duniani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kwanini jamii ya Wayahudi inalindwa sana duniani kuliko watu weusi?

    Jamii ya wayahudi imekuwa ni jamii inayolindwa sana duniani kiasi kwamba ukiongea neno lolote lenye kiashiria kibaya au cha kibaguzi dhidi yao hata kama ni cha ukweli lazima wakushughulikie. Ila jamii ya watu weusi kutwa kucha inabaguliwa lakini hatua hazichukuliwi na inaonekana ni sawa tu...
  2. JamiiForums Tanzania Serikali yoyote duniani corrupt lazima wananchi wake wapate shida

  3. JamiiForums Tanzania Bei ya makaa ya mawe duniani imefika USD 270 kutoka USD 50 kwa tani sababu ya vita vya Ukraine na Urusi, ulaya wanahitaji nishati

    Bei ya makaa ya mawe duniani imefika USD 270USD kutoka USD 50 kwa tani sababu ya vita vya Ukraine na Urusi, ulaya wanahitaji nishati. Tanzania ina akiba ya tani Millioni 290 ardhini, kwa hesabu zaharakaharaka hiyo ni Trillioni 184. Vituo vya afya na lami kila kona; VIONGOZI WANGU...
  4. JamiiForums Tanzania Taja vitu duniani ambavyo ni uongo

    Habari wakuu, kuna mambo mengi sana ambayo nimegundua kuwa si kweli, bali ni uwongo na wanadamu huamini ni ukweli. 1. Jua limesimama wakati linazunguka. 2. Ndege kutumia mafuta: Ndege hutumia 90% compressed air na 10% kerosene ili kufanya safari zake. 3. Mafuta hupatikana kwa mizoga: Mafuta...
  5. JamiiForums Tanzania Ajali za treni duniani. SGR, tumejitayarishakuelimisha matumizi ya makutano ?

    Tunategemea kuwa reli yetu inayojengwa , SGR, itakuwa ya kisasa na yenye spidi kali. Spidi zinazotazamiwa ni hadi 160km/hr. Hii ni spidi kali sana kwa mwendo wa ardhini. Kwa vile kutakuwa na makutano(Railway crossings) nyingi sana kati ya njia za treni hiyo na barabara, tumejitayarisha kivipi...
  6. JamiiForums Tanzania Leo ni Siku ya Chakula Duniani, uhakika wa chakula bora upoje kwako? 'Leave NO ONE behind'

    October 16 ya kila mwaka ni Siku ya Chakula Duniani. Siku hii inaadhimishwa ikiwa ni kuikumbusha jamii ya kimataifa kuwa, baa la njaa linaathiri kila mmoja wetu, awe tajiri ama masikini, katika nchi kubwa kiuchumi au nchi iliyo nyuma kiuchumi. Siku hii ni ilianzishwa na Shirika la Chakula na...
  7. JamiiForums Tanzania Japo Yanga siwapendi kuliko timu zote duniani lakini ninapenda Tanzania na sisi tuingize timu mbili makundi CAFCL

    Thamani ya ligi yetu itaongezeka sana. Watanzania wataanza kuangaliwa ili wasajiliwe timu nyingine za Afrika. Na pengine makocha wetu wanaweza kutazamwa. Yanga siwapendi na mpira wao uko sana mdomoni lakini ningefurahi mwaka huu na sisi tuwe na timu mbili kwenye makundi CAFCL. Azam nao...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Katika nchi 35 zilizokataa kupiga kura suala la Urusi kuvamia Ukraine 50% ni za Afrika, ikiwemo Tanzania

    Niliweka thread humu JF kwamba suala la Urusi na Ukraine ni dogo sana kwa mtu asie na ukahaba wa kisiasa wa kufuata bwana atakaekupa maslahi bila kujali utu wa mtu huyo. Nilisema wazi, leo hii wakati tunamkumbuka Nyerere tutafakari angesimamia wapi katika suala la Urusi na Ukraine. Nyerere...
  9. JamiiForums Tanzania Hotuba ya Mlimani - Hotuba Maarufu zaidi kuwahi kutolewa Duniani

    HOTUBA MAARUFU ZAIDI KATIKA BIBLIA (SERMON ON THE MOUNT) Yesu alipoanza Huduma ya kueneza neno la Mungu alikusanya wanafunzi wake 12 na akatoa Hotuba maarufu zaidi katika biblia nzima na hajawahi mtu yeyote katika biblia kutoa Hotuba kama ile kuanzia Mwanzo mpaka ufunuo hakuna...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Huwezi kuzungumzia maendeleo ya teknolojia duniani bila kuitaja China

    Na Gianna Amani China ni nchi kubwa kiuchumi na yenye idadi ya watu wengi kuliko nchi zote duniani, na ni muumini mkubwa wa teknolojia katika shughuli zake mbalimbali. Miongoni mwa mambo ya kuvutia ni namna jinsi China inavyotumia teknolojia katika shughuli zake za bandari. Bandari ya Qingdao...
  11. JamiiForums Tanzania Siri ya kuishi miaka mingi ya Kheri Duniani

