Wanawake wanaojiuza hupewa majina mabaya. Kama malaya, changudoa, vicheche, milupo na mengineyo. Wanaume ambao ni wanunuzi huonekana ni wajanja wa wa 'tauni' wanaojua chimbo zote za wajasiriamili hao wa kike.
Thamani ya bikira ni kwa mtoto wa kike tu, wa kiume akitoka na 'demu' umri wa shangazi...