Neymar hatarini kukosa mechi zilizosalia za Kombe la Dunia 2022

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,314
5,478
1669358731785.png

Mshambuliaji huyo wa Brazil amepata majeraha ya kifundo cha mguu wakati timu yake ikishinda 2-0 dhidi ya Serbia baada ya kuchezewa faulo na Nikola Milenkovic.

Alionekana akilia akiwa kwenye benchi baada ya kutolewa uwanjani, madaktari wamesema majibu kamili ya ukubwa wa jeraha hilo yatajulikana baad aya saa 24 hadi 48.

Kocha wa Brazil, Tite amesema “Msijali, Neymar ataendelea kucheza Kombe la Dunia." Mchezo ujao wa timu hiyo ni Jumatatu Novemba 28, 2022 dhidi ya Switzerland.
---

Neymar breaks down in tears after suffering injury from horror challenge in Brazil’s World Cup 2022 win over Serbia

NEYMAR broke down in tears after suffering an injury in Brazil's 2-0 win over Serbia at the World Cup.

The 30-year-old forward limped off in the second-half with a suspected problem shortly after being caught on the end of a poor challenge from defender Nikola Milenkovic.

He was subbed with 10 minutes to go and could be seen in the dugout looking distraught - seemingly in tears.

He also had a bag of ice around his ankle in what was a worrying sight for Brazil fans.

Brazil's team doctor says they have got to wait 24 to 48 hours to assess the injury.

But manager Tite gave a positive update, saying: "Don’t worry, Neymar will play the World Cup. He will keep playing, you can be sure about that."

It is not yet known whether he will be fit in time for their next group stage match against Switzerland on Monday.

They then face Cameroon four days later.

Neymar is just three goals away from overtaking Pele as Brazil's all-time top scorer.

He currently has a sensational tally of 75 in 122 appearances for his country.

Source: The Sun
 
Bora asicheze, anawaua wenzie, ila kwakuwa ndio supastaa tite anaogopa kumuweka benchi.. Kina vinicius, martineli, rodrygo, jesus unaona wanajitoa, neymar ubishoo mwingi atamaliza mpira hana balloon d or hata moja, wakati kwa kipaji chake anastahiki zaidi ya 3
 
Jamaa ubitozi mwingi
 
Alishasema hii ni World Cup yake yamwisho
 
Jana baada ya Neymar kutoka Brazil walicheza vizuri na kushambulia kwa Kasi. Bora akae pembeni awaachie akina Richarlson na Vinicious watengeneze majina yao.
 
Bora asicheze, anawaua wenzie, ila kwakuwa ndio supastaa tite anaogopa kumuweka benchi.. Kina vinicius, martineli, rodrygo, jesus unaona wanajitoa, neymar ubishoo mwingi atamaliza mpira hana balloon d or hata moja, wakati kwa kipaji chake anastahiki zaidi ya 3
Chuki zako tu, hao uliowataja hawana ubunifu kuliko neymar wakiwa na mpira. Neymar anapiga pass za mbele tu. Neymar anapiga mipira iliyokufa ni muhimu kuliko hao
 
Chuki zako tu, hao uliowataja hawana ubunifu kuliko neymar wakiwa na mpira. Neymar anapiga pass za mbele tu. Neymar anapiga mipira iliyokufa ni muhimu kuliko hao
Sawa mimi nachuki au wewe mapenzi yanakutia upofu?
Katika hao niambie nani sio mtu wa kwenda mbele nani sio mbunifu? Ama we unadhani kumpiga mtu tobo ukamsaubiri ukampa kidalizi ndio ubunifu?
Umeona alichokifanya vinicius kwenye lile goli la pili? Angekuwa mtu wa pasi za nyuma na sio mbunifu ingetokea vile?
 
Bora asicheze, anawaua wenzie, ila kwakuwa ndio supastaa tite anaogopa kumuweka benchi.. Kina vinicius, martineli, rodrygo, jesus unaona wanajitoa, neymar ubishoo mwingi atamaliza mpira hana balloon d or hata moja, wakati kwa kipaji chake anastahiki zaidi ya 3
Ukweli mchungu huu. Kwanza Brazil siyo timu ya kumtegemea mchezaji mmoja.

Hivyo hata asipocheza, bado kuna watu wengine wa kuipambania timu mpaka mwisho.
 
Kwa kipi nimchukie? Simchukii kibu Dennis wa hapa bongo nikamchukie neymar wa mbali, neymar hajawahi kuacha utozi, hawezi na hatokuja kuweza, sehemu ya kuachia moja haachii atataka kufanya jambo, hata jana kuna sehemu km mbili 3 hivi.
Utozi ni wake ila kazi anapiga angalia takwimu zake kwenye national team linaganisha na hao unao sema sio mabishoo
 
Utozi ni wake ila kazi anapiga angalia takwimu zake kwenye national team linaganisha na hao unao sema sio mabishoo
Nyie wa mpira takwimu mna matatizo saana,
Haya twende kitakwimu.

Unajua km neymar kaishacheza takribani game 100 kuliko hao watoto?
Sisi sote tunatizama mpira neymar huwa anaigharimu timu.
Kuna vitu vya kufanya timu ikiwa inaongoza 3.

Haya kwa mujibu wako mr takwimu
Neymar ni bora kushinda gaucho na de lima(kitakwimu)
 
Back
Top Bottom