dodoma

  1. JamiiForums Tanzania GE2025 Mwenyekiti UVCCM Dodoma ajitosa kuwania ubunge Dodoma Mjini

    Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Dodoma, Abdulhabib Mwanyemba, leo Jumamosi, Juni 28, 2025, amechukua fomu kuomba ridhaa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwania ubunge wa Jimbo la Dodoma Mjini katika uchaguzi mkuu ujao. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila...
  2. JamiiForums Tanzania GE2025 Mshauri wa Rais, Dkt. Fabian Madele achukua fomu Dodoma Mjini

    Mshauri wa Rais, Dkt. Fabian Madele amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kuteuliwa na Chama cha Mapinduzi (CCM) kugombea jimbo la Dodoma Mjini. Leo chama hicho kimefungua pazia kwa makada wake kuchukua fomu za kuomba ridhaa ya kuteuliwa kuwania Ubunge na Udiwani.
  3. JamiiForums Tanzania Naomba kujua utaratibu wa safari ya treni ya umeme kutoka Dar kwenda Dodoma?

    Wakuu, nataka kwenda Dodoma kwa treni ya umeme. Aliewahi kutumia usafiri huu atujulishe utaratibu tafadhali. Dodoma nitakaa siku moja then nitapita " Singida" Kisha Igunga, ikifuatiwa na Tabora mjini " Chuo cha Uhazili" Then Mwanza jiji Rock City ambako nitakaa kama wiki moja hivi Insha'Allah...
  4. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia akihutubia na Kuhitimisha Shughuli za Bunge la 12, Dodoma July 27, 2025

    Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuhutubia na kufunga Bunge la 12 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Tukio hilo litafanyika leo Juni 27, 2025 bungeni jijini Dodoma ambapo baada ya kufunga Bunge hilo hatua hiyo itaruhusu kuanza kwa mchakato wa Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani...
  5. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Mavunde akabidhi Jengo la kupumzika Wananchi Hospitali ya Rufaa ya Dodoma

    MBUNGE MAVUNDE AKABIDHI JENGO LA KUPUMZIKIA WANANCHI HOSPITAL YA RUFAA YA DODOMA ▪️RC Senyamule ampongeza kwa jengo na uanzishwaji wa ujenzi wa uzio ▪️Rais Samia apongezwa kwa maboresho makubwa ya huduma ya Afya ▪️Wananchi wamshukuru Mbunge Mavunde kwa utatuzi wa changamoto ya muda mrefu...
  6. JamiiForums Tanzania NAFASI ZA KAZI - MARKETING ( MOROGORO & DODOMA )

    FREELANCERS Uwe mkazi wa Morogoro au Dodoma. Umri miaka 20 - 30. Elimu kidato cha nne - kuendelea. Kazi - kutafuta masoko ( wateja wa huduma zetu ) Kazi zetu ni Installation & supplying - Security systems, Tv systems, Domestic electrical n Other IT solutions. Malipo ni kwa kazi, kuanzia 30,000...
  7. JamiiForums Tanzania Hii Nyumba nimeijenga Dodoma nzuguni Juni 2025, fatilia ujue gharama tulizotumia

    nyumba ina vyumba 3 vya kulala chumba kimoja master vyumba 2 vya kawaida seble dinning jiko store public toilet nyumba ina mita 11 kwa 9.5 ukitaka tukujengee nichek 0743257669
  8. JamiiForums Tanzania Mkurugenzi Mpya TRC- Anza na kuondoa ujinga wa Stesheni ya Dodoma kujaza watu kama wanyama sehemu ya kupandia abiria

    Nakumbuka Mkuu wa mkoa na waziri Mchengerwa alishawahi kulalamika uzembe wa kupangilia abiria sehemu ya kusubiri kuingia kwenye treni ya SGR Inaonekana meneja wa SGR dodoma ana kiburi au uwezo mdogo Treni imeshakaa.mkao wa.kuondoka, bado abiria wanazuiwa kuingia mpaka zinabaki dk 10 ndio...
  9. JamiiForums Tanzania FT: Young African SC 5 - 0 Dodoma Jiji FC//NBC PL// Amaan 🏟️ Zanzibar//22.06.2025

    Karibu kwenye hekaheka za NBC PL za mwisho wa msimu. Leo katika uwanja wa new Amaan complex mabingwa watetezi wa league ya NBC young African SC watakuwa wenyeji wa walima zabibu kutoka mkoani Dodoma, Dodoma Jiji kuzisaka Alama tatu muhimu ili kuendelea kutia mkazo wa kuwania kombe la ligi kuu...
  10. JamiiForums Tanzania Mashindano makubwa ya drafti kufanyika Dodoma. Hii ndio listi

