duniani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Historia ya McDonald's: Safari Kutoka Mgahawa Mdogo Hadi Mnyororo Mkubwa wa Chakula Duniani

    McDonald's ilianzishwa mwaka 1940 na ndugu wawili, Richard na Maurice McDonald, waliokuwa wakijulikana kama Dick na Mac. Walifungua mgahawa wao wa kwanza huko San Bernardino, California, Marekani. Mwanzoni, walikuwa wanauza vyakula vya barbeque na walikuwa na menyu yenye zaidi ya aina 20 za...
  2. Historia ya McDonald's: Safari Kutoka Mgahawa Mdogo Hadi Mnyororo Mkubwa wa Chakula Duniani

    McDonald's ilianzishwa mwaka 1940 na ndugu wawili, Richard na Maurice McDonald, waliokuwa wakijulikana kama Dick na Mac. Walifungua mgahawa wao wa kwanza huko San Bernardino, California, Marekani. Mwanzoni, walikuwa wanauza vyakula vya barbeque na walikuwa na menyu yenye zaidi ya aina 20 za...
  3. Hivi Mungu ametuumba duniani tuje kufanya kazi na kuwa matajiri au masikini? Na kwanini?

    Hivi wakuu Mungu ametuumba sie wanadamu tuje kufanya kazi? Na kuwa matajiri? Na kwanini wengine ni matajiri na wengine ni masikini? Na je kuna watu special wameumba kuwa matajiri na kuna watu special wameumbwa kuwa masikini? Na kwanini iwe hivyo? Na ili kuishi duniani lazima tufanye kazi ndiyo...
  4. Je ? Kuwa mtu mwema ni kweli kunakufanya uishi maisha bora hapa duniani ?

    Habari wana jf. Nimekua nikisoma makala mbali mbali na material mbali mbali uko mtandaoni nimekua nikitaka kujua na kufatilia je maisha yanakua bora na salama pale unapo amua kuwa mtu mwema sana (nice guy) hapa duniani. Leo nimeona nililete mbele yenu wana jf nisikie mitazamo yenu Pia niweke...
  5. Hivi Dudubaya yeye anajua kila kitu hapa Duniani mpaka awe anatolea ufafanuzi wa kila jambo lenye utata?

    Kila mara naona kwenye mitandao waandishi wa habari wanamfuata dudubaya kumhoji kuhusu mambo flani flani. Recently nimeshangaa eti waandishi wamemfuata atolee ufafanuzi kinachoendelea huko middle east na upi ni msimamo wake. Imenishangaza kidogo, sasa msimamo wa dudubaya kwenye siasa za middle...
  6. Wahhabi: Dini au Donda? Chanzo cha makundi ya fujo Duniani

    Wewe shika stuli, kaa vizuri. Leo nakusimulia stori ya jamaa mmoja aliyewasha moto hadi leo dunia inachoma. Sio moto wa kuni, ni moto wa akili, damu, mabomu, na msimamo mkavu. Jamaa anaitwa Muhammad ibn Abdul Wahhab. --- 📍 Najd, Saudia – Karne ya 18 (Miaka ya 1700s) Najd ilikuwa pori tupu...
  7. Tamasha la Utamaduni la Bulabo - UN wapongeza

    Tamasha la Utamaduni la Bulabo. Limepigiwa chapuo na UN katika kuendeleza Utamaduni wa asili wa Mwafrika kama Mkataba wa UNESCO Convention on Intangible Cultural Heritage wa 2003 unavyoelekeza. Hongera Mheshimiwa Dr Samia. Lucas Mwashambwa
  8. Iran aliapa kuwa mfalme wa jihad duniani, sultan wa msimamo wa itikadi kali na mshindi wa chuki dhidi ya mamlaka za kikristu, kihundu na kiyahudi.

    Basi kwa namna hio aliandaa kimya kimya njia za kutetemesha mamlaka ambazo hakuzipenda. Alifadhili machafuko kwa namna ambayo hakuonekana alihusika na walileta maafa makubwa. Kila mkono wa ugaidi duniani haswa wa kutoka mashariki ya kati unashikwa na Irani kwa asilimia zaidi ya 65% Mamlaka ya...
  9. R

    Hongera Maria Sarungi, wahuni walitaka wakurubuni eti uje kumzika baba yako, usingelirudi duniani, ungepotea kama Mdude, Soka et al na wengine

    Kwa haya yanayoendelea kwetu Tanganyika, nchi ya ya Julius Kambarage Nyerere, ungelogwa ukaja eti kumzika baba yako, ungelipote mazima . Mshukuru sana Mungu wako na malaika Gabriel aliyekuongoza.
  10. Kigogo Kigogo kwa hili ulilosema siongezi neno lolote, kwani umemaliza kila kitu na ndiyo Watanzania tunadharaulika mno na Majirani na Duniani pia

    Taifa ambalo redioni ahsubuhi wanajadili michezo.Mchana hadi jua linapo zama wanarudi kwenye michezo,usiku wanajadili ngono hadi pakuche.hakuna vipindi vya taaluma ujasiriamali,Kilimo,Midahalo. Hilo ni Taifa ambalo lipo kaburini kitambo...! (Kigogo Kigogo) Na kutokana na hii Aibu ndiyo maana...
  11. Malipo ni hapa hapa Duniani safi sana Iran

    Watu Huwa wanasema malipo ni hapa hapa Duniani Kwa Sasa kati ya Gaza na Israel hakuna anayemchaka mweziwe Na ndio kwanza mashambulizi Yana wiki Moja ikifika mwezi mmoja sijui itakuwaje
  12. Jamani, kuna mambo duniani!

