dunia

  1. Kwa dunia ya sasa mambo ya Neutrality hayana nafasi, hata Mahakama ina upande wa haki, Tanzania tubadilike

    Bado naendelea kusisitiza alichofanya Urusi kwa majirani zake ni kosa na anapaswa awajibishwe na kila mmoja kwa namna yake. Sisi kama Taifa hatupaswi kukaa kishambaa na kuwaangalia tu hawa warusi. Nyerere aliwahi kuwasema Mara kibao tu walipojaribu kuwavamia majirani zao, aliwasema waizrael...
  2. Angalia Russia inategemewa kiasi gani na Dunia yote halafu ropoka kwamba Rais Samia napandisha bei ya vitu

    Hizi hapa ni malighafi ambazo Russia wanazisambaza duniani. wanasambaza 8.4 ya mafuta yote Duniani. Mbolea inayotegemewa duniani wao wanategemewa zaidi ya 45% halafu waingie vitani uje kumlaumu Samia kuwa vitu vinapanda bei? MamaYukoKazini ila la mfumuko wa bei , hahusiki. Ingekuwa hivyo...
  3. N

    Jean Jacques Nadala: Refa aliyedharauliwa na wachambuzi wa Bongo kuchezesha Kombe la Dunia, 2022

    Yule refa aliyechezesha mechi ya RS Berkane vs simba jijini DSM aitwaye Joseph Nadala wa Congo amekuwa miongoni mwa marefa nane kutoka Afrika watakaochezesha Kombe la Dunia. Ni habari mbaya kwa makanjanja yaliyoskitishwa na ushindi wa Simba kwa kudai goli la sakho lilikuwa offside Pia...
  4. Rais Biden ajichanganya, amtaja Michelle Obama kama aliyekuwa "Vice President"

    Hizi ni zama za mitambo tu, hatuchekani kabisa hapo, Duh!
  5. Kombe la Dunia 2022: Droo ya Hatua makundi

    Ikiwa imesalia miezi michache kwa kombe la Dunia mwaka 2022 kuanza, leo hii itafanyika Droo ya hatua ya makundi ya michuano hiyo mjini Doha. Droo hiyo itafanyika katika Kituo cha Maonyesho na Mikutano cha Doha, huku washindi wa zamani wa Kombe la Dunia kama vile Cafu na Lothar Matthaeus wakiwa...
  6. TANZIA Balozi Emanuel Ole Naiko afariki Dunia Dar

    Familia ya Emmanuel Ole Naiko inasikitika kutangaza kifo cha BABA YAO, BALOZI EMMANUEL OLE NAIKO kilichotokea leo 30/03/22, nyumbani kwake Bahari Beach, Dar es Salaam. Habari ziwafikie wana familia waliopo Dar es Salaam, Monduli-Arusha na kwengine kote. Balozi Ole-Naiko amewahi kushika...
  7. Tanga: Ajali ya Fuso yaua sita wilayani Lushoto, wengine wajeruhiwa

    Watu sita wamefariki dunia na wengine kadhaa kujeruhiwa baada ya gari aina ya Fuso lenye namba za usajili T 239 AFB walilokuwa wakisafiria kuacha njia na kutumbukia kwenye korongo katika eneo la barabara ya Soni/Mombo wilayani Lushoto mkoani Tanga. RPC wa Tanga, Safia Jongo amesema ajali hiyo...
  8. Watu watano wafariki dunia baada ya Lori kufeli breki kwenye mlima Mbalizi, Mbeya

    Watu watano wamefariki Dunia na wengine wanne kujeruhiwa mkoani Mbeya baada ya Lori la Mizigo kufeli breki kwenye mteremko wa Mlima Mbalizi na kuyagonga magari madogo matatu, Bajaji na watembea kwa mguu. ========================== Akizungumzia kuhusu taarifa hizo, Kamanda wa Polisi Mkoa wa...
  9. TANZIA Profesa Honest Ngowi afariki dunia kwenye ajali Mlandizi Pwani. Alikuwa mhadhiri Chuo Kikuu Mzumbe

    Habari Wote. Makamu Mkuu wa Chuo Prof. Lughano Kusiluka anasikitika kutangaza kifo cha Prof. Honest Ngowi na Dereva wake, waliofariki asubuhi ya leo kwa ajali ya gari wakiwa njiani kuja Kampasi Kuu Morogoro. Tunaomba muwe watulivu wakati Menejiementi inaendelea kufuatilia taarifa kamili ya...
  10. Unajua Saa ya Dunia?

