dola

The Western Australian Land Information Authority operates under the business name of Landgate. Formerly the Department of Land Information (DLI), the Department of Land Administration (DOLA) and the Department of Lands and Surveys (DOLS), it is the statutory authority responsible for property and land information in Western Australia.

View More On Wikipedia.org
  1. PostGE2025 Polisi: Tulimkamata Geofrey Mwambe Desemba 7,2025 kwa tuhuma za jinai

    TAARIFA KWA UMMA Hali ya Usalama jijini Dar es Salaam ni nzuri na wananchi wanaendelea na kazi halali mbalimbali. Hata hivyo tarehe 07 Desemba, 2025 usiku eneo la Tegeta Kinondoni alikamatwa Geofrey Mwambe kwa tuhuma za jinai ambazo zinachunguzwa. Hatua zaidi za kisheria zinakamilishwa...
  2. K

    PostGE2025 Ulinzi wa Dola uliotumika Desemba 9, 2025 kwanini usitumike katika kulinda Rasilimali za Nchi na ufisadi usitokee?

    Nilikuwa najiuliza tu huu ufisadi wa kununua Rolls Royce na Mercedes Benz G Wagon kwa vigogo wetu nchini pamoja na hizi Rasimali za nchi tulizonacho zinavyotumika ndiyo sivyo. Kwanini ulinzi wa kuilinda Dola, usitumike kulinda Rasilimali za Nchi na kuzuia ufisadi na mafisadi. Nafikiri Kuna haja...
  3. M

    Nani anawatumia Gen z kutaka kuangusha dola? Au ndio Mapinduzi kama ya Cuba?

    Rais Samia alisema akiwa anawahutubia wazee wa Dar. Kuwa tar 29 oktoba kuna watu walipanga kuangusha dola. Ndio maana nguvu kubwa ikatumika kuua watu wasio na hatia. Nani anataka kuchukua kiti cha urais kupitia Gen z? Je , haya yanayonukia sio mapinduzi kama ya Cuba ili kuondo mafisadi...
  4. N

    'MO29' imeifanya Dunia ijue kila aina uovo unaofanyika Tanzania,'D9' ni zamu ya vyombo vya dola kuandamana....Hakuna tunachowadai mashujaa 'Gen Z'.

    Amani ya Bwana iwe juu yenu watanzania. Maandamano ya siku ya uchaguzi mkuu (MO29) yameweka hadharani mambo yanayofanywa na serikali ya CCM. 1.Utekaji 2.Mauaji 3.Uchakachuaji wa uchaguzi. 'D9' ni zamu ya vyombo vya dola kuandamana na hakuna tunachowadai 'Gen Z'.
  5. R

    PostGE2025 Dola la Kushi lipo njiani. Afrika yote itapiga mguu sawa

    Salaam! Ilitabiriwa tangu 2020 kwamba uchaguzi wa mwisho secular ni ule wa Lowassa vs Magu. Baada y hapo, kuanzia 2021 Hadi 2030 ni mkono wa chuma tu na kukimbizana. Move background ni kuanzisha Dola ya Kushi. Kushi Empire, hii yaja na mabadiliko ya viongozi Afrika nzima. Kiongozi wa mpango...
  6. Nguvu kubwa haiondolewi na nguvu ndogo; hiyo ndio maana halisi ya Dola

    Hamjambo! 1. Nitaongea kidogo kifalsafa na kisayansi. 2. Kisayansi kuna law inasema survival of the fittest kwa tafsiri ya mwenye nguvu ndiye anaishi. Sikumbuki aliitoa Mwanasayansi Charles Darwin au Bwana Lameck. Kwa Wahenga wanasema Mwenye nguvu mpishe. 3. Nguvu ndogo haiwezi kuondoa nguvu...
  7. PostGE2025 Rais Samia: Kilichotokea kilipangwa, lengo lilikuwa kuangusha dola. Yale hayakuwa maandamano bali vurugu za uharibifu

    Akizungumza na wazee wa mkoa wa Dar es Salaam Dec 2, 2025 Rais Samia ameeleza kuwa watu walioingia barabarana walikuwa na lengo la kuiondoa dola madarakani na tukio hilo lilikuwa ni la kutengeezwa. Anasisitiza vijana walifanywa makasukua na kuimbishwa kuwa wafanye ili yatokee yaliyotokea Madagascar
  8. PostGE2025 Kijana aliyepewa dola milion mbili kuvuruga taifa ni nani?

    Sorry to say this! Lakini kina vitu vinatia kinyaa kuvisikiliza Inakera sana kuona mtu mzima kwa kutumia rasilimali za taifa na kodi za wananchi anawakusanya watu wazima na vyombo vya habari ili kuongea uongo Inawezekana vipi kijana aliyekuwa kapigika kimaisha 'anayesongesha' mitandaoni ghafla...
  9. R

    Naona safari hii hakuna vitisho vya dola au muda bado

    Kuko kimya, hakuna vitisho vya maandamano. Au muda bado?
  10. Nawakumbusha viongozi wa Vyombo vya Dola: Utekaji unaoendelea baada ya kiini macho cha uchaguzi siyo afya kwa jamii, mnachochea moto

    Mimi najiuliza hivi ni kweli IGP wambura hana washauli wazuri wakumshauli namna bora ya utendaji kazi wa jeshi la polisi katika kutekeleza majukumu yake zaidi ya haya mambo yanayoendele ya utekaji baada ya kiini macho cha uchaguzi yaliyofanyika october29. ? Hawa viongozi hawajui kama kuendelea...
  11. D9 ni Mtego mwingine kwa Polisi na Vyombo vya Dola?

