dodoma

  1. JamiiForums Tanzania Nina mashaka makubwa na Ubora wa Barabara zinazojengwa Dodoma na Tanzania kwa Ujumla. Kuna harufu kubwa ya Rushwa na Kutojali

    Kwa mujibu wa Ma engineer wazuri wa ujenzi wa barabara duniani, barabara bora yenye viwango vya uhakika inayoweza kudumu kwa muda mrefu inapaswa kujengwa kwa viwango hivi; Kinachonipa hofu ni namna ujenzi wa barabara zetu nchi nzima unavyofanyika. Nyingi hazijengwi kwa ubora huu na ndo mana...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa SGR Mwanza to Dodoma uliishia wapi?

    Hivi ujenzi wa SGR MWANZA TO DODOMA uliishia wapi maana Kimya kimekuwa kingi hatusikii majigambo ya miradi yote inaendelea. Pia soma ~ Serikali yaanza kulipa Tsh. 3.66 Bilioni kwa wananchi 2,471 wa mikoa ya Simiyu, Mwanza, Shinyanga na Tabora wanaopisha SGR
  3. JamiiForums Tanzania Maaskofu 500 wa Kanisa la Ufufuo na Uzima watinga Mahakamani kufuatilia kesi ya Kanisa kufungiwa

    Mawakili wa Kanisa la Glory of Christ Tanzania, Peter Kibatala na Gloria Ulomi wakiwa katika Mahakama Kuu Kanda ya Dodoma kwenye kesi ya kupinga kufutwa kwa kanisa hilo. Wengine ni viongozi wa dini mbalimbali wakiwemo wa kanisa hilo waliofika kusikiliza shauri hilo. Msajili wa Jumuiya za...
  4. JamiiForums Tanzania No reforms no election ya Dodoma ilikuwa ni Tishio kubwa sana kwa Mamlaka

    GT Aisee nimepitia twiter kuangalia ile nyomi ya dodoma yaani makao makuu ya nchi na bunge, kwa kweli sijshangaa chadema kupigwa stop, watu waliitwa wakaitika hakuna mfano. Ukweli usemwe tu kwa sasa watanzania kuna kitu wanahitaji ambacho CCM hawana, ni suala la mda tu hizi sarakasi za CCM...
  5. JamiiForums Tanzania Mavunde Azindua SACCOS ya Waendesha Pikipiki na Bajaji Dodoma

    MAVUNDE AZINDUA SACCOS YA WAENDESHA PIKIPIKI NA BAJAJ DODOMA. ▪️Atoa rai SACCOS kuwainua Vijana kupitia mkopo wa Asilimia 10 ▪️Ataka Vijana wamiliki vyombo vyao vya usafiri ▪️Wampongeza Rais Samia kwa ujenzi wa ofisi ya Waendesha Pikipiki na Bajaj Dodoma(UMAPIDO) Dodoma Mbunge wa Jimbo la...
  6. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Trafick Police wa Dodoma ‘wanatusuuza’ sana tena live kwenye magari

    Wanatufanya hamna yani hujampa hela ya kiwi (2000) anakuweka mkeka bila kujali kama unalisha familia kwa kuwa barabarani #dereva wa daladala
  7. M

    JamiiForums Tanzania Best CPA tuition providers in Dodoma

    Habari zenu wapendwa, Naomba kujua center gani ni nzuri kwa ajili ya CPA review classes kwa Dodoma?
  8. JamiiForums Tanzania Bunge la 12 Mkutano wa 19 Kikao cha 42 Juni 9, 2025 Dodoma

    Bunge la 12 Mkutano wa 19 Kikao cha 42 Juni 9, 2025 Dodoma https://www.youtube.com/watch?v=b-yeX29iuJg
  9. JamiiForums Tanzania Kwa kauli hii Dodoma hakuna ujenzi wa kiwanja kipya cha AFCON

    Arusha, tumeona maendeleo, Benjani tumeona maboresho, Dom mbona hata ramani hatuoni?
  10. JamiiForums Tanzania Gwajima aendelea kukiona cha mtema kuni: Kesi ya Gwajima kupinga kanisa lake kufutwa yatupiliwa mbali na Mahalama Kuu

    erikali inasema haijafuta* Kanisa la Gwajima - hakuna maamuzi ya kufuta Kanisa la Gwajima linaloenda kwa jina la Glory of Christ TANZANIA Church. Na wala Barua ya kufuta haijawahi kupelekwa kwenye Kanisa hilo. Kwamba, kinachoonekana kufutwa kwenye ile Barua ya Msajili wa Jumuiya, ni Kanisa...
  11. JamiiForums Tanzania INAUZWA Nipo Dodoma, nauza mbao bei nafuu sana

