dodoma

  1. Mikoa 15 kukosa umeme Julai 3 na 4 kutokana na umaliziaji njia Umeme wa SGR Msamvu - Dodoma

    NISHATI: Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limetangaza kuzimwa kwa huduma katika Njia Kuu ya Kusafirisha Umeme wa Msongo wa Kilovoti 220 kutoka Msamvu hadi Dodoma ili kuruhusu umaliziaji kazi kwenye vituo vya Treni ya Reli ya Kisasa (SGR) vya Msongo wa Kilovoti 220/33 Mikoa itakayoathirika...
  2. Ni muhimu watumishi wa serikali watumie SGR kwa safari kati ya Dar na Dodoma.

    Pindi reli ya SGR kutoka Dar es Salaam hadi Dodoma itakapokamilika serikali iweke muongozo madhubuti kwamba watumishi wote wa umma kuanzia mawaziri hadi wale wa chini kabisa watumie treni hiyo kwa safari za Dar-Dodoma badala ya gari au ndege. Hii itasaidia kuokoa gharama za mafuta, manunuzi ya...
  3. Nyumba ya Vyumba 3 inapangishwa - Nkuhungu, Dodoma (bila dalali)

    Nyumba ya vyumba vitatu. Ina store ya jikoni, ina dining area. Ipo kwenye compound yenye nyumba mbili, ila nyumba hii inajitegemea kila kitu - Umeme, na Maji. Pia kuna heater za maji ya moto. Hakuna udalali. Kodi 350,000/= (napokea ya miezi minne, tano au sita), kama unalipa ya miezi 8...
  4. D

    Nauza godoro qfl dodoma 140k LC 5×6

    Habari ndugu zangu kuna godoro naliuza qfl dodoma size: LC 5×6 bei 140K( negotiable) nipo dar es salaam. Karibuni sana
  5. Bunge la 12 Mkutano wa 15 Kikao cha 51, Juni 21, 2024 Asubuhi

    https://www.youtube.com/watch?v=01RbKSNp7oE https://www.youtube.com/watch?v=ntozLL3q2hc
  6. Uporwaji wa ardhi utaisha lini dodoma? Naumia sana raisi samia alione hili

    Samahani . Poleni na kazi Waheshimiwa Natumaini mkheri wa afya Naomba msaada wako kwa kunisaidia mawasiliano ya simu ya viongozi hawa, 1.Waziri wa Ardhi wa Tanzania wa sasa Mheshimiwa Jerry Silapha. 2.Mheshimiwa .Poul Makonda Mi nilikuwa naomba msaada wenu kwenye jambo hili ili kisiharibike...
  7. Dkt. Kahyoza: Magufuli alifanya makosa makubwa kuhamishia Serikali Dodoma, gharama zimekuwa mara mbili

    Mtaalamu wa masuala ya Uchumi, Dr. Bravious Kahyoza amesema uamuzi wa Serikali kuhamia Dodoma ulikuwa ni kosa kubwa kwasababu umeongeza gharama zaidi za uendeshaji ikiwemo kutumia vibaya fedha za Walipa Kodi. Ametolea mfano Safari za Viongozi na Watumishi ambao mara kwa mara wanaenda Dar au...
  8. Bilioni 12 Kutumika Kukijanisha Jiji la Dodoma

    Serikali imesema kiasi cha shilingi Bilioni 12 kitatumika katika utekelezaji wa mradi wa kukijanisha jjiji la Dodoma ikiwemo kupanda miti na maua katika hifadhi za Barabara ili kutunza mazingira na kupendezesha mandhari ya jiji hilo. Hayo yameelezwa na Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa Juni...
  9. KERO Waziri Jerry Silaa tusaidie Wakazi wa Kata ya Ipala (Dodoma) hatujui mwelekeo wa ardhi yetu

    Uongozi wa Dodoma Jiji unadai eneo hilo tunaloishi wakazi wa Kata ya Ipala Jijini Dodoma ni mali ya Serikali, wanataka kutuhamisha kwa njia ambayo tunaona siyo sahihi. Wakati wakitaka kutuhamisha tuliomba zuio na vielelezo vinavyoonesha kwamba ni eneo la Serikali lakini hawatupi, zaidi wamekuwa...
  10. Mwenyekiti Kawaida ahimiza Uzalendo, Umoja na Mshikamano kwa Wasomi Mkoani Dodoma

    🗒️ 08 June 2024 📍UVCCM HQ Mwenyekiti wa Jumuiya ya umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Taifa Komredi Mohammed Ali kawaida (MCC) amehimiza Uzalendo, Upendo, Umoja, na mshikamano, Miongoni mwa wasomi na kujitoa katika kutekeleza Majukumu yao na ya kukijenga Chama Cha Mapinduzi, Jumuiya zake...
  11. N

    Je, Unauza nini ndani ya Jiji la Dodoma na unahitaji wateja?!