    D9 Police inatakiwa Disiplini yetu iwe juu nidhamu ya hali ya juu sana huu ni mtego kwenu. Tumeona mauji ya October 29 police na vyombo vya dola vimefanya mauaji makubwa ya watoto...
  12. Baraza la maaskofu nchi hii ni ya kidemokrasia na siyo ya mfumo wa kikristo wala mfumo wa dola ya kiislamu acheni kuipa amri serikali

    Friends and Our Enemies, Kuna ajenda ya udini inaendelea chini chini na haikuanza leo dhidi ya Rais Samia,Ajenda hiyo ilijicha kwa muda mrefu sana lakini hivi sasa ni wazi kabisa imejionyesha ni nani alikuwa mastermind wa ajenda hiyo. Kama sote tutakuwa na kumbu kumbu vinara wa uchochezi na...
  13. Bila kujali Umri wako unatokea wapi ni Mda wa kupambana Kuondoa vyombo vya Dola mikononi mwa wahuni viwe huru.

    Bila kujali unatokea wapi una umri gani ni mda kupambana kuondoa vyombo vya dola mikononi mwa wahuni. Tafadhali sana nilikua sijawahi kupata mda wa kuangalia clips za...
  14. GE2025 Nchi ambayo vyombo vyote vya dola vinapambana kulinda mafisadi, Gen Z walikuwa sio wa kuachwa peke yao

    Ukiangalia kwa kina JWTZ ilikaa kimya Mgunda hakuwai kuongea chochote wakati watu wanatekwa wakina Soka, Mdude, Kibao na Wengine wakina Polepole lakini ghafla katoka kuja Kukemea maandamano shame on you
  15. Vyombo vya dola vinasikitika kupoteza muda na nguvu kujiandaa kudhibiti Tanzania ya watu waoga huku wanasiasa wakigonga glass kwa ushindi huu mkubwa

    Ova and out
  16. Trump ataka idara ya sheria ya serikali ya Marekani imlipe mamilioni ya dola kwa usumbufu wa uchunguzi na kesi dhidi yake

    Donald Trump anadai idara ya ya sheria ya Marekani/Department of Justice(DoJ) imlipe $230 million kwa kadhia za uchunguzi na kesi mbalimbali zilizoendeshwa na idara hiyo dhidi yake katika miaka iliyopita, madai hayo itabidi yapitie kwa watu aliowateuwa kuongoza idara hiyo ambao wengi wao...
  17. S

    Kusambaa kwa picha na ujumbe wa kuhamasisha maandamano, vyombo vya dola havioni au wanaunga mkono kimya kimya?

    Kwa muda sasa, tumekuwa tukiona kwenye mitandao picha na ujumbe wa aina mbalimbali wa kuhamasisha maandamano na leo mpaka karibu kabisa na kituo kimoja cha Polisi kuna matangazo hayo ya kuhamasisha maandamano. Swali: Vyombo vya dola havioni haya matangazo au na wao wana jambo lao? Muda utasema.
  18. W

    GE2025 Wenje: Hauwezi kushika dola barabarani kwa maandamano

    KADA wa Chama Cha Mapinduzi ( CCM), Ezekia Wenje amesema anakishangaa chama chake cha zamani CHADEMA kwa kushindwa kusimamia malengo ya kuanzishwa kwa chama hicho. Akizungumza leo Oktoba 19, kwenye mkutano wa kampeni wa mgombea urais kupitia CCM, uliofanyika mkoani Rukwa Wenje amesema msingi wa...
  19. GE2025 CCM sio chama kirahisi hivyo kwenye suala la Dola

    Hakuna watu walitikisa ccm kama Tanzanian Youth Democracy Movement, wengi wenu mlikua bado hamjazaliwa, tujikumbushe kidogo ni wakina nan hawa kikundi hiki kilikua na wanachama Moussa Membar (kiongozi), Mohammed Ali Abdallah, Mohammed Tahir Ahmed, Yassin Membar, na Abdallah Ali Abdallah...
  20. GE2025 Mimi siungi mkono maandamano. Huwezi kushindana na Dola. Tutavuna vifo na vilema Dola itatamalaki na TANZANIA itabaki

    Huu ni misimamo wangu siungi mkono maandamano Kwa hili nitaungana na serikali kwasababu huwezi shindana na Dola na pia ukishindana nayo wengi mtakuwa vilema na marehemu. Nashauri swala la maandamano lifuteni Hilo halipo na Mimi nitakuwa upande wa Dola.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…