duniani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Katika Empire zote zilizowahi kuwepo duniani, Roman Empire bado inaendelea kutawala

    Roman Empire ilikuwa na nguvu sana ndio maana mpaka leo inaendelea kutawala dunia.
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania SAUT pekee ndiyo Chuo Kikuu kisichojipendekeza kwa wanasiasa kwa kutoa PhD zisizo na maana

    Kama kuna Mzazi ambaye hujampeleka Mwanao kusoma SAUT Mwanza jua umepoteza bahati Kubwa na Ijutie sana.
  3. Magical power

    JamiiForums Tanzania Wewe ndio Mfalme wa story yako hapa Duniani

    WEWE NDIO MFALME WA STORY YAKO HAPA DUNIANI : Hapa Duniani unavyoishi Tambua,wewe ndio kiongozi wa story yako😎 Na story yako inaandikwa na wewe mwenyewe maana,ndiye mwenye ufahamu wa halisi wa hali na mapito yako😎 Wengine wote ni wapenzi watazamaji,na wengine ni wapenzi waburudikaji,na wengine...
  4. hamis77

    JamiiForums Tanzania Vijue Vitabu vilivyotafsiriwa katika Lugha nyingi Duniani

    1. Biblia Idadi ya Lugha: Zaidi ya 3,600 (kwa sehemu au kitabu kizima). Maelezo: Kitabu cha kidini cha Ukristo kinachojumuisha Agano la Kale na Agano Jipya. Biblia imechapishwa kwa lugha nyingi zaidi kuliko kitabu chochote duniani. --- 2. Qur'an Idadi ya Lugha: Takriban 200. Maelezo...
  5. Uwesutanzania

    JamiiForums Tanzania Dunia tabu, duniani tabu haswa

    Ni mimi wako UWESUTANZANIA ✍️ Ngoja tuanze na Shahiri kwanza Shahiri: Dunia tabu, Duniani tabu haswa,. Ukiishi tabu, Ukizeeka tabu haswa,. Ukifa tabu, Ukizaliwa tabu haswa,. Ukiwa na mali tabu, Ukiwa masikini tabu haswa, Ukiwa wa kike tabu, Ukiwa wa kiume tabu haswa,. NA HATA...
  6. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kama Mungu ni mmoja Kwa nini kuna dini nyingi tofauti duniani?

    Sijawahi kuelewa kwa nini kuna watu wanasema mungu ni mmoja ila duniani kuna dini nyingi mbalimbali tofauti kila moja ikiwa na maelezo tofauti kabisa kuhusu mungu.
  7. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Biashara haramu ndio biashara kubwa duniani

    Madawa ya kulevya yaweza kuwa yanaongoza Kisha inakuja ya kuuza silaha haramu Kusafirisha binafamu Bidhaa feki nazo ni top selling products.. Pombe zikiwa kinara Kwa Afrika wafanyabiashara mafia wanashirikiana na wanasiasa walioko madarakani Hawa wafanyabiashara wanatoa mitaji na nyenzo...
  8. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Top 10 ya magari yaliyouzwa sana Duniani 2024 (hadi sasa Nov), China ameingiza makampuni mawili!

    Speed ya China kwenye sekta ya magari inazidi kutishia ulimwengu. Pamoja na vikwazo vingi alivyowekewa nchi za magharibi na Marekani, bado jamaa anaendelea kutusua, na sasa ameingiza makampuni mawili kwenye top 10. Kuanzia BYD, ambayo imeshika nafasi ya 6 na inazidi kupanda kwa kasi ya ajabu...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Kuibuka kwa "Dunia ya Kusini" kumeleta mabadiliko makubwa duniani na kuielekeza dunia kwenye mustakbali mzuri

    Tangu kuingia karne ya ishirini na moja, nchi za "Dunia ya Kusini" zimeanza kubadilika hatua kwa hatua kutoka nchi nyingi zenye ukimya mkubwa hadi kuwa nguvu kuu inayoendesha mabadiliko katika utaratibu wa kimataifa. Nchi na mashirika ya kimataifa kutoka Kusini, kama vile China, India, Umoja wa...
  10. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Siku ya Watoto Duniani (Novemba 20): Unajivunia kitu gani kuhusu Mtoto wako?

    Siku hii ilianzishwa na Umoja wa Mataifa mwaka 1954 ili kukuza ustawi wa watoto duniani kote na kuongeza uelewa kuhusu haki zao. Pia ni kumbukumbu ya kupitishwa kwa Mkataba wa Haki za Mtoto (Convention on the Rights of the Child) mnamo 1989. Ni fursa nzuri ya: Kujifunza kuhusu haki za watoto...
  11. G

    JamiiForums Tanzania Tusisingizie Ukoloni, Waafrika tunafeli wapi, tunashindwa vipi kuwa na nchi hata moja ya kutuwakilisha kwenye nchi 50 zenye maendeleo duniani?

