dua

  1. Yoda

    Kwa nini waumini wa dini huwa wanafanya dua, sala au maombi?

    Maombi, Dua na sala vina matokeo yoyote au vinabadilisha chochote katika maisha ya binadamu muamini mungu? Kwa nini binadamu wasiache tu mapenzi/mipango ya mungu au kudra zake kutimia tu kama alivyopanga kwa sababu tunaambiwa kila jambo alishalipanga?
  2. comrade_kipepe

    Wa Iran wa Tanzania kufanya dua leo ya kumuombea kiongozi wa iran aliyeuwawa na marekani.

    Kwa maana hiyo, mtag muiran unayemjua hapa jf kua asogee sehemu tajwa hapo juu akaomboleze na wenzake asiishie tuu kubishana huku jf.
  3. Hance Mtanashati

    Nawatakia kila la heri mtakaoandamana kesho, sitaandamana ila nawaunga mkono mtakaokwenda kuandama dua nyingi kwenu

    Kila la heri mtakaokwenda kuandamana kesho, binafsi sitaandamana ila dua zangu kwa wote mtakaoandamana ,mtoke salama na mrejee kwenye familia zenu salama. Kiuhalisia naona ni ngumu kufanikisha jambo kama wanajeshi hawatakuwa upande wa waandamanaji. Wanajeshi ndio wameshika dhamana kufanikiwa...
  4. President of China

    PostGE2025 Sheikh Mkuu na Mufti wa Tanzania - Abubakar Zuber bin Ally aagiza Dua ya Qunuti kusomwa baada ya kila Sala

    AGIZO LA SHEIKH MKUU NA MUFTI WA TANZANIA "Assalaam alaikum. Nimewaagiza Mashekhe wote Nchini kuanzia Mikoa, Kata na Wilaya pamoja na Maimamu wa Misikiti yote Nchini Kuleta Dua ya Qunuti baada ya kila Sala. Dua hii Maalum kwa ajili ya kuendelea kumlilia na kumuomba M/Mungu Mtukufu aendelee...
  5. figganigga

    GE2025 Sikutegemea Katoliki wamuombee Dua Samia kwenye kuapishwa kwake

    Imekuaje Katoliki wamekubali mwaliko wa kwenda kwenye Sherehe za kuapishwa kwa Samia Suluhu Hassan? Halafu wanamuombea Dua yenye nguvu kabisa. Imekuaje? Nnimefarijika Mumetaja mauaji yaliyotikea wakati wa Uchaguzi na mumewaombea Dua.. Yule wa Ummoja wa Wakirisyo hajui hata kama kuna watu...
  6. Mr Why

    Waumini waliohudhuria Ibada iliyoendeshwa na Sheikh Jongo siku tatu zilizopita walikataa kuitikia dua pamoja na kuonesha nyuso za hasira na huzuni

    Waumini waliohudhuria Ibada iliyoendeshwa na Sheikh Jongo siku tatu zilizopita walikataa kuitikia dua pamoja na kuonesha nyuso za hasira, huzuni na mshangao kwa madai ya kuwa Ibada ile ilijaa mahubiri yanayokinzana na kanuni za Kiislamu ikiwemo Haki pamoja na kuingiza Siasa na Maslahi ndani ya...
  7. U

    Kwanini baadhi ya wakristo huacha kuombewa na wachungaji na kwenda kwa kuombewa dua kwa Mashehe na wanafanikiwa kuondoa shida zao?

    Ni utafiti usiopingika sababu ni nini hasa? Uhaba kiimani au matokeo ya haraka?
  8. GENTAMYCINE

    Nikiwa kama 'Mtanzania Mganda' naomba Dua zenu leo Watanzania ili Uganda Cranes nayo ifuzu, kwani leo ina Mtihani mkubwa sana Mandela Stadium

    Yaani Timu zote Tatu zina nafasi ya kupita ila iIiyo tu Mtegoni hasa Kimahesabu ni Uganda (Uganda Cranes) mtuombee.
  9. creedfx

    Mapenzi Yaliponifanya Kukumbatia Jeraha naKuliita Dua

    Kuna baadhi ya watu huja kwenye maisha yako kama zawadi... lakini wengine huja kama darasa la maumivu. Na darasa hili lilinifundisha kuwa… mapenzi si ya waliokomaa tu, bali ni ya waliovunjika na wakaamua kupona. Hii ni hadithi yangu. Ya kweli. Niliipenda kimya, nikaamini ni dua yangu ikijibiwa…...
  10. Yoda

    Uislamu unaruhusu kuombea dua mbaya watu mliotofautiana mawazo , misimamo au mnaoshindania maslahi ?

