duniani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mwanamke hawezi kukutii kama hakupendi hata uwe tajiri namba moja Duniani

    Kwema Wakuu! Bado nipo natoa mafunzo Kwa ninyi vijana wa Forex, Watoto wa kubet ambao Maisha yanawachanganya. Vijana tatuteni Pesa kwaajili ya Wanawake wanaowapenda ili wawaheshimu na kuwatii. Elewa kuwa Pesa haimfanyi Mwanamke akutii (akupende) isipokuwa Pesa inachochea furaha ya mwanamke Kwa...
  2. JamiiForums Tanzania Ili uishi kwa amani ni vyema uwasaidie watu kulingana na kipato chako. Kukopesha fedha tuwaachie bank na microfinance

    Mtu amepewa kadi za hharusi na send-off 5, na zote inabidi achangie kulipa fadhila. VICOBA vitatu vyote anadaiwa, upatu unamtesa, tv ya mkopo, mpaka nguo za mkopo. Akipata pesa anapunguza huku, anakopa kule anakula anaanza tena kukopa. Utasikia nikopeshe laki tarehe 10 nakulipa unamwambia subiri...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Kwa uzoefu na uelewa wangu wa soka la Bongo, Leo Azam washinde au washindwe kocha atatimuliwa

    Kiwango cha Azam ni kibovu sana, mtu yeyote mwenye akili hawezi kwenda na kocha huyu, azam wanaongoza bao 2 1 hadi sasa dakika ya 59 lakini nina uhakika hata kama wataiondoa Bahir leo, kocha hana kazi. Timu imesajili vyuma hasa lakini kiwango sifuri, asipofukuzwa kocha kesho mtaniambia
  4. B

    JamiiForums Tanzania Hii ndio njia rahisi ya kuwafanya waislamu wote duniani kuwa wakristu au wakristu wote duniani kuwa waislamu

    Duniani kuna dini nyingi ila wakristu na waislamu ndio dini mbili pekee juu ya uso wa dunia ambazo kila moja inajiona ndio dini/imani/ bora, sahihi na yenye haki mbele za Mungu kuliko zote duniani. Waumini wa dini hizi wana share sifa moja inayofanana nayo ni selfishness. Kwa maana ya...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Utamaduni mpya wa uchumi duniani umeshabadilika, tujiandae kisaikolojia kwenda nao na si kuganda kule kule

    Vilabu vikubwa vya Ulaya vinamtangaza Emirates kila kukicha. Mechi inachezwa uwanjani na ukitazama yale mabango ya umeme yanayokatiza pembeni ya mstari wa uwanja huwezi kulikosa bango lenye sura za kinadada wazuri weupe wanaotangaza shirika hilo la ndege. Kabla mechi hazijaanza au kabla ya...
  6. JamiiForums Tanzania Serikali: Filamu ya Royal Tour imetazamwa na watu zaidi ya bilioni moja duniani

    Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii Dkt. Hassan Abbas amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa filamu ya Royal Tour ambayo mpaka sasa imetazamwa na watu Bilioni 1 duniani. Chanzo: Clouds Media
  7. JamiiForums Tanzania Migogoro mingi duniani inatokana na kulazimisha watu wa dini, rangi na makabila tofauti kuunda nchi moja

    Hii mada nimeitoa mara nyingi naimba niitoe tena. Duniani sehemu kubwa ya migogoro inasababishwa na jambo hili. Huhitaji kuambiwa hili, linaonekana waziwazi. Mifano ni mingi kupita maelezo. India ilivunjika vipande vipande na kutoa nchi mbili ya Wahindu na Waislamu. Nigeria ilitaka kuvunjika na...
  8. JamiiForums Tanzania Mjue Jonathan Lee Riches, mtu aliyeanzisha mashtaka mengi duniani na kujipatia mamilioni

    Leo, tunamzungumzia Jonathan Lee Riches, anayejulikana kama mtu mwenye kesi nyingi zaidi duniani. Kijana huyu alifanya vichwa vya habari alipofungua kesi yake ya kwanza dhidi ya mama yake mwenyewe. Katika kesi hii, alidai kwamba mama yake alimtunza vibaya. Kwa kushangaza, alishinda na kutunukiwa...
  9. R

    JamiiForums Tanzania TPA inapewa tuzo ya utendaji bora Duniani then tunakodisha kwa ajili gani?