    SIRI YA KUISHI MIAKA MINGI YA KHERI DUNIANI! Anaandika, Robert Heriel Baba. Tena Sisi tuliowatoto wa Baba asiyeonekana, tukawa Baba wanaoonekana ili tuweze kufanya yaliyo mapenzi ya Baba yetu aliyemkuu Yule asiyeoonekana na kamwe ambaye hatokuja aonekane. Basi nisikilizeni Wanangu. Kwa maana...
  12. JamiiForums Tanzania WHO: Afrika inaongoza kwa idadi ya watu wanaojiua duniani

    Katika taarifa yake, Shirika hilo limesema Afrika ina nchi 6 kati ya 10 zenye viwango vya juu zaidi vya watu kujiua duniani kote ambapo tatizo la Afya ya Akili huchangia hadi 11% ya sababu za hatari zinazohusiana na vifo hivyo Mkurugenzi wa WHO Kanda ya Afrika, Matshidiso Moeti Bara la amesema...
  13. JamiiForums Tanzania Kusudi la mimi kuwepo duniani ni lipi?

    Ndugu zangu wanajamii forum,kwanza napenda kuanza na Salam ile pendwa kazi iendelee Hili swali linaibuka kutokana na watu kujikuta ghafla tupo duniani,bila ya kikao cha makubaliano na wazazi wako wote kukuleta hapa duniani. Basi tutaishi mwisho wa siku ghafla tutaondoka(kufa) bila ya...
  14. JamiiForums Tanzania Kama wazazi wetu ni Adam na Hawa, kwanini kuna races tofauti duniani?

    Waafrica, wachina wahindi, wakorea, warusi, wazungu na waarabu. Ukiwaangalia wawa wote unaweza kuwatambua kwa race zao kutokana na kutofautiana kwao. Ni kwa nini ipo hivi kama origin yetu ni moja (adam na hawa)? Ni kwa nini hapa africa kwa mfano, kusingekuwa na mchanganyiko wa races kwa asili...
  15. JamiiForums Tanzania Oktoba 5: Siku ya Walimu Duniani (World Teacher's Day)

    Siku hii inaadhimishwa kila Oktoba 5 kama ishara ya Heshima na Shukrani kwa Walimu kutokana na Mchango walionao katika Ustawi wa Wanafunzi, Jamii na Nchi kwa ujumla. Ili kuleta Mabadiliko katika Sekta ya Elimu, ni muhimu Walimu wasikilizwe, na mazingira yao ya kazi yaboreshwe. Bila Walimu Bora...
  16. JamiiForums Tanzania Fatma Fihri mwanamke wa kwanza kuanzisha elimu ya Chuo Kikuu duniani mwaka 800

    Kiasi kwamba ilimvutia pope Sylvester Ii, kwenda kuanzisha kuwafundisha uandishi wa lugha ya kiarabu ndani ya chuo hicho. Fatima al-Fihri: Founder of World’s Very First University. The name Fatima Al-Fihri crowns the annals of history with the distinction of having established the world’s...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Takwimu zaonyesha Marekani ndio nchi inayoongoza kwa kuanzisha vita duniani

    Mwandishi huru wa habari za uchunguzi raia wa Marekani Benjamin Norton, hivi karibuni amenukuu nyaraka zilizotolewa na Bunge la Marekani akisema, kuanzia mwaka 1789 hadi mwaka 2022, Marekani imeanzisha vita 469 nje ya nchi. Katika miaka 240 tangu kuasisiwa kwa taifa la Marekani, ni miaka 16 tu...
  18. JamiiForums Tanzania Mwanamke ndiyo kiumbe hatari zaidi kuwahi kutokea duniani!

    Watu wanawataja simba, chui, nyoka na kadhalika eti ndiyo viumbe hatari duniani! Aiseeh, hao viumbe wote ni chamtoto kwa mwanamke. Mwanamke mfanyie kila unachojua, huna utalia, unacho utalia. Nawaonea huruma sana vijana mnaotarajia kuoa.
  19. JamiiForums Tanzania Wahalifu wengi wakubwa duniani hujificha kwenye kivuli cha dini na siasa

    Halafu wengi wakubwa hujificha kwenye kivuli cha eidha dini ama siasa, na wahalifu wengine konki hujificha kotekote. Hufanya hivyo hivyo ili kuuhadaa umma usihangaike na kuuchunguza upande wao wa pili wa shilingi. Pia kwa kufanya hivyo huwapa ukaribu wa kukutana na viongozi mbalimbali wa...
  20. L

    JamiiForums Tanzania China yataka maendeleo ya pamoja duniani huku ikijenga ukaribu wa zaidi kati ya Jumuiya ya China na Afrika

    China yataka maendeleo ya pamoja duniani huku ikijenga ukaribu wa zaidi kati ya Jumuiya ya China na Afrika NA BRYAN OTIENO Ushirikiano kati ya China na Afrika katika zama mpya ndiyo njia pekee ya China na Afrika kupata maendeleo ya pamoja. Ushirikiano huo umeweka msingi imara zaidi wa nyenzo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…