    Huko brazili kuna kituko sio cha Tlaatlaah au Lucas Mwashambwa Fikiria hili kama sinema ya vichekesho isiyoandikwa kuna Mwanaume mmoja mwenye umri wa miaka 54 huko Brazil alienda hospitali baada ya kukumbwa na maumivu ya tumbo yasiyoelezeka. Lakini si kawaida – kumbe alikuwa amejichomeka...
  13. Hizi ndizo nchi zenye ndege nyingi za kivita duniani

    Haya wale wazee wa IRAN ni super power mpo..? Njooni huku muone ukubwa wa super power. Ila kwa ujumla USA apewe heshima yake. Kuna vi nchi vina mtishia US anaamua tu kuviangalia alafu anavihurumia na kukataa kuvipea trending. Hako ka kiduku + kobazi wote + Russia + Afrika yote ndege za US...
  14. L

    Licha ya changamoto za biashara duniani, biashara kati ya China na Afrika yaimarika na kuchochea maendeleo ya Afrika

    Kuyumba kwa biashara duniani kutokana na vita ya ushuru iliyozushwa na Rais Donald Trump wa Marekani, uhusiano wa kibiashara kati ya China na Afrika umekuwa unaendelea vizuri, na thamani ya biashara kati ya pande hizo mbili imeendelea kukua kwa miaka 16 mfululizo, na mwaka jana thamani hiyo...
  15. Unajua ni Kwanini wapigania haki duniani kote huishia kupewa kesi za uchochezi? Hizi ndio sababu.

    Sababu kubwa zinazofanya watu wanaoielimisha jamii kuhusu unyonyaji fulani kupewa kesi za uchochezi ni: 1. Kutishia maslahi ya wenye mamlaka. – Mara nyingi wanaosema ukweli huibua maovu yanayohusu viongozi, taasisi au makundi yenye nguvu. – Hii huonekana kama tishio kwa mfumo uliopo. 2...
  16. Iran imetangaza hali ya hatari kwa wananchi wa Israel, huenda ikapiga bomu la hatari duniani

    Taarifa kutoka nchini Iran zimesema kuwa leo siku ya Alhamisi huenda dunia ikaandika katika historia kwani Iran inaweza kupiga israel kombora lake la sumu ambalo halizuiliki wala kuonekana kwenye rada na linafika Israel ndani ya dk 6 tu Iran imesema haitalaumiwa kwa lolote
  17. Ni dhahiri demokrasia inafikia mwisho wake na inaenda kutoweka duniani, hakuna tena sababu za msingi kuumia ukipigania demokrasia

    Ukiangalia hali zote za kisiasa na uchumi zinazoendelea duniani kote kwa muongo mmoja uliopita inaashiria dhahiri demokrasia imechokwa na inaenda kufikia mwisho hivi karibuni. Watu watakaoendelea kuzungumiza demokrasia wataonekana ni wehu na wendawazimu tu wasioona na kukubali uhalisia. Ukweli...
  18. R

    Kila mtu ana malaika wake special wa kutunza kumbukumbu za Kila ukifanyacho duniani MAISHA yako yote

    Salaam, Shalom! Usilolijua ni kuwa, Kila mtu anaye malaika special toka kwa Mungu tangu kuzaliwa aliyeweka kuchukua kumbukumbu zote za mtu Akali akiishi na kuziandika kwenye KITABU maalum. Killa ukifanyacho kinaandikwa, matendo yote, mazuri kwa mabaya ynaandikwa, ndio maana Mungu huwa anapata...
  19. Nitumie njia gani ili nami niweze kushiriki vikao vya G7 huko duniani?

    Natamani nami siku moja niweze kuhudhuria kikao cha G7, imekuwa ni ndoto yangu ya siku nyingi sana tangu nikiwa mdogo; sasa sijui itabaki kuwa ndoto tu au ipo siku nami nitashiriki? Wananzengo, mnanisaidiaje nami niweze kutimiza hii ndoto?
  20. Serikali kuingilia michezo sio dhambi, haya hufanyika duniani kote

    Kuna baadhi ya watu wajinga wameibuka na kusema ati fifa watatufungia kuwa serikali imeingilia michezoni Kwanza nimpongeza Rais Samia kwa hekima yake kuu ya kusuluhusha huu mgogoro Watu wasijadanganye ati serikali haiingilii michezo kimsingi hakuna sehemu ambapo serikali haiingilii hata...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…