    Kama ufanisi wa bandari umepelekea wapewe tuzo kwanini tunalazimisha kukodisha? Mbona hatukodishi mashirika ambayo hayafanyi vizuri? Tunasema bandarini kuna rushwa; DP World ni TAKUKURU yakiwekezaji? Wanatumia uchawi gani kupambana na rushwa?
  10. JamiiForums Tanzania Kumbe Tanzania ndiyo nchi pekee duniani yenye mkataba wa IGA na Dubai Emirate

    Kama una muda, usikilize uchambuzi yakinifu wa huyu msomi mbobezi. Kumbe ni Tanzania pekee duniani yenye mkataba wa Intergovernmental Agreement na Emirate ya Dubai. Kumbe mkataba huu hauwezi kuvunjwa, zile disputes zinazoweza kutokea wakati wa utekelezaji wa projects zitakazopelekwa South...
  11. JamiiForums Tanzania Wasio na Akili nao wanaandaa Tamko lao la 'hovyo hovyo' Kupingana na Tamko la wenye Akili duniani

    GENTAMYCINE najua kuwa Usiku Kucha mlikuwa na Vikao huku mkipigiwa Simu na anayetaka mumsaidie baada ya kuona Zigo la Msubi Aliyeondoka linaenda Kumuangukia ila nawaonyeni kuweni makini sana msije Mkamponza. Na najua sasa mnataka Kuhamisha Mjadala kutoka Maji, Mizigo na Samaki Perege na Kuibua...
  12. JamiiForums Tanzania Kwanini inashauriwa duniani kote Watu wa Usalama ( Intelligence ) lazima watokee katika Familia ambazo zina Historia ya kuweko huko?

    Leo GENTAMYCINE Kazi yangu Kubwa katika huu Uzi ni Kusoma tu Comments zenu ili Nielimike zaidi nikiamini kuwa hapa JamiiForums kuna Wabobezi na Wazoefu wa Fani hii inayoitwa ya Wenye Nchi.
  13. L

    JamiiForums Tanzania Marekani yavuruga usalama wa kijamii duniani kwa kuuzia nchi nyingine silaha

    Katika miaka ya hivi majuzi, mauaji ya kufyatua risasi yamezidi kuwa ugonjwa sugu wa kijamii nchini Marekani. Wakati huo huo, Marekani inasafirisha maafa haya kwa nchi nyingine duniani kupitia kuziuzia silaha, na kusababisha tishio kubwa kwa usalama wa kijamii duniani. Shirika la Habari la...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Wachina waenzi na kuendeleza moyo wa “Baba wa Mpunga Chotara” wa kuwanufaisha watu wote duniani kwa chakula

    Kilimo ni uti wa mgongo wa maisha na pia ni sehemu muhimu sana hasa katika jamii yetu ya kisasa, ambapo kinaathiri chakula tunachokula, ardhi tunayoishi, na mambo mengine mengi ya jamii yetu. Mamilioni ya watu wanaweza kujikwamua na umaskini duniani endapo watawekeza kwenye sekta ya kilimo...
  15. F

    JamiiForums Tanzania INDIA INSTITUTES OF TECHNLOGY: Kuna Mtanzania yeyote aliyesoma India anasoma vyuo vinavyosifiwa duniani?

    Habari wadau. Nazani wote tunajua kwamba kuna wimbi kubwa la wa Tanzania kupeleka watoto kusoma india. Nimegundua wahindi wengi wenye big position na matajiri ni alumni wa India institutes of technology kwa kifupi IIT Nimejiuliza watoto wetu wa ki Tanzania waliojaa wanasoma india. Je na wapo...
  16. JamiiForums Tanzania Nyerere alivyokuwa akiheshimiwa duniani

    Hii video ilishawahi kuwekwa hapa lakini hakuna ubaya kuirudia tena. Angalia pale sekunde ya 20 alivyopigiwa Saluti na Prince Charles ambaye sasa ndiye mfalme wa uingereza. https://www.youtube.com/watch?v=0bSemyQSTv4
  17. S

    JamiiForums Tanzania Profesa Tibaijuka alipeleka Sakata la Bandari duniani

    Profesa Tibaijuka alipeleka sakata la bandari kidunia
  18. M

    JamiiForums Tanzania Leo Agosti 14 ni Siku ya Mjusi Duniani

    Mzuka wanajamvi! Leo August 14 2023 ni siku ya mijusi (Lizard Day) duniani mwamba Kenge "The fighter" akiwemo. The Lizard Day inaadhimishwa kila tarehe 14 August. Japo wengi hawaifahamu hii siku (Kenge day) lakini sisi reptile enthusiast huwa tunaisubirigi kwa hamu na hatimae imefika ni...
  19. JamiiForums Tanzania Je, hapa duniani pameshawahi kutokea Rais Dikteta mwanamke?

    Tangu kuanza kwa hii mifumo ya uongozi ya Urais, hivi pameshawahi kutokea Rais Dikteta mwanamke?
  20. I

    JamiiForums Tanzania Bara la Afrika linaongoza kwa mapinduzi ya kijeshi duniani

    Bara la Afrika lilishuhudia ongezeko kubwa la mapinduzi katika mwaka mmoja na nusu uliopita, huku takwimu za kijeshi zikichukua nchi za Burkina Faso, Sudan, Guinea, Chad na Mali. Baada ya mapinduzi ya Sudan mwezi Oktoba 2021, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres alizungumzia "janga"...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…