    Ukiwa unauza Kiwanja, Nyumba, Gari ama pikipiki n.k ndani ya Jiji la Dodoma Basi usisite kunitafuta ili tutafute wateja kama una bidhaa pia nitumie kwenye namba hizi CALL AND WASAP 0785076070 HATA KAMA UNA BIASHARA INAHITAJI WATEJA USISITE KUNITAFUTA. AHSANTE I 🤝
  12. A

    KERO Bora Waziri Slaa alivyotia kufuli Masjala ya Jiji Dodoma, Ofisi ya Jiji Ardhi imejaa genge la waporaji na wanaibia Watu maskini

    Nilishukuru sana Waziri Slaa alivyotia kufuli Masjala ya Jiji..Ofisi ya Jiji Ardhi imejaa genge la waporaji na wanaibia Watu maskini hawana kitu. Hii dhambi naomba Mungu ifike kwenye Mahakama ya Mbinguni ili Mungu ainue Watu Duniani watutetee. Pia soma ~ Agizo la Waziri Silaa la kuhamishia...
  13. Agizo la Waziri Silaa la kuhamishia Huduma za Ardhi ofisini kwake laanza kutekelezwa Dodoma

    Mamia ya wananchi wamemiminika katika viwanja vya Ofisi za Halmashauri ya jiji la Dodoma kutatua madhila ya ardhi yanayowakabili ili watumie ardhi na muda wao kwa shughuli za kiuchumi kujiletea maendeleo. Akizungumzia zoezi hilo linaloendelea jijini Dodoma, Katherine Mwimbe Mwekezaji na...
  14. F

    Kama uko Dodoma niuzie PC yako inisadie kwenye shughuli zangu

    Nina uhitaji na PC kama uko Dom una PC umeichoka ila ni nzima na nzuri niuzie kwa bei ya kitanzania ya kulia lia nami inisogeze kwenye mambo yangu Fanya kama unanisaidia
  15. A

    KERO Wafanyakazi wa SGR (Lot 3,4,5,6) tumerudishwa nyumbani na hawajaingiza michango ya NSSF kwa Miezi 14

    Sisi wafanyakazi wa SGR kwa sasa tupo nyumbani tukiwa hatujui hatima yetu juu ya kinachoendelea kuhusu project hiyo hasa kuanzia Lot 3 na 4. Ipo hivi, Lot 3 na 4 kwa sasa zimesimama, wafanyakazi tuliokuwa katika mradi huo kwa sasa tupo tu nyumbani, awali tuliambiwa tukae nyumbani hadi...
  16. Wadau samahani naomba kujua Njia ya kusafirisha Honda kutoka Dar es Salaam kuja Dodoma

  17. SoC04 Mambo ya kuboresha katika Jiji la Dodoma ili kuleta taswira ya makao makuu ya nchi

    UTANGULIZI. Dodoma ulitangazwa kuwa mji mkuu wa Tanzania na mwasisi wa taifa hili mwalimu JK Nyerere mwaka 1973 na Rais JP Magufuli alitoa amri ya serikali kuhamia Dodoma mwezi Julai 2016 wakati alipopewa wadhifa wa mwenyekiti wa chama tawala, Chama Cha Mapinduzi/CCM. Rais John Pombe Joseph...
  18. Naibu Waziri Mkuu Biteko Apongeza Mikakati ya Kuinua Elimu Dodoma Jiji

    NAIBU WAZIRI MKUU BITEKO APONGEZA MIKAKATI YA KUINUA ELIMU DODOMA JIJI - Ampongeza Mbunge Mavunde kwa ubunifu wa Teachers’ Breakfast Meeting - Mbunge Mavunde agawa photocopiers kwa ajili ya uchapishaji wa mitihani - Prof. Mkenda aanika mikakati ya serikali kwenye Elimu - RC Senyamule aeleza...
  19. Waziri wa Ujenzi, Innocent L. Bashungwa (Mb) akiwasili katika Viwanja vya Bunge jijini Dodoma,

    Waziri wa Ujenzi, Innocent L. Bashungwa (Mb) akiwasili katika Viwanja vya Bunge jijini Dodoma, ambapo atawasilisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Ujenzi kwa Mwaka wa Fedha 2024/25, Leo tarehe 29 Mei 2024.
  20. Waziri wa Ardhi aifunga Ofisi ya Idara ya Ardhi ya Halmashauri ya Jiji la Dodoma

    Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Jerry Silaa ameifunga ofisi ya Idara ya Ardhi ya Halmashauri ya Jiji la Dodoma na kuamuru Watumishi wa Idara hiyo kuhamia kwenye Ofisi za Kamishna wa Ardhi Mkoa. Hatua hiyo inafuatia kukithiri kwa migogoro ya ardhi katika jiji hilo linalotajwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…