dunia

  1. JamiiForums Tanzania Kuna swali hapa: kwa nini wanadamu wakitoka nje ya dunia wanapewa namba na sio majina yao.

    Kuna mada nimekutana nayo kuhusu kuwa sisi wanadamu ni namba na ndio maana namba zikizidi au kupungua sawa na ajari ya watu kumi masai mmoja. Kwa nini mpaka vitambulisho vina namba na ukiangalia namba hizo ni lazima kuwa watu fulani. Namba ni nini kwa elimu ambayo hata uzazi wanasema mtoto wa...
  2. I

    JamiiForums Tanzania MUNGU, SIASA ZA DUNIA NA MKAKATI WA MUDA MREFU: KWA NINI URUSI INAJENGA MAKANISA AFRIKA?

    Urusi inapojenga makanisa Afrika, inaleta dini tu, au pia inajenga ushawishi wa muda mrefu? Swali hili limeanza kupata uzito kutokana na kasi ambayo Kanisa la Kiorthodoksi la Urusi (ROC) limepanua shughuli zake barani Afrika katika miaka ya hivi karibuni. Desemba 2021, ROC ilianzisha...
  3. JamiiForums Tanzania Sasa kama dunia ipo miaka Bil 30 sisi mbona tupo binadamu bil 10 tu kwenye uso wa dunia ?

    Kingine kama kwanzia mwaka 0 mpaka 2000 Kabla ya Kristo ukipiga hesabu na mwaka 0 mpaka leo mwaka 2026 baada ya Kristo, inakuwa miaka elfu 4 kwanini bado mpaka sasa tupo watu bilioni 10 duniani kote ? Wengi mtasema ni Bangi ila Sio bangi, Nimewaza tu. Nawasilisha Nawasilisha.
  4. JamiiForums Tanzania Dunia inafahamu ukweli kuhusu kesi ya Tundu Lissu, Lissu ameiambia Mahakama akipatikana na kesi anyongwe mpaka kufa asipopatikana na kesi aachiwe huru

    ‪Dunia inafahamu ukweli. Ndiyo maana Tundu Lissu anasema akipatikana na hatia, anyongwe hadi kufa. CCM wanasema adhabu siyo kunyongwa pekee‬ ‪Tundu Lissu anaeleza Mahakama kwamba adhabu ya uhaini ni kuachiwa huru au kunyongwa hadi kufa. CCM wanasema Mahakama iamue kwa hisia tu‬ ‪Anyways...
  5. JamiiForums Tanzania Je ushawahi kufikiria kuwa katika hii dunia kuna watu wana vibali automatically na kuna wale wengine hata ulie vipi tabu ndio ujira wako hadi kifo?

    Kuna mtu unakuta matendo anayofanya na kero anazo fanyia wengine ni sawa sawa na giza lakini mtu huyo huyo hayampati magumu yoyote na kila analogusa linageuka kuwa dhahabu. Alafu kuna yule ambaye atasali sanaaaa, atalia sanaa na atapambana sana lakini magonjwa, majanga, vifo na aibu ndio...
  6. JamiiForums Tanzania Kifo chako kitakuja siku ya kawaida, katikati ya mipango ambayo haijakamilika na dunia itaendelea bila wewe. Hivyo basi achana na kushindana na maisha

    Usijalaumu kwa kuchelewa Usijalaumu kwa kusemwa Usijalaumu kwa kupitwa Usiogope kushindwa Sio lazima uwe tajiri kwa njia yoyote ile. Sio lazima uwa lidhishe watu kwa namna yoyote ile. ishi na asili, usiishi ya watu
  7. F

    JamiiForums Tanzania Wicknel chivayo aifariki dunia kwa ajali ya helicopter 🚁

    Mfanyabiashara maarufu wa Zimbabwe, Wicknell Chivayo amefariki dunia leo Septemba 30, 2026 kwa ajali ya helikopta akiwa na mkewe Lucy “Lulu” Muteke pamoja na watu wengine wanne. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Shirika la Utangazaji nchini Zimbabwe, limemnukuu mwanafamilia Herbert Chivayo...
  8. JamiiForums Tanzania Hofu ya dunia na maisha

    HOFU YA DUNIA NA MAISHA — KUNA SIKU TUTAISHI BILA KUOGOPA? Kuna wakati unakaa kimya peke yako, halafu unaanza kujiuliza maswali ambayo huwezi hata kumwambia mtu. Kesho itakuwaje? Nitafika wapi? Nitafanikiwa kweli? Nitapata pesa? Nitakuwa salama? Watu ninaowapenda watabaki kuwa nami mpaka...
  9. JamiiForums Tanzania Dunia imebadilika sana, hata hausikii ndege zikitekwa

    Dunia ya sasa imepoa sana. Kipindi fulani cha nyuma, minyukano ilikuwa mikali sana. Haupiti mwezi watu wanapiga tukio. Mara umesikia mapinduzi ya kijeshi kule, mara wahuni wameteka ndege wakairusha hadi destination fulani salama. Wahuni walikuwa wanateka hadi treni. Yaani ilikuwa dunia fulani...
  10. JamiiForums Tanzania Ni kweli Mzee mpili shabiki wa yanga kafariki dunia

