dunia

  1. JamiiForums Tanzania Watu waliopigwa risasi kule arusha leo na polisi wakiwa wamekaa tu, wapeleke taarifa kwa madowo wa CNN ili dunia ione Tanzania ilipofikia kwa sasa

    Watu waliopigwa risasi kule arusha leo na polisi wakiwa wamekaa tu, wapeleke taarifa kwa madowo wa CNN ili dunia ione Tanzania ilipofikia kwa sasa. Viongozi wajinga ndio wametufikisha nchi kwenye machafuko,
  2. Q

    JamiiForums Tanzania D9 dunia nzima itakuwa inaiangalia Tanzania, kitendo cha kuua hata mmoja tu itakuwa One Way Ticket to ICC

    UN is watching YOU. AU is watching YOU. EU is watching YOU. SADC is watching YOU. ICC is watching YOU. EAC is watching YOU. COMMONWEALTH is watching YOU INTERNATIONAL NGO's are watching YOU. COUNTRY FRIENDS are watching YOU. NEIGHBORS are watching YOU. YOUR FRIENDS are watching YOU. TANZANIA...
  3. JamiiForums Tanzania Trump kuzuia nchi za dunia ya tatu kuingia Marekani

    Kutoka kwenye andiko lake refu kwenye ukurasa wake wa X(twitter) Rais wa US, Donald Trump, amesema atazuia watu toka nchi za dunia ya tatu(third world countries) kutoingia Marekani mpaka pale mifumo yake ya uhamiaji itakapokaa sawa. "I will permanently pause migration from all Third World...
  4. A

    JamiiForums Tanzania CCM bado wanafikiri dunia ya leo ni ile ya zamani

    Tatizo kubwa ambalo linatajwa na wachambuzi wengi ni kwamba baadhi ya viongozi wa CCM bado wanafikiria kuwa siasa ya leo ni sawa na siasa ya miaka ya zamani—wakati taarifa ilikuwa haba, mitandao haikuwepo, na vijana hawakuwa wengi kwenye maamuzi. Leo dunia imebadilika: Vijana wana uelewa...
  5. JamiiForums Tanzania Elon Musk aelezea kwa nini nchi za Dunia ya 3 zinazaliana kwa wingi

    Udini mwingi + Elimu Duni + Umaskini (Kipato kidogo )= Uzaliana kwa wingi Udini kidogo + Elimu Nzuri + Utajiri (Kipato kikubwa)= Uzaliana kwa uchache https://www.instagram.com/reel/DRLsnfKAk0Z/?igsh=MTR1MXlqaGMyaWFnag==
  6. JamiiForums Tanzania Viongozi wa Dunia Wacheka Kutokuwepo kwa Trump, Ramaphosa Asifiwa G20 kwa maandalizi mazuri

    Viongozi wa dunia wakicheka kwa urahisi kutokana na kutokuwepo kwa Trump na kumpongeza Ramaphosa kwa maandalizi mazuri ndivyo Mkutano wa G20 ulivyohitimishwa jijini Johannesburg. Rais wa Afrika Kusini alikataa kukabidhi uenyekiti kwa naibu balozi wa Marekani. “Afisa mwenzake kwa kiwango sawa”...
  7. JamiiForums Tanzania Sheikh Shafii: Kicha changu kina pande kuu 3: Kulia Quran, Kushoto Bible, Dunia ipo katikati

    Hiyo kumaanisha kwamba, dini hizi 2 ndizo zinaibalance dunia na sote tunategemeana. Shaloom alley kum ndugu zanguni, muwe na jumapili njema.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ni wakati wa Dunia kuanza kulitambua Jeshi la Polisi Tanzania kama Kundi la Kigaidi

    NI wakati wa kupaza Sauti dunia nzima kuwa Tanzania sio Salama kwa wageni na Wenyeji, Ni wakati wa kusema Tanzania tuna State sponsored terrorist organization. Makundi ya kigaidi huteka, huua. Kwa taarifa zilizopo Tangu October 29 Watu waliotekwa na Waliouliwa na Kundi hili ni kubwa kuliko...
  9. JamiiForums Tanzania PostGE2025 TCRA kiko wapi? Ngebe zote za kuzima Mitandao leo Dunia yote imejua kilichotokea na nyie mnatajwa kama sehemu ya Watuhumiwa

    Kwenye Jinai kuna watu wanaoitwa accomplices yaaani Watu wanaoshiriki kutenda uhalifu au kufanikisha Uhalifu. Vyombo vya habari vya Kimataifa hasa CNN vimeeleza wazi kuhusu vyombo vya Ulinzi na Usalama vya Tanzania kuuwa watu na kuficha ushahidi. Uzuri kwenye kuficha ushahidi vimesema wazi...
  10. H

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, Unakotupeleka Utalaaniwa na Vizazi Vyote Vya Tanzania Na Dunia. Nchi Hii Haijawahi Kuwa na Ugomvi wa Kidini, Wewe Unauanzisha kwa Nguvu

