dodoma

  1. JamiiForums Tanzania Leo ngono itapigwa sana hapa Dodoma

    Niko hapa JK Hall, nashuhudia kila mtu akishika mkono aliye wake na kuondoka naye. Leo guest house zitawaka moto! Kuna jamaa mmoja toka Katavi kaniwahi kwa mjumbe mmoja toka Mbeya. Nilikuwa nimemuweka rada tangu jana, tumetoka tu ukumbini jamaa anae, nikawa mpole.
  2. C

    JamiiForums Tanzania Mlinzi wa Rais kuvaa sare za chama ni sahihi?

    Wanajukwaa naomba kuuliza hili la walinzi wa Rais Magufuli kuvaa sare za CCM limekaaje?
  3. JamiiForums Tanzania Wakati CCM kushirikiana na magereza na polisi kupandisha bendera Dodoma, jeshi la polisi Same washusha bendera za CHADEMA

    Hapa makada watiifu wa CCM Same wakishusha bendela za CHADEMA ambao wana kikao cha ndani kuelekea uchaguzi mkuu 2020
  4. JamiiForums Tanzania Nguvu ya Dodoma katika maamuzi ya Urais wa Zanzibar (CCM)

    Katika mchakato wa kutafuta mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwenye Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2000, Amani Karume, aliyekuja kuwa mgombea wa chama hicho na baadaye Rais wa Zanzibar, hakuwa mgombea aliyeungwa mkono na wengi visiwani humo. Kulikuwa na kundi kubwa zaidi lililokuwa likimuunga...
  5. JamiiForums Tanzania Ajali ya Lori na Noah yaua watano na kujeruhi wawili Dodoma

    Watu 5 wamefariki 2 kujeruhiwa baada ya gari dogo aina ya Noah lililokuwa likitokea Morogoro kwenda Dodoma kugongana na lori eneo la kibaigwa jijini Dodoma. Watu watano (5)wamepoteza maisha na wengine wawili kujeruhiwa katika ajali ya barabarani iliyotokea alfajili ya Leo katika eneo la...
  6. JamiiForums Tanzania GE2020 Askofu Gwajima atangaza nia ya kugombea ubunge jimbo la Kawe

    Askofu Josephat Gwajima ametangaza nia ya kugombea ubunge Jimbo la Kawe kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) na leo amefika kwenye ofisi za chama hicho kupewa utaratibu. Kuhusu kuunga mkono UKAWA mwaka 2015, amesema hajawahi kuwa Mwanachama wa CHADEMA, ila hutetea haki wakati wote. === Aliingia...
  7. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dodoma Stendi kama Ulaya vs Nairobi Soko la Wakulima

    Leo nimesoma Dodoma imekuwa kama ulaya kwa mujibu wa stendi mpya. 😂😂😂😂 Shukrani nikaskia zinapewa JPM. Kwani rais ndiye kufanya kazi yote Tanzania? Nayo hii soko kubwa mpya Nairobi vipi? Mbona kila project ndogo ya Tanzania lazima itangazwe hapa kwa section ya Kenya? 😂 😂 😂 Haya oneni pia...
  8. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. John Magufuli amerudisha fomu ya maombi ya kugombea Urais Makao Makuu ya CCM

    Dkt. Magufuli ambaye ndiye Rais wa Tanzania leo atarudisha fomu ya maombi ya kugombea urais kupitia CCM kwenye makao makuu ya chama jijini Dodoma. === Updates: Rais Magufuli anarudisha fomu ya maombi ya kugombea Urais wa Tanzania kupitia CCM kwenye Makao Makuu ya chama, Dodoma. Hadi sasa ni...
  9. JamiiForums Tanzania Stendi Kuu ya Mabasi Dodoma ni kama airport za mbele, Rais Magufuli afanya kweli

    Mhe. Rais Magufuli inatosha, wapinzani watakufa kwa presha jamani. Millard Ayo aimulika kila kona, angalia hapa. Kadi za CCM zipo kila shina, mwone kiongozi wa shina katika mtaa wako
  10. JamiiForums Tanzania Msaada wa maelekezo kwa wakazi wa Dodoma

    Wasalaam wakuu, Naomba mwenye kufahamu jinsi ya kufika Kizota ukitokea Sabasaba Stendi au Nyerere Square, natanguliza shukrani🙏
  11. JamiiForums Tanzania Je, bado Zanzibar mmechoka Mgombea Urais kuchaguliwa Dodoma? Na kupokezana Urais wa Muungano kati ya Zanzibar na Tanganyika Je?

