Kwa wale wafuatiliaji wa mitandao ya kijamii wanafahamu namna Dudu Baya alivyoamua kupambana na ushoga na tabia za kishoga hadharani
Wapo wanaosema kwamba huenda ni namna alivyochagua kuendelea kujadiliwa kwenye media (ku trend) kwasababu uhai wa msanii hutegemea pia kusemwa semwa
Hata hivyo...
Msanii Mkongwe Dudu Baya, ameonekana kwenye video akisema kuwa kuna mpumbavu mmoja panya mwenye kaswende mpumbavu eti amenipigia simu eti akifa nisisogelee maiti yake akifa nisifike Kwenye msiba wake.
Unadhani panya huyo ni nani?
Mwanamuziki maarufu nchini Tanzania, Ommy Dimpoz, amejibu rasmi tuhuma na maneno ya kashfa yaliyotolewa dhidi yake na msanii mwenzake Godfrey Tumaini, maarufu kama Dudu Baya, aliyemwita "chakula" (mshoga).
Ommy Dimpoz ameeleza kuwa hana mpango wa kuchukua hatua yoyote ya kisheria au ya...
Msanii wa Bongo Flava maarufu km Ommy Dimpoz amejibu kuhusu sakata la yeye kutuhumiwa ni shoga, na msanii mwenzake wa music wa zamani Dudu baya, wakati wakiwa kwenye tamasha la miaka 30 ya Bongo flava huko Arusha.
Ommy Dimpoz amejibu kupitia IG yake, na ujumbe huo unasomeka km hivyo hapo...
Msanii mkongwe wa Bongo Fleva, Dudubaya, amezua gumzo kwenye Tamasha la Miaka 30 ya Bongo Fleva lililofanyika Arusha baada ya kuzimiwa kipaza sauti (Mic) akiwa stejini.
Tukio hilo limetokea muda mfupi baada ya Dudubaya kuhoji sababu za msanii Ommy Dimpoz kualikwa kwenye tamasha hilo, huku...
Msanii Dudubaya aitikia wito wa Waziri wa mambo ya ndani Katambi baada ya Waziri kutoa maagizo kwa jeshi la Polisi Dudubaya akamatwe baada ya kukaidi kuitikia wito wake wa kwanza hapo juzi.
Soma: Waziri Katambi aagiza Dudubaya akamatwe kwa kukaidi Wito wa Serikali
"Sijawahi kuwa mkaidi kwa...
Video ya Dudu Baya
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, ameliagiza Jeshi la Polisi kumtafuta na kumfikisha mbele ya vyombo vya sheria msanii Godfrey Tumaini maarufu Dudubaya, baada ya kushindwa kuitikia wito wa Wizara hiyo.
Akizungumza na wanahabari leo Ijumaa, Katambi amesema...
Wote tunajua Dudu baya anapinga ushoga kwa kauli mbiu ya You better watch your back
Afande amekosea kitendo cha Waziri wa mambo ya ndani, kuwaita mashoga kwamba ni Wasanii na akawaita wakutane naye. Humo humo kwenye mashoga akaita na wasanii ambao ni kioo cha jamii. Pia kuna watu si wasanii...
Waziri wa Mambo ya Ndani, Mhe. Katambi amewaita wasanii na wanamitandao mbalimbali katika kikao maalum ambacho kitafanyika Central Police Station jijini Dar es salaam.
Mpaka sasa agenda za kikao hicho hazijawekwa wazi.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Patrobas Katambi amesema kikao hicho...
Daaah naona mwamba hayuko sawa baada ya kwenda kutibiwa India anamchukia Kila mtu .....Kwa sababu hakuchangiwa ......na saizi anaona Kila mtu aliye mbele yake ni adui 😂😂😂
Je yeye amewahi toa msaada Gani
Nb Dudu baya, yu bela wochi yua back😂😂
Yule masanii pendwa mpiga miti, Dudu baya oil chafu kutoka Bujora kisesa.
"Amejikuta katika taharuki kubwa baada kuzimiwa mic katika tamasha la miaka 30 ya bongo fleva kufuatia kauli zake dhidi ya ushoga".
Lakini pia alikwenda mbali zaidi kwa kusema yeye alitibiwa kwa gharama zake mwenyewe...
huwa simkubali Dudu Baya kwenye kila jambo, hasa pale ninapoona anaisifia sana serikali na ku m mention mama samia lakini kuhusu namna alivyofunga shoo kwangu ilikuwa poa
Kufikia alfajiri watu wengi tayari wanakuwa wamechoka na wengine wanaanza kuondoka. Kwa hiyo niliona ile ilikuwa njia ya...
Dudu Baya amkalia koo Profesa J baada ya kupatiwa milioni 30 na Rais Samia Suluhu
Profesa J hongera kwa kugewa milioni 30 na mama Samia yani wewe huna utofauti na Wastara mnatumia ugonjwa kupata fedha wakati Watanzania wanamaisha magumu na Watanzania wanamachungu na damu za ndugu zao walipotea...
Nipo kwenye ziara ya Waziri wa AFYA - Mh. Mohammed Mchengerwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa ya Mwananyamala muda huu saa 7 Mchana.
Katika ziara hii, Katibu Mkuu - Wizara ya Afya kamkaribisha Mkurugenzi Mkuu wa MOI Balozi Dr. Mpoki Ulisubya aweze kutoa ufafanuzi kuhusiana na vifaa vya MRI na...
Dudu Baya huwa hapati kabisa utamu pasipokutamka neno shoga kwenye kauli zake
Nikama akili ya Dudu Baya imejaa ushoga
Hakuwahi kuzungumzia swala lolote pasipokutamka shoga
Hapatagi utamu anapokuwa na wanaume pasipokuwatukana mashoga
Sijafahamu kiwango cha ushoga katika akili yake ni cha...
Mapema wiki hii mke wa mkubwa Fela amelalamika kuwa wasanii ambao mkubwa Fela aliwasaidia Sasa hawapokei simu wala kutoa msaada, mkubwa Fela amekosa pesa za matibabu yupo hoi nyumbani kwake hana huduma wala msaada wowote
Dudu baya amebainisha kuwa
1. Mkubwa Fela alifanya dhulumu nyingi na...
Godfrey Tumaini, a.k.a. Dudu Baya amefunguka kwa kina akielezea jinsi Majizzo anavyonufaika na Kampeni za CCM huku akiongelea dharau za Diamond na wenzake kwa watanzania tokana na kujaa sifa za kijinga.
Msikilize vema
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.