dodoma

  1. JamiiForums Tanzania Mji wa Dodoma haujaisha, Kigamboni pameishia njiani na hela za wastafu tumerukia chrome city

    Wajuzi wa hili jambo njooni mtufafanulie. Kwishaaaaaaa
  2. JamiiForums Tanzania DC Dodoma atembelea banda la MOI Nanenane, atoa wito ushirikiano katika Elimu ya Usalama Barabarani.

    Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Mhe. Alhaj. Jabir Shekimweri ametembelea banda la Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) katika Maonesho ya wakulima 'Nanenane' yanayoendelea katika viwanja vya Nzuguni Jijini Dodoma, ambapo ametoa wito kwa taasisi hiyo kushirikiana na taasisi nyingine na...
  3. JamiiForums Tanzania Safari yangu ya utafiti Dodoma, nakukaribisha tuijue Dodoma kwa undani

    Kupitia hapa nitaeleza kila kitu kuhusu Dodoma, picha linaanza kama fundi rangi nimekabidhiwa kufanya finishing jengo moja Chamwino Aiseee msiichukulie simple Dodoma uchawi upo, ni nyumba ya brother mmoja kutoka Mbeya (Ngoja nimpe jina, naomba tumuite brother Imma) Huyu Imma bwana kajenga...
  4. JamiiForums Tanzania GE2025 Ndugai apitishwa na wajumbe ubunge Jimbo la Kongwa Dodoma

    Spika wa zamani wa bunge la Tanzania job ndugai amepitishwa na wajumbe kuwa Mgombea ubunge CCM jimbo la Kongwa kuelekea uchaguzi mkuu utakaofanyika October 29, 2025
  5. JamiiForums Tanzania HR aliyepo Dodoma anahitajika

    Habari zenu Wakuu. Anahitajika HR aliyepo dodoma, mwenye uzoefu wa kufanya kazi Kiwandani. Tuma CV yako kwenye Email hrfbde@gmail.com
  6. JamiiForums Tanzania Banda la MOI laendelea kuwa Kivutio Maonesho ya Nanenane Dodoma

    Wananchi kutoka maeneo mbalimbali ya mkoa wa Dodoma na jirani wameendelea kujitokeza kwa wingi katika banda la Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) katika maonesho ya wakulima 'Nanenane' yanayoendelea katika viwanja vya Nzuguni, Jijini Dodoma. Katika banda hilo, wananchi wanapata...
  7. JamiiForums Tanzania HOUSE FOR SALE,LOCATED AT IN IYUMBU DODOMA TANZANIA,PRICE TSH 350M,

    A House to Call Home – For Sale! 📍 Location: Iyumbu , Dodoma 📐 Plot Size: 1,500 SQM 🏠 Structure: 5 Spacious Bedrooms Servant Quarters (Self-contained) Large Living Room Dining Area Kitchen + Store Study Room Garden & Ample Parking 💰 Goes Cheap! A rare opportunity for a serene home or...
  8. JamiiForums Tanzania NYUMBA INAUZWA,IPO IYUMBU DOODOMA,BEI NI MILLION 350,NYUMBA NI NZURI SANA NA IPO MTAA MZURI KABISA, 0758844717

    A House to Call Home – For Sale! 📍 Location: Iyumbu , Dodoma 📐 Plot Size: 1,500 SQM 🏠 Structure: 5 Spacious Bedrooms Servant Quarters (Self-contained) Large Living Room Dining Area Kitchen + Store Study Room Garden & Ample Parking 💰 Goes Cheap! A rare opportunity for a serene home or...
  9. JamiiForums Tanzania MOI yasogeza Huduma za Kibingwa na Kibobezi Maonesho ya Nanenane Dodoma

    Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) inaendelea kung’ara katika Maonesho ya Kitaifa ya Kilimo (Nanenane) yanayofanyika katika viwanja vya Nzuguni, jijini Dodoma kwa kutoa huduma za kibingwa na kibobezi kwa wananchi kutoka maeneo mbalimbali ya nchi. Katika banda lake, MOI inatoa...
  10. JamiiForums Tanzania Naomba kumjua Interior Designer wa Ikulu ya Dodoma. Tuambiwe pia alilipwa kiasi na walimtoa wapi kwa vigezo gani?

    Picha za Ikulu ya Nairobi, Kenya. Angalia mazingira, Angalia muonekano wa ndani, angalia mpangilio wa vitu Chini Picha za Ikulu ya Chamwino Dodoma Tanzania Angalia mazingira, angalia mipangilio ya ndani n.k. Ni kama tumepigwa vile No Reforms No Election ✊️ ✌️
  11. JamiiForums Tanzania Waziri wa Ardhi, Mtandao Dodoma ni tatizo kweli au urasimu?

