Leo Tarehe 3 Machi 2022 ameshiriki utoaji wa Elimu kwenye Kambi maalumu ya Mabinti

    KATIBU WA UHAMASISHAJI NA CHIPUKIZI UVCCM TAIFA ASHIRIKI UTAOAJI WA ELIMU YA UONGOZI KUELEKEA KILELE CHA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI Kuelekea kilele cha siku ya wanawake Duniani Tarehe 8 machi 2022, Katibu wa Uhamasishaji na Chipukizi UVCCM Taifa Ndugu. Victoria Charles Mwanziva Leo Tarehe 3...
  9. World Hearing Day: Watu Bilioni 1.5 Duniani wanaishi na tatizo la usikivu

    Machi 03, 2022 ni Siku ya Usikivu Duniani ambapo inaelezwa takriban Watu Bilioni 1.5 Duniani kote wanaishi na tatizo la usikivu. Wataalamu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) wanasema idadi hii inaweza kuongezeka hadi Bilioni 2.5 kufikia Mwaka 2030 Inaelezwa, Mamilioni ya Vijana wapo hatarini...
  10. Nyerere alikurupuka kuleta mfumo wa Muungano ambao haupo sehemu yoyote Duniani, na hakuna nchi itakayojaribu kuiga

    Yeye ndie alieanzisha kitu hiki ambacho hakipo duniani nchi yoyote ile zaidi ya hapa kwetu. Haiingii akilini vya upande A ni vya upande B lakini vya upande B si vya upande A, Very bitter. Tukiendelea na huu mfumo, basi mateso haya tinayopitia yatakuwa mara 10 zaidi ya hapa miaka ijayo na ndio...
  11. Huenda kuna waislam wengi duniani wameshazikwa wakiwa hai

    Ni utaratibu mzuri sana wa kuwahi kuzikana, ukikata moto asubuhi mchana tunazika Ila nina hakika kuna watu wengi wameshazikwa Ili hali wakiwa wamezimia au wakiwa kwenye coma, hasa vijijini pasipo na hospitali na daktari wa kuthibitisha kifo. Kuchelewa kuzika ni mbaya ila ina faida zake...
  12. B

    Jengo refu zaidi Duniani la Burj Khalifa - Dubai lapambwa kwa picha za Bendera ya Tanzania

    Jengo refu zaidi Duniani la Burj Khalifa pale Dubai muda huu limenakshiwa kwa Bendera ya Tanzania mwanzo mpaka mwisho lote. Dunia nzima sasa inatazama maajabu haya kwenye Jengo hilo refu zaidi Duniani huku Utalii wa Taifa letu ukizidi kutangazwa. Yote hii ni matunda ya ziara ya siku 3 ya Rais...
  13. Binadamu hana jipya hapa duniani zaidi ya kuwa ni mfugo unaosubiri kuliwa tu

    Binadamu hana jipya lolote hapa duniani zaidi ya kuwa ni mazao au mifugo inayofugwa na kile kinachoitwa Mungu ili apata chakula kitakacho muhakikishia uwepo wake. Kama unavyoona unafuga ng'ombe,mbuzi,kondoo,kuku,bata n.k ili tu mwisho wa siku upate kitoweo. Pia kama unavyohangaika kulima mazao...
  14. T

    Wakamaria (gamblers) ni miongoni mwa watu wasio na furaha hapa duniani.

    Ahlan wa sahlan Wakamaria aka (gamblers) ,ni miongoni mwa watu wasio na furaha hapa ulimwenguni. Mwanadam ameumbwa akiwa na sifa ya kupenda umiliki na anachukia sana kitu ambacho amekimiliki kikimtoka. Uchezaji wa kamari ni jambo ambalo limeharibu maisha ya watu wengi sana hapa duniani.Kamari...
  15. L

    Bei ya mafuta ghafi yaongezeka duniani baada ya Russia kuivamia Ukraine

    Baada ya muda Mrefu Mafuta ghafi kuwa bei chee wakati wa janga la Corona kutoka bei hasi hadi kukaribia dollar 100 kwa pipa wakati huu. Traders let's take advantage from this.
  16. Bunge la Urusi lamruhusu Rais kupeleka majeshi mahala popote Duniani

    Bunge la Urusi limempa Rais wa n hi hiyo nguvu ya kupeleka majeshi yake mahala popote Duniani pale itakapo hitajika. Bunge hilo limefikia uamuazi wake Leo 22.02.22 siku moja mara baada ya Urusi kuyatambua majimbo yaliyokua yanapigania kujitenga na Ukraine. Kwa mtazamo wangu hii nayo ni moja ya...
  17. L

    Kupanua mauzo ya bidhaa kwa China kunaifanya Afrika kuwa kanda ya kuvutia katika ukuaji wa uchumi na biashara duniani

    Kulingana na takwimu zilizotolewa hivi karibuni na Idara ya Forodha ya China, mwaka 2021 kiwango cha biashara kati ya China na Afrika kiliongezeka kwa 35% ikilinganishwa na mwaka uliotangulia, na kufikia dola za Kimarekani bilioni 254.3, kiasi ambacho kimezidi kile cha kabla ya kutokea kwa janga...
  18. Wengi wa wakimbizi duniani wanatoka katika nchi 5, Afghanistan, Myanmar, Sudan Kusini, Syria na Venezuela

    Wengi wa wakimbizi duniani wanatoka katika nchi 5, Afghanistan, Myanmar, Sudan Kusini, Syria na Venezuela. Na nchi hizi ndizo zimo hatarini zaidi na athari za mabadiliko ya tabianchi. =========== Since the 1990s, we have become increasingly committed to protecting the environment and of the...
  19. Siku ya Lugha Mama Duniani: 40% ya watu hawatumii Lugha wanazozielewa katika kujifunza

    Februari 21 ni Siku ya Kimataifa ya Lugha Mama ambayo ilianza kuadhimishwa 2000 ili kudumisha Utamaduni na Amani kupitia Lugha UNESCO wamesema hadi sasa 40% ya watu duniani hawatumii Lugha wanazozielewa kwenye kupata elimu. Jamii hizo zimelazimika kufahamu Lugha zaidi ya moja Kwa 2022 Siku ya...
  20. Afrika na Asia zaliokoa kanisa Katoliki duniani na janga la uhaba wa wito wa upadri

    According to Vatican statistics released this month, there were 410,219 Catholic priests in the world in 2020, down 4,117 from the previous year, the last available data. The steep drops in North America and Europe were offset by increases of new priests in Africa and Asia. --- ROME (AP) — The...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…