dunia

  1. TANZIA Aliyekuwa Waziri wa Kilimo na Mifugo awamu ya kwanza, Mzee Herman Kirigini afariki dunia

    Aliyekuwa Waziri wa Kilimo na Mifugo na Mjumbe wa Baraza la mwisho la Mawaziri la mwl. Julius k. Nyerere mhe. Herman Kirigini afariki dunia nyumbani kwake Musoma. ---- ALIYEKUWA mbunge wa zamani wa jimbo la Musoma vijijini na Waziri wa Kilimo na Mifugo Herman Kirigini amefariki dunia...
  2. Mwisho wa dunia ukifika sasa hivi utaenda Peponi au Motoni?

    Yaani kila nikiwaza mimi na haya mazungumbaru yangu najiona moja kwa moja motoni tu, vipi wewe jirani utakuwa upande upi Peponi au ndio tutasindikizana motoni kuwa kuni za milele?
  3. Tetesi: Mjadala wa "debt ceiling" unaondelea sasa USA: ni anguko la dollar ya Amerika au kitisho kwa uchumi wa dunia?

    "Debt ceiling" ni mjadala fikirishi. America kama ipo kwenye anguko la kiuchumi vilee.., na pia wapo kama vilee kwenye kubana mzunguko wa dollar yao kutishia uchumi wa dunia kuanguka kama mbinu ya kutafuta uungwaji mkono wa kidiplomasia kutengeneza washirika wapya juu ya vita vya kuinusuru...
  4. Masalia ya vita kuu ya dunia ni haya ya Urusi na Ukraine

    Operation ya Urusi huko Ukraine ni matokeo ya mabaki ya vita vya dunia na sera ya upanuzi wa Irusi ili aweze kufikia pande zote za dunia bila kikwazo. Kitendo cha Ujerumani kuadhibiwa vibaya kipindi kile ndio kilichopelekea rise of dictatorship in Germany hence WW, na sasa ninaiona hii kwa...
  5. M

    Nani aliwachagua kuwa viongozi wa dunia? G7 ni viongozi wa nchi 7 tu si zaidi ya hapo

    Viongozi wa G7 naona wameamua kujibatiza kama viongozi wa dunia!! Vyombo vya habari vya magharibi viko mstari wa mbele kuwatangaza kama viongozi wa dunia. Watu husema kuwa uongo ukisemwa sana, na watu wakaumezea hubadilika pole pole kuwa ukweli. Dunia lazima ikatae sasa kuwa marais wa...
  6. Mabadiliko au maendeleo ya dunia, huja na maumivu!!

    Kila mtu anatamani kuona dunia ikiendelea, ikisonga kutoka hapa ilipo. Mabadiliko ama maendeleo ya dunia huja na maumivu makubwa sana, maendeleo hayaji burebure tu, ni lazima uumie. Unataka kutajirika, basi itakubidi uanze kuamka saa kumi na mbili asubuhi na kulala saa saba usiku, ni lazima...
  7. Biden: Urusi haitashinda Ukraine

    Rais wa Marekani, Joe Biden amesema Urusi haiwezi kushinda vita dhidi ya Ukraine. Matamshi hayo ameyatoa mjini Warsaw, Poland ikiwa ni saa kadhaa baada ya Rais wa Urusi Vladimir Putin kusema Urusi itaendeleza mashambulizi yake ambayo yanakaribia kutimiza mwaka sasa. Rais Biden akionekana wazi...
  8. Sio T.R.A tu, mamlaka za kodi dunia nzima zinaogopeka na hazina "urafiki" na walipa Kodi, moja kati ya hizo ni "TRA" ya Marekani, inaogopwa mno!

    Mamlaka za kodi ni "polisi wa mapato" inachukua halali ya serikali, na kawaida, ni jbo gumu kwenda kuchukua kwa mtu fedha yake, lazima alalamike. Watanzania hatujiulizi kwa nini makusanyo Sasa ni trilioni mbili? Wakati mwanzo ilikuwa trilioni moja na bilioni 200? Nani hawa walikuwa wanakwepa...
  9. Ukatili uliofanywa na wajerumani katika nchi yetu na Namibia dunia haisemi

    Za mchana wana JF. Natumaini mu wazima wa afya. Leo nataka kuongelea ukatili uliofanywa na wajerumani katika nchi yetu ni wakutisha sana. Historia ya ukatili huo imefichwa watu wachache wanaoujua ukweli wamezeeka sasa. Historia hii inapotea. Wajerumani kuua watawala Wajerumani waliwachinja...
  10. M

    Mwalimu wa Walimu Mzee Ernest Meza Kizo ameaga Dunia!

