dodoma

  1. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Madiwani wapendekeza jimbo la Dodoma mjini ligawanywe

    Halmashauri ya Jiji la Dodoma imejipanga kutoa huduma kwa wananchi wote kwa kuzingatia mgawanyo wa Jimbo la Dodoma Mjini wenye mapendekezo ya kuligawa jimbo hilo kuwa Jimbo la Mtumba lenye kata 20 na Jimbo la Dodoma Mjini lenye kata 21. Kauli hiyo imetolewa na Mkurugenzi wa Jiji la Dodoma Dkt...
  2. JamiiForums Tanzania Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira yazindua programu upandaji wa miti Dodoma

    Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Khamis Hamza Khamis ametoa wito kwa jamii kuendelea na jitihada za utunzaji wa mazingira kwa kupanda miti ili kuhakikisha idadi ya miti inaongezeka na kutengeneza misitu itakayosaidia kutunza afya ya udongo na kuwa chanzo cha...
  3. JamiiForums Tanzania Matukio mbalimbali katika Mkutano Mkuu wa 39 wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT) uliofanyika kwenye ukumbi wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma

    Matukio mbalimbali katika Mkutano Mkuu wa 39 wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT) uliofanyika kwenye ukumbi wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma tarehe 11 Machi, 2025.
  4. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Nimetoa mikeka mingi ya mabadiliko, natafuta watakaosimama na Serikali

    Rais Samia akifungua Mkutano Mkuu wa 39 wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT) wa 39 Ukumbi wa Jakaya Kikwete -Dodoma Machi 11, 2025. https://www.youtube.com/live/InZNLiUNiCU?si=g75Xu8EoJy6IoBRc Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema katika kutafuta ufanisi wa utendaji kazi...
  5. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Antony Mavunde agawa kompyuta kwa shule za serikali Dodoma

    Mbunge wa Jimbo la Dodoma mjini na Waziri wa Madini Mhe. Anthony Peter Mavunde amegawa vifaa vya tehama vikiwemo kompyuta, printer Kwa shule zote za Serikali za jiji La Dodoma. Sanjali na hayo, Mhe. Mavunde amegawa compyuta 41 kwa ofisi zote za kata katika jiji La Dodoma Pamoja na kuzindua...
  6. JamiiForums Tanzania PreGE2025 VIDEO: Ona Vikao vya CCM vinavyoendeshwa utapenda

    == Mwenyekiti wa CCM Taifa, Ndg. Samia Suluhu Hassan akiongoza kikao cha Kamati kuu pamoja na Halmashauri kuu ya CCM , Jijini Dodoma.
  7. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu akutana na Dr Mpoki aliyeogonza jopo la madaktari Dodoma Hospital kuokoa maisha yake 2017; Dr Mpoki amwaga chozi kumuona jamaa anadunda.

    Hapa anaandika Tundu Lissu mwenyewe kwenye ukurasa wake wa X/Twitter👇🏻👇🏻 ".....It's taken seven years and six months and the passing of a great Tanzanian for me to meet the man who led the team of doctors who saved my life on 7 Sept. 2017. Dr. (now Prof.) Ulisubisya Mpoki, then Permanent...
  8. JamiiForums Tanzania TFF yavifungia Viwanja vya Jamhuri (Dodoma), CCM Kirumba (Mwanza) na Liti (Singida)

    Nimekutana na hii barua kutoka kwa Kaka yangu Cliford Ndimbo kuwa imevifungia viwanja vya Jamhuri, Kirumba, pamoja na Liti kwa kukosa vigezo vya ubora wa kuchezesha michezo ya ligi kuu. Ni suala zuri na bora kutoa taarifa kwa umma kuwa kuna viwanja ambavyo vimekosa vigezo muhimu kikanuni ila...
  9. JamiiForums Tanzania Iphone 7 plain inauzwa

    Iphone 7 plain yenye storage ya 32GB battery health ya 100% iko in excellent conditions pia..bei ni 180k fixed! na napatikana Dodoma mjini, kwa mawasiliano zaidi 0653963998, karibuni sana
  10. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 DODOMA: Rais Samia kuongoza Vikao vya Kamati Kuu na Halmashauri Kuu ya CCM

    Katika taarifa yake kwa Umma Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CPA Amos Makalla ameliambia Taifa kuwa CCM itafanya Vikao vya Kamati Kuu na Halmashauri Kuu Jijiji Dodoma na Vikao vyote hivi vitaongozwa na Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzània Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan. ===
  11. JamiiForums Tanzania RC Dodoma: Wananchi tunzeni chakula, msitumie nafaka kutengeneza pombe kuna ukame

    Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Rossmery Senyamule amewataka wananchi wa Mkoa wa Dodoma kuhakikisha wanatunza chakula na wasitumie nafaka kwa ajili ya kutengenezea pombe kutokana na hali ya ukame inayoendelea nchini. RC Senyamule ametoa maagizo hayo hapa Jijini Dodoma wakati akihitimisha kikao cha...
  12. JamiiForums Tanzania Wakuu wapi nitapata futari nzuri Dodoma?