    Ni wiki sasa nimeweka kambi Dodoma kufuatilia hati za viwanja vyangu pale kwa maafisa ardhi jiji, urasimu ni mwingi, wanataka pesa, nikiwa DSM kuna mtu nilisema afuatilia baada ya mimi kufanya application mtandaoni manake siku hizi kuna e-ardhi kila kitu unaupload mtandani, lakini nikaambiwa...
  12. JamiiForums Tanzania Nataka mke aliye serious wakuoa mimi ni mtumishi wa private sector nipo wilaya za Dodoma njoo inbox mchumba

    Nataka mke wa kuoa mm ni mwanaume wa miaka 40 nahitaji mwanamke yoyote ambaye yupo tayari na yupo serious kuoana au kuwa MARAFIKI aje inbox awe tayar kupima HIV nipo online karibu sana, nnapoishi kutoka mjini Dodoma mpaka nilipo ni elfu 5 karibu sana
  13. JamiiForums Tanzania Tangulia na dereva tukutane Dodoma

    Baadhi ya wateuliwa wa nafasi ya Ubunge leo kupitia ccm ni wana familia wa familia maarufu hapa Tanzania. Ni kama wanasubiria muda waende na madereva wao wa VX LC 300 kwenda kuapishwa Dodoma. Chama kina wenyewe na wenyewe hawana kelele huku mitandaoni. DJ naomba kibao cha “Kalayi boeing”...
  14. L

    JamiiForums Tanzania GE2025 Sasa mkutano wa kutangaza wagombea kufanyika saa Nne asubuhi ya Julai 29, 2025

    Ndugu zangu Watanzania, Poleni sana kwa kukesha mkiwa macho. Hongereni kwa kuendelea kuwa na imani na CCM, asanteni kwa kuendelea kutambua ya kuwa CCM ndiyo chama kilichobeba matumaini yenu, mstakabali wa maisha yenu, kesho ya watoto wenu, maisha ya wajukuu zenu, na uhai wa Taifa letu. Kwa...
  15. JamiiForums Tanzania Fursa ya Kiiuchumi kwa Tanzania Kutokana na Machafuko ya Ubaguzi Afrika Kusini nafasi ya Bandari ya Dar es Salaam na Reli ya SGR kuelekea Dodoma

    Katika miaka ya karibuni, nchi ya Afrika Kusini imekumbwa na matukio ya mara kwa mara ya ubaguzi wa wageni, hasa dhidi ya raia wa mataifa ya Afrika kama vile Zimbabwe, Malawi, DRC na Mozambique. Hali hii imesababisha: Wimbi la uhamaji wa watu kutoka Afrika Kusini, Kupungua kwa imani ya...
  16. JamiiForums Tanzania GE2025 CCM yafanya marekebisho ya Katiba yanayohusisha maamuzi ya Kamati Kuu uteuzi wa wagombea udiwani na ubunge

    Rais Samia na Mwenyekiti wa CCM akishiriki Mkutano Mkuu Maalum CCM kwa Njia ya Mtandao White house -Dodoma, leo tarehe 26 Julai, 2025 https://www.youtube.com/live/-Tu6zVGA9PU?si=2ByaTaVIA6m33xsQ Mwenyeiti wa chama cha mapinduzi (CCM) Rais Samia ameshafungua mkutano na sasa shughuli zimeanza...
  17. JamiiForums Tanzania GE2025 CCM mliotangulia Dodoma Rudini Makwenu, Hakuna Posho ya safari wala Per diem🤣🤣

    Kuna wale Wajumbe wa Mkutanao Mkuu wa CCM waliotangulia Dodoma kula bata eti wakisubiri Mkutano Mkuu. Warudi makwao tu. Wasitegemee kupata Posho ya safari wala Per diem. Imekula kwenu.🤣🤣🤣
  18. JamiiForums Tanzania Rais Samia anaongoza maadhimisho ya siku ya kumbukumbu ya mashujaa -Dodoma

    Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi leo katika maadhimisho ya Kitaifa ya Siku ya Mashujaa yanayofanyika kwenye Uwanja wa Mnara wa Mashujaa, Mji wa Serikali Mtumba jijini Dodoma. https://www.youtube.com/live/vvJ8gjVKhns?si=w7pu2HxrbmchZaTX Kila tarehe 25 Julai ya kila mwaka...
  19. JamiiForums Tanzania Asanteni Dodoma Marathon

    Dodoma marathon iliyounganika pamoja na festival ya kuchoma nyama, inaleta mabadiliko chanya sana kibiashara na kiuchumi kwa mkoa wa Dodoma, Je hii hawezi kuzunguka na mikoa mingine? Nimeona mpaka TRC imepandisha bei za Tickets kumaanisha kuna ongezeko la mapato. Washiriki wekeni likes hapo...
  20. JamiiForums Tanzania GE2025 Bilioni 36.596 za mradi wa sequip zilivyo inufaisha dodoma kwenye sekta ya elimu

    Mkoa wa Dodoma ni miongoni mwa maeneo ambayo yamepata fedha nyingi kupitia mradi wa kuimarisha ubora wa Elimu ya sekondari nchini SEQUIP ambapo umepokea zaidi ya Bilioni 36.596 Fedha hizo ambazo zimetolewa na serikali zimetumika kujenga shule mpya 41 za Sekondari ambazo miongoni mwake ni pamoja...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…