Simba ya 98 kwa ubora duniani

mugah di matheo

JF-Expert Member
Jul 28, 2018
6,276
12,335
Sio Mimi ni priva

Yaani timu 20 za epl+ 20 za Seria A + 20 za ligi 1 +20 za la liga +18 za Bundasliga =98 maanake Simba anamreplace moja hapo


This is Simba ladies and gentlemen

FB_IMG_16467515920704687.jpg
 
Manchester City mwaka 2020 alikuwa nafasi ya 5 saizi kapanda nafasi mbili kawa wa 3, yani kawazidi watu wawili tu

Simba alikuwa nafasi ya 361 saizi yupo nafasi ya 98 kwa maana ya kwamba kawapita watu 263

Kutoka alipo simba mpaka nafasi alipo Man City hapo katikati kuna vichwa kama 93

Hii ni speed ambayo inamkatisha tamaa sana Man City na kumkosesha amani sana kwenye nafasi aliyokaa
 
Mchezaji ambaye anatangazwa na media kama kitenge TV kua ni mfungaji bora

Ni tofauti sana na mchezaji ambaye goli lake linazua mijadala kwenye media za kitaifa na kuwekwa katika list ya magoli bora ya msimu
Hawapendi na hawataki kujua.Utopwenge ni majanga jangwani.
 
Back
Top Bottom