dunia

  1. Sasa nguruwe wanaenda kuiangamiza dunia

    Kutokana na matumizi yasiyofaa ya dawa jamii ya ANTIBIOTICS kwa nguruwe, sasa nguruwe wamekuna GENES ambazo zinamfaya nguruwe asiweze kutibiwa kwa dawa za jamii hiii pale anapopata magngwa yanayohitaji kutibiwa kwa dawa za jamii hii. hatari hii huedna itapasishswa kwa binadamu hasa wale...
  2. Benki ya Dunia yakanusha Uganda kuingia uchumi wa Kati

    Benki ya Dunia imesema pato la kila mwananchi wa Uganda ni dola 850 kwa mwaka wa fedha unaoishia 2022, huku uchumi ukikua kwa wastani wa asilimia 3.7 ambapo ni chini sana ya kiwango cha chini cha kipato cha kati cha dola 1,045 ambacho kilielezwa na Rais Yoweri Museveni katika Hotuba yake kwa...
  3. VIAGRA ISSUES: Jamaa afariki Dunia akila uroda na wanawake wawili

    Aisee ngono siku hizi imekuwa overrated kiukweli. How can someone just dare have an intercourse with two or more women at the same time after consuming Viagra and expect northing terrible to happen to them surely? Leo mida ya asubuhi tumeshuhudia tukio la kushangaza Sana ambapo mwanaume mmoja...
  4. Dunia inaogopesha ila wewe Usiogope, Maisha sio mashindano

    DUNIA INAOGOPESHA ILA WEWE USIOGOPE 02! MAISHA SIO MASHINDANO Anaandika Robert Heriel, Umekata tamaa, hauna tumaini, mambo yote yameenda Kombo, kila ulichokuwa unakitumainia kimekusaliti, kila uliyekuwa unamuamini amekugeukia, dunia imekupiga kikumbo, hakuna yeyote aliye Kwa ajili yako...
  5. Kila ufanyalo kutafuta riziki lazima akili yako itambue kuwa dunia imebadilika na wewe lazima ubadilike. Usipozingatia hufanikiwi

    Habari ndugu zangu! Kila mtu mwenye utimamu wa akili na viungo ni sharti ajitafutie ridhiki. Wengi bado hawataki kubadilika hivyo hujikuta wanashindwa kusogea mbele kwa kasi. Lazima ubadilike, Zama hizi bado kuna mafundi simu wanaofosi kutengeneza simu kizamani, yaani hana computer, yeye...
  6. M

    Dunia hii ya sayansi na teknolojia Kiongozi wa chama form 4, katibu form 6 mtatoboa kweli? Wanachama si ndio itakuwa bora liende? Fanyeni mabadiliko

    Fanyeni mabadiliko maana hata siasa ni sayansi. Mnatakiwa kwenda na sayansi na teknolojia. Siasa pia ni Sayansi inayohitaji elimu ili kujua mahitaji ya wakati. Sijui tu wanachama wenu wako vipi kama viongozi ndio wako namna hiyo.
  7. Hiroo Onoda: Askari wa Kijapan aliyeendelea kupigana WW2 kwa miaka 29 baada ya vita kuisha

    Wakati mwaka 1944 ukiwa unaelekea tamati, hii ni baada ya miaka zaidi ya saba ya vita, mambo yalikuwa yanaiendea kombo Japan.⁣⁣⁣ Uchumi wake ulikuwa umeharibika vibaya, jeshi lake lilikuwa limetapakaa karibia kila kona ya Asia bila kuwa na mfumo thabiti wa kimawasiliano na mipaka iliyokuwa...
  8. London will be bombed first in World War Three, Putin ally claims

    Hii vita (Ukraine vs Russia )inaonekana ndogo kwa macho madogo, lakini kwa macho makubwa inaenda kuwa kubwa!! Tuombe Mungu aiepushie mbali London will be bombed first in World War Three, Putin ally claims A close ally of Russian President Vladimir Putin has warned that London will be the first...
  9. Nguvu ya "NENO" katika Dunia na Katika Maisha yako

    NGUVU YA "NENO' KATIKA DUNIA NA KATIKA MAISHA YAKO! Anaandika, Robert Heriel. Isomwe Kwa hekima Kwa walio na hekima, wapate ufahamu. Pia isomwe kipumbavu na hao waliowapumbavu, wazidi kuchanganyikiwa katika njia panda za fikra zao. Andiko hili ni Kwa watu wote. Neno ni sauti yenye maana. Kwa...
  10. FIFA kuruhusu timu kuwa na wachezaji 26 Kombe la Dunia

    Shirikisho la Kandanda duniani Fifa limepitisha mpango wa kila timu kutumia kikosi cha majina 26 kwenye fainali za Kombe la Dunia Qatar 2022. Itakumbukwa ongezeko hilo linakuja baada ya hapo awali kila timu ilitakiwa kuthibitisha majina ya wachezaji 23 kwenye kikosi chake lakini sasa kutokana...
  11. Wenye dunia yao hawawezi kukubali kamwe Mrusi ashinde vita