    Kama ni ukoloni nchi nyingi sana zilikuwa colonised ila leo zipo mbali Navyosema nchi zilizioendelea ni watu kwa ujumla kujiweza kiuchumi kuweza kuishi maisha standard, kuwepo kwa huduma za kijamii, elimu inayosaidia jamii, amani, n.k. Kwa hapa Africa imekuwa ngumu sana, Kuna matajiri lakini...
  12. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Leo ni Sikukuu ya Wanaume Duniani ila hakuna meseji wala status za kuwapongeza. Subiria ifike siku yao!

    Nov 19 ni siku yetu tena, Duniani. Ila hauoni majigambo mitandaoni wala meseji za heri ya siku ya wanaume Duniani wala kupongezwa kwa mchango wetu katika Taifa. Ila ikifika March 8, utashangazwa.
  13. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Siku ya Kimataifa ya Wanaume Duniani

    Siku ya Kimataifa ya Wanaume huadhimishwa kila mwaka tarehe 19 Novemba, ikiwa na lengo la kuangazia changamoto wanazokabiliana nazo wanaume, kusherehekea mafanikio yao, na kuhimiza usawa wa kijinsia. Madhumuni makuu ya siku hii ni pamoja na: 1. Afya ya Wanaume: Kuhamasisha ufahamu juu ya...
  14. W

    JamiiForums Tanzania Siku ya Mtoto Njiti Duniani

    Kila Novemba 17, Siku ya Mtoto Njiti huadhimishwa Duniani ili kuongeza uelewa na kupaza sauti kuhusu changamoto zinazohusiana na suala hilo Mtoto njiti huzaliwa kabla ya wiki 37 za Ujauzito kukamilika Mtoto mmoja kati ya kila Watoto 10 huzaliwa Njiti na kila mtoto anayezaliwa chini ya uzito wa...
  15. Huihui2

    JamiiForums Tanzania Donald Trump Hapepesi Macho Kuhusu Ushoga Kama Atafanikiwa Kuwa Rais wa Marekani

    Donald Trump, katika kampeni zake za uchaguzi wa 2024, ameonyesha msimamo mkali zaidi kuhusu masuala ya LGBT kuliko alivyofanya katika kampeni zake za awali. Ingawa wakati wa kampeni zake za mwaka 2016 na urais wake wa awali alijaribu kuepuka kuonyesha upinzani wa wazi kwa haki za LGBT, hivi...
  16. Gwappo Mwakatobe

    JamiiForums Tanzania Elon Musk Anakuja na Usafiri wa Kuzunguka Duniani Kote Ndani ya Saa Moja! Unaweza kufanya Kazi Marekani Ukitokea na Kurudi Da es Salaam Kila Siku!

    Soma hapa: "Elon Musk wants to change the way we fly. The billionaire tech mogul is pushing forward with SpaceX’s plans to launch “Earth to Earth” space travel, offering intercontinental flights that take off like a rocket and land just minutes later across the globe. Musk says his dream of...
  17. Mtoa Taarifa

    JamiiForums Tanzania 🩸 Novemba 14, 2024 Siku ya Kisukari Duniani

    Kisukari ni ugonjwa sugu unaoathiri mtu 1 kati ya 10 duniani kote. Husababisha kiwango cha sukari mwilini kuwa juu sana kwa sababu mwili hauzalishi insulini ya kutosha au hauwezi kuitumia insulini vizuri kama unavyopaswa. Dalili za kisukari ni pamoja na: 🚰 Kuhisi kiu kupita kiasi 🚽 Kuenda...
  18. Kusini pride

    JamiiForums Tanzania Najiuliza hivi kwanini CEO wengi wa kampuni kubwa duniani ni wahindi au kuna kundi kubwa la wafanyakazi wahindi?

    Naomba kueleweshwa wakuu hivi kwanini CEO wa kampuni kubwa duniani ni wahindi au kuna utitiri mkubwa wa wafanyakazi wengi kuwa WaAsia Hususani wahindi yaani wamekamata soko la kampuni nyingi duniani aisee na kampuni zao zinafanikiwa sana aisee Nenda Microsoft,Google,Apple na kadhalika wahindi...
  19. Mayu

    JamiiForums Tanzania STATUS ya makocha bora duniani

    Nini kimekushanga?
  20. D

    JamiiForums Tanzania Kama tajiri namba moja duniani anapenda siasa, we kapuku unasema siasa huitaki eti ni uhuni. Una akili kweli?

    Elon Musk tajiri namba moja dunia hakuna alichokosa dunia hii lakini amempambania Trump kwa nguvu moja na Trump amemteua kwenye position fulani baada ya kushinda. Sasa tajiri namba moja dunia anakubali teuzi na anapambana siasa na hakatai teuzi. Wewe hujui hata kesho utakula nini ila unasema...
Back
Top Bottom