    Siku za hivi karibuni nimesikia Masheikh mbalimbali na waumini wa kawaida wakiomba dua mbaya dhidi ya watu walio kinyume nao katika upande wa msimamo wa siasa. Ningependa kufahamu kama haya ni katika mambo yenye kuruhusiwa katika dini au ni Bid'ah.
  11. Just Pray

    PreGE2025 Sheikh akiomba dua Mei mosi asema 'Yarrab Nakuomba umpe mitano mingine Rais Samia'

    “Eeh Mola wetu umpe faraja Rais samia, na faraja anayohitaji ni mitano Mingine, Yarrab Nakuomba umpe mitano mingine Rais Samia” Sheikh - Mkoa wa Singida
  12. The Dictator

    Hii dua ya namna gani hapa Shekhe!?

    Kuna ile kauli: "MSICHANGANYE DINI NA SIASA" hapa naona haihusiki. Ndio kusema mzani umelalia upande mmoja? Hii ni dua iliyotolewa na Shekhe mmoja hapo kwenye sherehe ya May mosi. Hebu isikie kama hukupata wasaa huo;
  13. C

    Dua ya kuombea (Wagombea) Uchaguzi Mkuu??

    BAKWATA wameandaa dua ya kuombea unaoitwa Uchaguzi Mkuu. Maajabu ni kwamba Wageni rasmi ni Wagombea waliopitishwa na Chama chao kugombea Oktoba 2025 (CCM)
  14. Nipe Maji

    PreGE2025 Mufti Mkuu Abubakar bin Zuber kuongoza Dua ya Kumuombea Rais Samia

    Mufti Mkuu wa Tanzania Abubakar bin Zuber anatarajiwa kuongoza Dua ya Kuiombea nchi na Rais Samia Suluhu Hassan pamoja na kuwaombea Dua masheikh walitangulia mbele ya haki. Mufti Abubakar amesema katika Dua hiyo inatarajiwa kufanyika kwa siku 2 tarehe 8 - 10 jijini Dar es Salaam na mgeni rasmi...
  15. W

    PreGE2025 Viongozi wa dini Arusha wamuombea Dua, Mrisho Gambo na Rais Samia

    Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini Mrisho Mashaka Gambo amefuturisha viongozi wa Dini ya Kiislam, Yatima na Wajane zaidi ya 1,000 siku ya Jumamosi ya Tarehe 22 March 2025 Jijini Arusha. Kwenye hafla hiyo viongozi wa Dini wamemuombea DUA Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Samia Suluhu...
  16. W

    PreGE2025 Mbunge Nusrat Hanje ameandaa ibada na dua kumuombea Rais na Uchaguzi

    Huu uchawa asee yajayo yanafurahisha na kusikitisha kwa wakati mmoja. ==== Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Singida Mhe. Nusrat Hanje ameandaa Maombi na Dua Maalum ya Viongozi wa Dini na Wazee kumuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Tukio hilo linafanyika...
  17. M

    Dua ya kumuombea Mbowe

    Ewe Mola Mwenye rehema, tunakuomba umuongoze Freeman Mbowe katika uchaguzi huu wa ndani wa CHADEMA. Mpe hekima, busara, na nguvu za kushinda kwa haki. Ikiwa ushindi wake ni kwa manufaa ya chama, taifa, na mustakabali wa demokrasia, basi tuombe mapenzi Yako yatimie. Mshushie baraka na...
  18. Just Pray

    SI KWELI PreGE2025 CHADEMA imeondolewa Democrat Union of Africa DUA

    Salaam wanajukwaa Nimekutana na hii taarifa kutoka mtandao wa X kwamba CHADEMA imeondolewa kwenye huu umoja wa DUA, Democrat Union Africa, na inaonekana taarifa pia imechapishwa na JamiiForums lakini kwenye account zake sijakutana nayo, naomba kufahamu uhalisia wa hii wakuu.
  19. Mohamed Said

    BAKWATA Mwanza wasoma dua ya kuwarehemu wapigania Uhuru

    BAKWATA Mwanza wamefanya khitma kuwarehemu wake kwa waume waliopigania Uhuru wa Tanganyika. Bi. Mwajame Dossa Aziz atoa shukurani kwa BAKWATA kwa kumremu baba yake na wengine waliopigania uhuru wa Tanganyika kwa hali na mali zao. https://youtu.be/3PyU0Qx-7MU?si=qyZ9R-NZCnD2AKX9 Leo tarehe...
Back
Top Bottom