    Siku ya Tarehe 25/6/2025 kutakua na ligi kubwa itakayofanyika DODOMA ligi hiyo itawakutanisha mafundi wa drafti kutoka sehemu tofauti tofauti hapa nchini ZAWADI KWA WASHINDI 👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻 Mshindi wa kwanza Tsh laki nne Mshindi wa pili Tsh Laki mbili na nusu Mshindi wa...
  11. P

    JamiiForums Tanzania TFF,bodi ya ligi na TAKUKURU kesho kuweni makini na upangaji matokeo uwanja wa jamhuri Dodoma

    Kuna Kila dalili ya upangaji matokeo uwanja wa jamhuri Dodoma lengo likiwa kumwezesha mzize kufunga magoli 4. Ukweli ni kwamba yanga wanaumia sana kuona tuzo za kipa Bora na mfungaji Bora zikienda upande tofauti hivyo wamejipanga hapo kesho mzize afunge goli 4+. Msemaji wa Dodoma Jiji...
  12. JamiiForums Tanzania Dodoma wanawake wamejazia kiunoni kushuka chini na hamkuwahi kusema!!!

    Guys nipo Dodoma kwa muda, sasa jana nikapata wasaa wa kutembea tembea mitaani nijionee mji/jiji, basi nikawa napita chocho kwa chocho, mtaa kwa mtaa kila mwanamke ninayemuona kajazia makalio na miguu, nikadhani labda hawa vijana wamevaa vigodoro nikaanza kuwaangalia wanawake watu wazima hao...
  13. JamiiForums Tanzania Kuna Hii Ajari Imetokea Ila Kuna Ukimya, Gari ya Nani Hii?

  14. JamiiForums Tanzania Nyumba inauzwa Dodoma

    NYUMBA INAUZWA IPO DODOMA MNADA MPYA KARIBU NA ZAHANATI 🏞Kiwanja 450 sqm vyumba 3 (1master) ▶Sebule ▶Jiko ▶Dininig ▶Store ▶Public toilet 💸💸💸Bei=50M 🇹🇿Call/WhatsApp +255758844717
  15. JamiiForums Tanzania Makao Makuu Gani Haya? Dodoma Usiku ni Kama Kijiji!

    Makao Makuu Gani Haya? Dodoma Usiku ni Kama Kijiji! 🏙️❌ Wakuu, nashindwa kuvumilia hili nisilitupie JF. Nilikwenda Dodoma hivi majuzi kwa ajili ya interview, nikasema acha nipange basi kwenda mapema – nifanye interview asubuhi, nimalize mambo yangu, then nitafute basi la kurudi usiku huo huo...
  16. JamiiForums Tanzania MOI yasogeza huduma za kibingwa na kibobezi Dodoma na Mikoa jirani

    Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) inashiriki wiki ya Utumishi wa Umma inayofanyika katika Kiwanja vya Chinangali Park, jijini Dodoma. Huduma zimeanza kutolewa leo Juni 16, 2025 katika kiwanja cha Chinangali Park, Dodoma ambapo Daktari Bingwa Mbobezi wa mifupa MOI, Dkt Tumaini...
  17. JamiiForums Tanzania Prof Sospeter Muhongo: LEO BUNGENI DODOMA (Mipango, Uwekezaji na Bajeti 2025/2026)

    Prof Sospeter Muhongo: LEO BUNGENI DODOMA (Mipango, Uwekezaji na Bajeti 2025/2026) Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini, Prof Sospeter Muhongo amechangia mengi yakiwemo: *Uwekezaji uongezeke kwenye Elimu na Taasisi zake (2-3% ya Pato la Taifa, GDP) *Uwekezaji uongezeke kwenye Utafiti na...
  18. JamiiForums Tanzania Brutal fruit Ina mzuka gani mbona wadada wanaishobokea sana hasa hapa dodoma

    Ni kinywaji kutoka south 🌍 basi ndoo imekuwa hbr ya mjini hapa jiji dodoma kwani bila kumunulia mwanamke hicho kinywaji unaweza kukuacha na kutafuta danga jipya mwenye uwezo thabiti na madhubuti. Bei yake iko 4500 hadi 4000 kwa liquar store Jana nililazimishwa kununua 7 ndio ikawa pona...
  19. JamiiForums Tanzania Mabegi kama haya nitapata wapi Dar, Mwanza, Arusha au Dodoma?!

    Asanteni
  20. L

    JamiiForums Tanzania Hii Ndio Picha Ya Siku iliyopatikana Mkoani Dodoma iliyovutia na kugusa hisia za Wengi katika Anga la Siasa za Tanzania

    Ndugu zangu Watanzania, Kila siku hukucha na mambo yake ,kila siku hutawaliwa na matukio yake ,kila jua lichomozapo huchomoza na mambo yake na kuzama na mambo yake. kila siku uchao kuna mambo huteka na kuwa makubwa kuliko siku yenyewe. Sasa katika siku ya leo kuna picha ya siku imepatikana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…