    Nchi hii, pamoja na mapungufu mengi, hatujawahi kuwa na ugomvi au uhasama wa kidini. Ndiyo maana kuna watu utasikia anaitwa Abel Abdalah, wengine utamsikia akiitwa Petro mume wake Khadija, au Abdallah mumewe Rozaria. Nilipoenda kumtembelea rafiki yangu bruda Peramiho, nilishuhudia shekhe...
  11. JamiiForums Tanzania TANZIA Mchekeshaji maarufu MC Pilipili afariki dunia

    Taarifa zilizotufiukia hivi punde katika chumba chetu cha habari, zinaeleza kuwa mchekeshaji na mshereheshaji maarufu nchini Tanzania, Emmanuel Mathias almaarufu MC Pilipili, amefariki dunia ghafla mchana leo, Novemba 16, 2025. Taarifa zinaeleza kuwa, MC Pilipili alisafiri kuelekea jijini...
  12. JamiiForums Tanzania Saini petition hii Toka shirika la haki za binadamu duniani ili kuilazimisha Dunia na jumuia zote kumuadhibu SAMIA kwa mauaji ya watanganyika

    https://www.amnesty.org/en/petition/demand-accountability-for-the-repression-in-tanzania/ Taka Uwajibikaji Nchini Tanzania Chini ya Rais Samia Suluhu Hassan, mamlaka za Tanzania zimekuwa zikinyamazisha kwa makusudi sauti za upinzani kwa kulenga wakosoaji wa serikali, waandishi wa habari, asasi...
  13. JamiiForums Tanzania Mhaini mrembo! Ila, Tanzania imeshindikanika!!

    Binti Mhaini anashtakiwa kwa kutaka kupindua Serikali ya Samia, wameua ndugu zetu wanaleta kesi ili tuache kujadili mauaji tusiingie huo mkenge.
  14. JamiiForums Tanzania GE2025 Maajabu ya Dunia! Mbona sizioni pongezi za machawa, makampuni, kulikoni?

    Tumsifu Yesu Kristu KWANZA kabisa nawapongeza sana Kanisa katoliki angalau kwa kuweka siku maalumu ya kuombea wafu WALIOUWAWA oktoba 29. Tena kwenye barua zenu hamjakwepesha maneno. Tukiachana na Hilo tendo la kishujaa la kanisa katoliki, nmekua napitia media outlets mbalimbali tumezoa kuona...
  15. S

    JamiiForums Tanzania IMF, Benki ya Dunia na nchi wafadhili, wataendelea kutoa mikopo na misaada kwa serikali hii ya Tanzania?

    Kutokana na uchaguzi usiokidhi vigezo vya kimataifa plus mauji ya raia wengi wasio na hatia waliojitokeza kupinga huu uchaguzi wa tarehe 29 October 2025, IMF, Benki ya Dunia na nchi wahisani, wataendelea kutoa mikopo na misaada kwa hiii serikali? Tukumbuke hata ripoti za waangalizi karibu zote...
  16. D

    JamiiForums Tanzania Hata kama kuna kitu angetamani kufanya, hawezi kufanya….she has no legitimacy, mbingu zimemkataa na dunia imemkataa

    Alichokifunga Mungu mwanadamu hawezi kukifungua. Huyu keshapigwa pin mazima, hawezi kufanya lolote hadi apishe hiyo ofisi. Baada ya Kaini kumwua ndugu yake Abeli, Biblia (katika Mwanzo 4:8–16) inaeleza mambo yafuatayo: Mungu alimlaani Kaini – Mungu alimwambia kwamba damu ya Abeli ilikuwa...
  17. JamiiForums Tanzania Mayalla acha waendelee kutuua siye tumezoea. Zamu yao dunia isitulaumu

    Miye nasema sijui! Mayai yetu wao wameyatumbua kwa risasi. Washazoea kuchezea mayai yetu. Siye fukara hatuwezi kujichanga kununua hata bunduki ya laki saba siye. Siye hata tukipewa bunduki hatuwezi kutumia siye. Siye hatujui zinapouzwa siye. Miye sijui walahi. Mwasema siye ati wachochezi...
  18. JamiiForums Tanzania Tanzania kupitia maigizo ya uchaguzi tumekuwa kichekesho cha dunia

  19. JamiiForums Tanzania Yasipofanyika maandamano mwaka huu itakuwa ni aibu ya karne na kuitia aibu dunia

    Dunia nzima inaitazama Tanzania Majirani zetu Kenya wanatutazama Tayari walishaatuonesha njia Ila vijana wa Tanzania wanatia mashaka Nafsi yangu inaniambia wataandamana wachache na watachapika vibaya sana. mchana mwema!
  20. JamiiForums Tanzania Dunia haiko fair kabisa Waliotakiwa kuwa Jela ndo wako uraiani na ambao walitakiwa kua Uraiani ndo Wako Jela

    Ukiangalia mambo yana vyo kwenda kuna watu waolitakiwa kua Uraiani ila ndo hao wako jela ila ambao walistahili kua jela ndo hao wako uraiani. Dunia haiko fair kabisa
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…