    Mpo salama wadau wa Dodoma? Nimeshusha mzigo wa mbao (Futi 12) pale karibu na uwanja wa Jamhuri. Bei zangu ni rafiki na mbao ni nzuri/bora sana; 2x2 - 2,500 2x3 - 3,700 2x4 - 4,700 2x6 - 7,000 1x4 - 2,500 1x6 - 4,500 1x8 - 7,500 1x10 - 14,000 Mafundi ujenzi, fanicha na wateja wengine karibuni...
  12. JamiiForums Tanzania Nauza Mbao kwa bei rahisi ndani ya Dodoma

    Mpo salama wadau wa Dodoma? Nimeshusha mzigo wa mbao (Futi 12) pale karibu na uwanja wa Jamhuri. Bei zangu ni rafiki na mbao ni nzuri/bora sana; 2x2 - 2,500 2x3 - 3,700 2x4 - 4,700 2x6 - 7,000 1x4 - 2,500 1x6 - 4,500 1x8 - 7,500 1x10 - 14,000 Mafundi ujenzi, fanicha na wateja wengine karibuni...
  13. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dodoma kumekucha, CHADEMA yatikisa ngome ya CCM. Mamia wamsindikiza John Heche wakiimba 'CCM wauaji'

    Dodoma imetikisika, ndivyo unavyoweza kusema. No reforms, no election inazidi kuchanja mbuga ambapo CHADEMA wamefanya mkutano wao jijini humo na kuhudhuriwa na Makumi ya Maelfu ya watu. Baada ya mkutano huo, wapenzi wa chama hicho wamemsindikiza Makamu Mwenyekiti wao, John Heche huku wakiimba...
  14. JamiiForums Tanzania Ushauri wa bure: Kwa niliyoyaona leo Dodoma na yanayoendelea Mitandaoni, Kama wewe ni Fisadi wa CCM fanya haya haraka sana

    Jiji la Dodoma leo limenishangaza hakika. Sijawahi ona watu wanaoipenda Chadema kama watu wa Dodoma. Mwanzo nilidhani Mwanza na Kanda ya Ziwa, Kuna wakati nilidhani Kanda ya Nyasa na Kanda ya Kaskazini. Ila kwa hakika leo naweza kusema, Dodoma ni ngome mpya ya Chadema. Hata Tone Tone ya leo...
  15. N

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA yaiteka Dodoma. Heche na makamanda wengine ni kivutio kwa Mtanzania

    Chadema imezidi kuchanja mbuga kwa speed ya ajabu. Hili balaa la leo ni dalili kubwa October itakuwa ngumu sana, watawala amueni hatma ya nchi kwa kuweka mazingira sawa ya uchaguzi.
  16. JamiiForums Tanzania Je, kati ya Dar, Arusha, Mwanza, Moro, & Dodoma, ni wapi kunamfaa kuishi mtu wa maisha ya chini na kati?

    Wazoefu wa mikoa ifuatayo.... Je, kati ya mikoa ifuatayo ni wapi kunamfaa kuishi mtu wa maisha ya chini na kati? (A) DAR ES SALAAM (B) ARUSHA (C) MWANZA (D) MOROGORO (E) DODOMA USIACHE KUTOA/KUELEZA NA SABABU. Right Marker Dar es salaam
  17. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ally Hapi: Miaka mitano ijayo tutajenga treni za mijini Dar na Dodoma

    Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ally Hapi amesema katika kipindi cha miaka mitano ijayo chama hicho kimedhamiria kujenga treni katikati ya miji kwa mikoa ya Dar es Salaam na Dodoma, ili kukabiliana na foleni za magari. "Naomba nichombeze, tumejenga SGR Dar es...
  18. JamiiForums Tanzania Mwenye connection ya kazi halali yoyote anisaidie nipo

    Habari wanaJamiiForums Naomba mtu yeyote mwenye mchongo wa kazi anisaidie. Kitaaluma Mimi ni mwalimu ila Nina fani mbalimbali ninazoziweza tofauti na uwalimu kama vile. -Ujenzi -Computer -kusimamia biashara/mradi Hivyo mtu yeyote mwenye mchongo anisaidie nipo Dodoma Contact * Mob...
  19. U

    JamiiForums Tanzania Mwana CCM na mkewe akitoka kwenye mkutano wa halmashauri kuu yao apata ajali na kufariki hapohapo eneo la mji wa Mitumba - Dodoma

    Bila shaka alikuwa mmoja wa wajumbe wa mkutano wa Halmshauri kuu ya CCM ambako mwenyekiti wao Bi Chura Kiziwi alitoa kauli tata kuhusu Gwajima na blindly polisi wakiwa - facilitate "wasiojulikana" wameanza kufanya vitu vyao Wameanza kufyatuka mmoja mmoja. Kama una mfahamu, wajulishe ndugu zake...
  20. P

    JamiiForums Tanzania Natafuta mchora aliye Dodoma

    Wasalaam. Natafuta mchora ramani aliye Dodoma nina eneo la square meters 197 ambapo nataka nijenge frem za kisasa. Kwa mpango wangu nataka chini zikae nne na juu zikae nne. Mchora ramani mzoefu na mbunifu aliye Dodoma anicheki.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…