    Bendera ya Tanganyika Kabla ya Uchaguzi wa Mwaka 2015, CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), Zanzibar, kilieleza nia yake ya kutaka kuachiwa mamlaka ya kumchagua mgombea Urais wa Visiwa hivyo, badala ya utaratibu wa sasa unaoshirikisha wenzao wa Tanzania Bara. Pamoja na hatua hiyo, chama hicho pia...
  12. JamiiForums Tanzania Dodoma: Afisa Mipango Miji asimamishwa kazi kwa kushindwa kutenda haki kwa Wananchi

    Mkuu wa wilaya ya Dodoma mjini Patrobasi Katambi ametangaza kumsimamisha kazi,Hadson Magomba,ambaye yupo kitengo cha mipango miji katika jiji la Dodoma kwa kushindwa kutenda haki kwa wananchi. Katambi ametoa agizo hilo baada ya kupokea malalamiko yaliyotolewa na Mdala Mazengo wakati wa mkutano...
  13. JamiiForums Tanzania Kumekucha: Maji kutoka Ziwa Victoria mpaka Dodoma

    Katibu Mkuu Wizara ya Maji Prof. Kitila Mkumbo amesema Wizara hiyo inatarajia kufanya utafiti mkubwa na usanifu wa mradi mkubwa wa maji wa kuchukua maji kutoka Ziwa Victoria kupeleka Mkoani Dodoma kwa kupitia Mkoani Singida katika mwaka wa fedha wa 2020/2021>>”hii itaondoa kabisa shida ya maji...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Clouds 360 yawauliza Bodaboda kama Mbowe alivamiwa au alianguka mwenyewe jijini Dodoma

    Watangazaji wa Clouds 360 wametembelea kijiwe maarufu cha kahawa jijini Dodoma na kufanya mahojiano na madereva wa Bodaboda. Bodaboda waliulizwa maswali mawili ya msingi: 1. Je, Rais Magufuli akimaliza muhula wake wa pili wa uongozi aongezewe 10 mingine? 2 Je, kwa mnavyofahamu Mwenyekiti wa...
  15. D

    JamiiForums Tanzania Mbowe tangu ashambuliwe na wasiojulikana amekuwa kimya, au kaamua kuwasamehe?

    Kitendo cha kushambuliwa Mhs. Freeman Mbowe na watu wasiojulikana na kumvunja miguu mwenyekiti wa Chadema taifa na KUB hasa ukichukulia tena tukio hili limetokea tukiwa tunakaribia uchaguzi mkuu, tena wakora hao walimwambia kuwa anaisumbua serikali vyo wakamtegua mguu sasa ni vipi huyu...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba wa kike

    Mimi ni kijana wa kitanzania,nina umri wa miaka 26, ninaishi Mbeya kwa sasa na ni mkristo kwa dini, elimu yangu ni ya chuo(degree), sina kazi bado naangaika na maisha najishughulisha na shughuli zangu binafsi huku nikiangalia ni wapi pa kutokea, nahitaji msichana kati ya miaka 20 - 24, tutaanza...
  17. JamiiForums Tanzania GE2020 Membe: Kamati Kuu haina mamlaka ya kunifukuza Uanachama wa CCM bali Halmashauri Kuu ya Taifa. Asema kati ya Juni na Oktoba chochote kinaweza tokea

    Membe anasema: Kuhusu kugombea ndani ya CCM: Kuhusu kugombea ndani ya CCM, tukafikia mwafaka na Washauri, Tukafikia uwamuzi kwamba, sisi hatujamkosea mtu, sisi hatujawa waharifu, sisi hatuna uoga na tunaniamini, sisi tuna haki kabisa kabisa ya kugombea urais huu kwa sababu tunalindwa na Katiba...
  18. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli azungumza na Wananchi wa Ubungo wakati aliporejea jijini Dar es salaam akitokea Mkoani Dodoma

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi wa Ubungo jijini Dar es Salaam mara baada ya kuwasili wakati akitokea Mkoani Dodoma. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Mama mwenye...
  19. R

    JamiiForums Tanzania National College of Tourism Arusha na Institute of Rural Development Planning - Dodoma

    Wapendwa, naomba kusaidiwa. 1. Chuo cha Mafunzo ya Utalii yanakupa ujuzi gani-expertise? Na baada ya kumaliza kazi za mhitimu (in case ameajiriwa) ni zipi? Day to day activities. Mafunzo yanajumuisha acquired skills zipi. 2. Chuo cha Rural Development Planning - DODOMA (Chuo cha Mipango)...
  20. JamiiForums Tanzania Baada Dar kuwa mkoani, sasa ni zamu ya wanaume wa Dodoma

    Wanaume wa Dar waliandamwa sana kwa mengi, sasa Dar imekuwa mkoani kama Simiyu, Njombe na Songwe kazi kwenu wanaume wa Dodoma.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…