Timu zenye vikosi vyenye thamani kubwa zaidi katika Kombe la Dunia 2022

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,308
5,458
Uingereza inaongoza katika timu zote shiriki za michuano ya Kombe la Dunia 2022 inayoendelea nchini Qatar kwa mujibu wa viwango vya soko la wachezaji lilivyo kwa sasa.

Uingereza ina thamani ya Euro Bilioni 1.5 (Tsh. Trilioni 3.5), Brazil inafuatia kwa kuwa na thamani ya Euro Bilioni 1.45 (Tsh. Trilioni 3.4) kisha Ufaransa Euro Bilioni 1.34 (Tsh. Trilioni 3.1).

Zinazifuata ni Uhispania Euro Bilioni 1.2 (Tsh. Trilioni 2.8), Ureno Euro Bilioni 1.15 (Tsh. Trilioni 2.7) na Ujerumani Euro Bilioni 1.02 (Tsh. Trilioni 2.4).



==============-


The World Cup’s most valuable teams: Which squads are worth most?

England have the most valuable squad at the Qatar World Cup 2022, with the team’s Jude Bellingham topping a list of more than 800 football players in terms of transfer value, a study has found.

According to a study by Swiss research group CIES Football Observatory, England’s 26-man squad is worth just less than 1.5 billion euros ($1.54bn) in transfer value, with 19-year-old Bellingham valued at 202 million euros ($207.4m).

The Borussia Dortmund player enhanced his reputation as one of the world’s top young players with a superb goal in England’s 6-2 victory over Iran in their World Cup tournament opener on Monday.

Transfer Value
Brazil are second on the list after England with a transfer value of 1.45 billion euros ($1.49bn), and Real Madrid forward Vinicius Junior was their most valuable player at 200 million euros ($205m).

France were third with an estimated transfer value of 1.34 billion ($1.38bn) for their squad. Paris St Germain (PSG) forward Kylian Mbappe was their top player, with a value of 185 million euros ($190m).

The top three were followed by Spain at 1.2 billion euros ($1.23bn), Portugal at 1.15 billion euros ($1.18bn) and Germany at 1.02 billion euros ($1.05bn).

The CIES Football Observatory put the overall value of all the squads at the World Cup 2022 at 15 billion euros ($15.4bn) based on a statistical technique involving more than 2,000 transactions of players transferred from clubs in the five major European leagues during the period from July 2012 to November 2021.

Source: Aljazeera
 
kila mashindano timu ya Uingereza huwa na kikosi chenye thamani zaidi, ila hishia kucharazwa mabao. Ni timu inayoongoza kuwa na wachezaji ma bamu wanaouzwa kwa bei mbaya na kulipwa mishahara minono.
 
Back
Top Bottom