    Mrusi kushinda hii vita itakuwa ni tusi kubwa sana kwa US na mataifa makubwa barani ulaya. Haya mataifa makubwa yameshaonyesha wazi wazi kuwa yapo nyuma ya Ukraine, ila wanajificha tu kwenye mwamvuli wa kuisaidia Ukraine silaha, ila wapo deep sana kwenye hii vita. Ni kweli Ukraine itakuwa...
  12. J

    Nyani wamnyakua mtoto mikononi mwa mama yake, afariki dunia

    Kigoma. Kundi la nyani wa hifadhi ya Gombe iliyopo kijiji cha Mwamgongo wilayani Kigoma, limevamia nyumba ya Shayima Faya (20) na kumpokonya mtoto mchanga wakati akimnyonyesha na kutokomea naye porini ambapo baadaye mtoto huyo alifariki dunia. Akizungumza leo Jumatatu Juni 20, 2022 Kamanda wa...
  13. L

    Mkutano wa BRICS unafanyika China huku dunia ikipewa fursa mbalimbali za kujikuza kiuchumi

    Pili Mwinyi Mkutano wa 14 wa wakuu wa nchi za BRICS zikiwemo Brazil, Russia, India, China na Afrika Kusini unatazamiwa kuanza tarehe 22 Juni hadi 24 Juni hapa Beijing, na safari hii utafanyika kwa njia ya mtandao wa internet. Mwaka huu, mkutano huu utazingatia jinsi ya kutekeleza ajenda ya...
  14. L

    Dunia ikiwa inaadhimisha Siku ya Wakimbizi, ni kweli maisha ya wakimbizi yameboreshwa?

    Pili Mwinyi Kila ifikapo Juni 20, dunia inaungana kuadhimisha Siku ya Wakimbizi Duniani. Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa lilizindua rasmi siku hii mwaka 2000, na tangu wakati huo, jamii ya kimataifa inatumia siku hii kuangalia njia za kuboresha maisha ya wakimbizi. Wengi wetu tunajua kwamba...
  15. T

    Kombe la Dunia la Darts 2022

    Michuano ya dunia ya darts imeanza leo huko Ujerumani June 16 mpaka June 19 itakapoisha. Ukiacha South Africa hakuna nchi nyingine ya Africa inayoshiriki hili kombe la dunia. Rai: wizara ya michezo itie mkazo kwenye hii michezo midogo midogo inaweza kututoa kimasomaso, msikazanie soccer tu!
  16. Tanzania yapata Mkopo wa Dola Mil 278 kutoka Benki ya Dunia

    Tanzania imepata Mkopo kwaajili ya miundombinu na huduma bora kupitia mkopo Jumuiya ya Maendeleo ya Kimataifa (IDA*) wa dola za Kimarekani milioni 278 ulioidhinishwa tarehe 13 Jun 2022 na Benki ya Dunia. ==== Tanzania: Seven Million Urban Residents to Access Improved Infrastructure and...
  17. Benki Kuu ya Dunia yatambua mfumo mpya wa elimu Kenya kuwa bora kuliko yote ukanda wote huu

    Ni mfumo ambao utazalisha jamii inayoweza kujiendeleza na sio kujaza sokoni vijana wanaosaka ajira..... Kenya has come in for rare praise from the World Bank for the reforms in its education system, which has had its share of criticism for what some say is its demanding yet confusing scope...
  18. L

    Mkutano wa 90 wa Kimataifa wa Kazi umetangaza Juni 12 kila mwaka kuwa "Siku ya Dunia dhidi ya Ajira kwa Mtoto"

    Mkutano wa 90 wa Kimataifa wa Kazi unaofanyika mjini Geneva umetangaza Juni 12 kila mwaka kuwa "Siku ya Dunia dhidi ya Ajira kwa Mtoto", na kuzitaka nchi zote duniani kutoa kipaumbele kwa tatizo la utumikishwaji wa watoto na kuchukua hatua halisi na zenye ufanisi za kutatua tatizo hili.
  19. Mchezaji wa timu ya taifa ya Algeria afariki dunia

    HABARI ZA KUSIKITISHA. Kiungo mshambuliaji wa USM Alger na timu ya taifa ya Algeria 🇩🇿 B Billel Benhamouda (24) amefariki dunia kufuatia ajali ya gari. Benhamouda alicheza na kufunga katika mechi ya kirafiki ya kimataifa dhidi ya DR Congo 🇨🇩 إنا لله وإنا إليه راجعون Allah amjaalie qauli...
  20. Kama Dunia inazunguuka vipi kuhusu madishi ya satellite?

    Wadau Leo naomba mnisaidie tunajifunza kuwa Dunia inazunguuka kwenye mhimili wake lakini pia inazunguuka jua... Kama ni hivyo mbona ukifunga dish huku Duniani na satellite huko angani.. Kama Dunia inazunguuka mbona signal hazipotei? Ili Hali tunajua kabisa dish likiyumba kidogo tu channels hamna?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…