    Kwa wale wakongwe waliosomaChuo Cha Ualimu Mpwapwa, Bustani na Butimba miaka ya 1960 hadi 1990 mwanzoni bila shaka watamkubuka Mwalimu wao mahiri Mzee Kizo,(91)! Bila shaka PM Majaliwa yupo ktk kundi hili! Mzee wetu huyu alitefundisha maelfu ya walimu Tanzania ametangulia mbele ya Haki Jumapili...
  11. Duniani kuna mabara mangapi?

    Wakuu sana, eti kijiografia duniani kuna mabara mangapi?
  12. Hivi ni kwanini Waafrika wengi wana akili ndogo na wengine hawana akili kabisa?

    Nilishaongea sana na sasa naona kazi kurudia . Icheki hii video fupi hapo chini uone jinsi akili za Mwafrika huyu na ma bodyguards wake Mimi ni Mtanzania ila simjui huyu kijana I mean sio maarufu sana, sio potential sana kwamba anaweza kuvamiwa akitembea mchana maeneo ya wazi hasa pahali...
  13. TANZIA William Malecela (Le Mutuz) afariki Dunia

    Mmiliki wa 'Le Mutuz' Blog, na Mwanachama wa JamiiForums William Malecela, William J. Malecela maarufu kama Mr. Super Brands amefariki dunia leo Mei 14, 2023 jijini Dar es Salaam. Taarifa za awali zinaonesha marehemu amefia Hospitali ya Mnazi mmoja na Mwili umepelekwa Hospitali ya Taifa, Muhimbili.
  14. B

    Dunia uwanja wa vita

    Kiukweli wanadamu tumekuwa na roho mbaya sana. Dunia tunapita tu, Ila Kuna watu Wana roho mbaya hakuna mfano. Hivi ukimfanyia mwenzio roho mbaya unapata faida gani, ukimchafua mwenzio unapata faida gani. Kwa maana wanadumu kusudio letu la kuwa Duniani ni kumwabudu Mungu, mengine yote ni...
  15. Kikwete mbona Magufuli alipofariki dunia hukumuelezea kirefu kama kwa Membe?

    Katika Mkeka wako nimetafakari mara mbili mbili hasa pale Ulipoandika nanukuu...."Mimi (Wewe) na Marehemu Membe kwa nyakati tofauti mlipitia Changamoto (Misukosuko) ya Kimaisha ila mkapeana moyo".... mwisho wa Kukunukuu. Binafsi kama GENTAMYCINE imenibidi nianze kutafuta kama kuna Mkeka wako...
  16. Wizara ya Afya: Mwaka 2022/23 Wajawazito 943 walifariki dunia wakati na baada ya Kujifungua

    Akiwasilisha makadirio ya Bajeti ya Wizara ya Afya Bungeni, Waziri Ummy Mwalimu amesema kwa mwaka 2022/23 jumla ya Wanawake 2,028,151 (98%) walihudhuria Kliniki kwa mara ya kwanza kulinganisha na Wajawazito Milioni 1.5 wa mwaka 2022. Pia, amesema kwa upande wa Huduma za Wakati na Baada ya...
  17. Hii dunia wapo wanao ishi, wengine tunaishia tu

    Wakuu hii dunia kuna watu wanafaidi asee, hii pesa yaani mane,mavumba au madafu yanatunyima vingi sana. Cheki huu mjengo ambao ameureview Supercarblondie.
  18. Wakati dunia wanaelekea kwenye matumizi ya AI CCM wao wako bize kupambana na CHADEMA

    Wakati nikitafakari maendeleo ya wanasayansi wa Uingereza kutumia DNA za watu watatu tofauti ili kuzalishaji mtoto mmoja kwa lengo la kuzuia magonjwa ya kurithi yasiyoambukiza na kutibika, nikawaza sisi Tanzania wanasayansi wetu wanasaidiwa vipi na CCM kufanya tafiti mbali mbali kwa maslahi ya...
  19. Vipimo "DNA" Mtoto "Aliyefufuka", kuokotwa Porini Vyaibua Mapya

    Vipimo vya vinasaba (DNA) vya mwili wa mtoto Mabirika Wilson (8), aliyefariki dunia Aprili 16 mwaka huu wilayani Magu, pamoja vya wazazi wake, vimeonesha ni mtoto wao. Uchunguzi huo unapingana na madai ya awali kwamba mtoto huyo amekutwa akiwa hai katika wilaya nyingine ya Kwimba mkoani hapo...
  20. Dunia nzima inaangalia masuala ya Kimila yanayofanyika UK

    Ingekuwa hapa wajuwaji wengi wangesema mambo haya yamepitwa na wakati
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…