    Tangu mwaka 2007 Dunia hutumia Jumamosi ya Mwisho ya Mwezi wa tatu kuadhimisha Saa ya Dunia. Siku hii ambayo kwa mwaka 2022 imeangukia Machi 26 huadhimishwa kwa kuzima ta zote za umeme kwa muda wa saa moja Umoja wa Mataifa ‘UN’ umetangaza kushiriki maadhimisho haya na watazima taa katika...
  11. Rais Samia azindua daraja la Selander (Tanzanite), ataka liwekewe nembo ya Tanzanite sio Mwenge

    Fuatilia matangazo ya moja kwa moja kutoka Agakhan - Upanga jijini Dar Es Salaam ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Samia Suluhu Hassan anazindua daraja la Selander (Tanzanite) na barabara unganishi leo tarehe 24 Machi 2022. === Rais...
  12. Uchumi wa dunia unatarajiwa kupungua kwa asilimia 2.6 kutokana na vita vya Ukraine

    Wachumi wa Umoja wa mataifa wanaonya kwamba matarajio ya ukuaji wa uchumi mwaka huu yanafifia kwa haraka kutokana na athari mbaya za vita nchini Ukraine. Shirika la biashara na maendeleo la Umoja wa mataifa(UNCTAD) limeshusha sana makadirio ya awali yenye matumaini ya ukuaji wa uchumi wa dunia...
  13. N

    Ukraine na uwezo wa medani waishangaza dunia

    Kufuatia uvumizi wa urusi ndani ya ardhi ya jirani yake ukraine dunia imeshuudia kwa mara nyingine sura halisi ya uzalendo na uwezo wa watu kulinda uhuru wao. Kwa sababu zake mwenyewe wengi walitarajia compaign ya babu putin ingeweza kufanikiwa mapema ikizingatia uwezo wa jeshi lake katika...
  14. Kuna Watanzania ni makatili sana na hawana upendo kabisa. Wanafurahia nini kuona dunia ikikosa amani?

    Nchi ina mijitu ina roho mbaya hii sijapata kuona. Watu wanauana huko Ukraine 🇺🇦, watu wanashangilia utadhani mechi ya mpira wa Mrs Simba na @mr Yanga. Hawa wanajiita team Ukraine 🇺🇦 wakiongozwa na Mkenya anayetamani sana kuwa Mtanzania MK254 , na pia kuna team Russia 🇷🇺 inayoongozwa na...
  15. Umoja wa Ulaya: Afrika iungane na dunia yote kuipinga Urusi

    Umoja wa Ulaya (EU) umetoa tamko la kuendelea kulaani kitendo cha Urusi kuivamia Ukraine na kushawishi mataifa mbalimbali zikiwemo nchi za Afrika kuipinga Urusi kwa kitendo chake cha kuivamia Ukraine kijeshi. Tamko hilo limetolewa na baadhi ya mabalozi wa nchi za Ulaya waliopo nchini Tanzania...
  16. Miaka 3 ijayo Dunia ni tofauti kabisa, Rais anaongelea kuongoza miaka 9 ijayo leo hii?

    I mean, nani anajua Dunia itakuwaje miaka 2 ijayo?, USA might have conservative right wing Christian leader, EU watakuwa na priority nyingine hatujui ugomvi na Urusi utaiacha EU na western world katika hali gani, hivyo wanaokupa support leo hii miaka 2-3 ijayo watakuwa na watu wengine kabisa...
  17. TANAPA yatangaza kifo cha Faru Rajabu (mtoto wa Faru John) katika Hifadhi ya Serengeti

    Shirikia la Hifadhi la Taifa Tanzania (TANAPA) limetangaza kifo cha Faru Rajabu aliyekuwa na umri wa miaka 43, leo Jumatatu Machi 21, 2022 akiwa katika Hifadhi ya Serengeti sababu ikitajwa kuwa ni uzee. Faru Rajabu alikuwa mtoto wa Faru John ambaye alifariki mwaka 2015 akiwa na miaka 47. Faru...
  18. Ajali Morogoro: Gari la abiria lagonga lori kwa nyuma, wawili wafariki dunia

    Watu wawili wamefariki dunia na wengine 15 kujeruhiwa baada ya gari la abiria aina ya Toyota Coaster kuligonga kwa nyuma lori lililokuwa limeegeshwa pembezoni mwa barabara kuu ya Dar es Salaam- Morogoro eneo la Oilcom Nanenane. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, SACP Fortunatus Muslimu...
  19. Papa ni Rais wa nchi ya Vatican na pia ni kiongozi wa Kanisa la Katoliki duniani. Dini na Serikali vimechanganyikana

    Habari zengu wenzangu wanaJF. Kwa staili tumekuwa tunazugwa kuhusu ukraine ni cha mtoto kulinganisha na hili nnalowaletea wenzangu. Nivumilieni mapicha mengi ila nataka mtambue picha halisia - na wenye hisia wapingane na ushahidi. Naomba sote tuzingatie na tukumbuke kwamba warumi...
  20. Mbivu mbichi Vita vya Ukraine; Je, Rassia akishinda dunia itakuwa kwenye hali gani?

    Habarini za muda huu, Kumekuwa na Vita nchini Ukraine ambapo majeshi ya Ukraine yanalinda nchi Yao dhidi ya uvamizi wa Rassia katika nchi Yao. Dhamira ya nje ya Ukraine ni kujilinda dhidi ya uonevu wa Rassia. Dhamira ya nje ya Rassia ni kuwalinda wa Ukraine wanaonewa na serikali yao wenyewe...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…