    Hizi habari nimeziona USIKU huu
  11. P

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mzee Mpili wa Yanga afariki dunia

    Uongozi wa Young Africans Sports Club umetangaza kutangaza kifo cha Mwanachama wake, Haji Omari Ramadhani Mpili kilichotokea usiku tarehe 27, Septemba 2026 katika Kituo cha Afya cha Wilaya ya Ikwiriri, Mkoa wa Pwani alipokuwa akipatiwa matibabu. Mazishi yanatarajia kufanyika Septemba 28 majira...
  12. Q

    JamiiForums Tanzania John Heche: Kauli ya Chacha imeithibitishia dunia tuliyokuwa tukisema. CHADEMA kitatoa tamko rasmi

    Hii ni kauli muhimu sana, imethibitisha yale ambayo tumeyasema kwa miaka yote. Leo kiongozi wa juu wa ccm amethibitishia Watanzania na Dunia kwa wale waliokua wanafikiri tunasema uongo au tunawazushia.. polisi, usalama wa Taifa na jeshi la wananchi wamsikilize bwana Chacha. Vyombo vya ulinzi...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Kuchagua POS Bora kwa Maduka jijini Dar es Salaam

    Dar es Salaam Kuchagua POS Bora kwa Maduka jijini Dar es Salaam Maduka yenye shughuli nyingi yanahitaji POS ambayo ni ya haraka, rahisi, inayopatikana mtandaoni, na muhimu kwa maamuzi ya kila siku. Weka kipaumbele kasi kwenye kaunta Mtiririko rahisi wa mauzo huwasaidia wafanyakazi kuwahudumia...
  14. JamiiForums Tanzania Dunia ya 2035 Itahitaji Kijana wa Aina Gani?

    Tunapofikiria mwaka 2035, ni rahisi kufikiria magari mapya, majengo marefu na teknolojia kubwa. Lakini swali muhimu zaidi ni mtu wa kawaida atakuwa anahitaji skills gani? Teknolojia inaweza kuwa imebadilisha kazi nyingi. AI inaweza kuwa sehemu ya kawaida ya ofisi, shule, hospitali, biashara na...
  15. JamiiForums Tanzania Game of Thrones: Tamthilia Iliyounganisha Dunia?

    Dunia inaweza isije ikashuhudia tena tamthilia inayoweza kuunganisha watu duniani kote kama Game of Thrones. Sio tu kwa sababu ya bajeti kubwa au madragon, bali kwa sababu ya jinsi ilivyobadilisha utamaduni wa burudani duniani. Kila Jumapili usiku, mamilioni ya watu katika kila kona ya dunia...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Video: Msanii Mkubwa Wa Marekani Na Dunia Rick Ross Ampongeza Rais Samia Kwa Kuiweka Tanzania Katika Ramani ya Dunia. Kutua Nchini Muda wowote

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa Hakika Rais Samia Ni chaguo la Mungu, Ni Mbarikiwa, ni Mkono Wa Mungu Ndani ya Taifa Letu , Ni nuru na Mwanga Wa Taifa letu ,Ni Mtu na Nabii aliyepewa kibali na Mungu . Usishindane na Aliye inuliwa na kupewa kibali na Mungu . Usipigane na Aliye pewa Mamlaka na...
  17. JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza hivi maridhiano ndio wana aminisha dunia yamefanyika na kupata makamo wa raisi kule znz ndio tanganyika.

    Turudi nyuma kidogo kabla ya haya. Samia alikwenda znz kufanya maridhiano na kuhutubia huko znz kuwa CCM na ACT wamekubariana na wengine. Je hayo maridhiano kama kweli yalikuwa ya znz au tanganyika maana znz hakukuwa na ya October 29 wala viongozi wapinzani wao znz kupata mateso sababu sio...
  18. JamiiForums Tanzania Bi Fatma Karume aliyefariki dunia, Septemba 21, 2026 anazikwa lini?

    Huku tuko Eda! Na shughuli za kiserikali kila mtu ni msemaji wa serikali, Ila ninauliza tu?
  19. JamiiForums Tanzania China imefanya kitu cha kuishangaza dunia

    Unaweza sema haiwezekani? lakini kwa nchi ya China imewezekana 👋Ndani ya chini ya dakika 45, China imerusha roketi 4 tofauti kwenda angani! 😱🛰️ Kati ya Septemba 15–16, 2026, China ilifanikiwa kurusha roketi 4 tofauti ndani ya takribani saa 45, kutoka vituo 3 tofauti vya kurushia roketi...
  20. JamiiForums Tanzania Algorithm vs AI(akili mnemba) kwenye ugumu wa maisha kwa sasa.

    Katika dunia ya sasa, watu wengi huzungumzia AI (Akili Mnemba) kama teknolojia inayobadilisha maisha kwa kasi kubwa. Hata hivyo, swali moja muhimu linaibuka: Je, ni AI kweli inayotawala maisha yetu, au ni algorithm zilizopo nyuma ya pazia? Algorithm ni seti ya kanuni na maamuzi yaliyopangwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…