    Wanabodi wapi nitapata futari nzuri Dodoma? Watu wanapika vyakula vya hovyo na mabei makubwa. Mwaka jana kuna sehemu nilikuwa ninapata iftar karibu na Fire hapo Makole na walikuwa wana best Iftar. Mwaka huu nimekwenda hapo kama mara tatu and I am not impressed ! Wamepandisha bei na yet...
  13. JamiiForums Tanzania RC Senyamule: Kinachoninyima usingizi ni uchumi wa Wananchi wa Dodoma

    Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule, amewataka Wataalam wanaoshughulika na usimamizi wa miradi ya maendeleo hususan miundombinu ya barabara, kuhakikisha inakidhi vipaumbele vya Mkoa wa Dodoma hasa katika kuinua uchumi wa wananchi wa Mkoa huu. Hayo yamebainishwa wakati wa kikao cha...
  14. JamiiForums Tanzania Hii barabara ya Mpunguzi iliyopo Dodoma ina viraka vingi, iwekwe sawa kupunguza athari za majanga

    Dodoma: Hii ni barabara ya Mpunguzi iliyopo jijini Dodoma ni barabara ambayo yanapita magari kuelekea mikoa ya Iringa, Njombe, Mbeya na mikoa mingine. Ukipita kwenye barabara hii utakutana na vishimo vingi ambayo vinaweza kusababisha madhara ikiwemo kuharibu magari na kusababisha ajali...
  15. JamiiForums Tanzania PreGE2025 UVCCM Dodoma: No reforms No election ni kuingilia kazi ya tume

    Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) mkoa wa Dodoma, Abdulhabib Mwanyemba amesema baadhi ya viongozi wa vyama vya upinzani ambao wamekuwa wakijinasibu na kudai ‘No Reform, No Election’ ni waongo, akidai kuwa hufanya vikao vya siri vya kuwaandaa watu kugombea nafasi...
  16. G

    JamiiForums Tanzania Nauza kuku wa kienyeji kwa bei nzuri kabsa 14000 napatikana Dodoma

    Nauza kuku wa kienyeji kwa 14000 niko dodoma kwa oda tuwasiliane 0613929286 karibuni sana.
  17. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Shamira Mshangama atoa mchango wa tofali na saruji kwa ujenzi wa nyumba ya Katibu wa UVCCM Dodoma

    Mjumbe wa Baraza kuu UVCCM Viti vitatu Bara Ndg. Shamira Mshangama katika ziara yake ya Mkoani Dodoma ametembelea na kukagua ujenzi wa nyumba ya Katibu na kuchangia tofali 500 na mifuko 10 ya simenti kwa Mwanyemba kwenye ujenzi wa nyumba hio ya katibu wa UVCCM mkoa wa Dodoma ambayo iko katika...
  18. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kongwa, Dodoma: TASAF yakabidhi nyumba za walimushule ya sekondari Chitego

    Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) wameshukuru Serikali kwa kuendelea kutoa fedha kwa ajili ya miradi mbalimbal inayotekelezwa na TASAF nchini. Salimu Mshana, Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa TASAF ametoa kauli hiyo wakati wa hafla ya kukabidhi nyumba za walimu (familia nne) wa shule ya Sekondari...
  19. N

    JamiiForums Tanzania Sikutegemea kuona maji shida kiasi hiki dodoma makao makuu!

    Habari wakuu! Yaani kuna vyitu vingine vinatafakarisha sana! Dodoma ni makao makuu ya nchi lakini mpaka leo maji ni shida yaani ni mgao na siku za mgao huo maji yanatoka kwa matone jamani sehemu zingine ndo kabisa hayatoki! Nafikiri kama taifa hatuko serious! Hizo hela za magoli tuzielekeze...
  20. JamiiForums Tanzania Mamlaka zinazohusika ziangalie Mbwa wanaozagaa Mitaani bila uangalizi maalum, wanaweza kuwahatarishi kwa Watu

    Imekuwa kawaida kuona wanyama mbalimbali hasa wale ambao wanaonekana hawana madhara ya mara kwa mara kwa Watu wakiwa mitaani hawana muelekeo, lakini inapotokea Wanyama hao wanaanza kusababisha madhara ndipo ambapo Mamlaka zinaibuka kuanza kuchukua hatua. Mfano huku mitaa ya kwetu huku Dodoma...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…