dodoma

  1. M

    JamiiForums Tanzania Nyerere Square Dodoma

    eneo hili ni mojawapo ya mipango bora kabisa ya iliyokuwa mamlaka ya uendelezaji mji. CDA. wali plan vizur sana miaka hio ya 1970s kwa kuweka bustan ya kupumzika. jembe mwamba alivokuja akapaboresha sana sambamba na kuhamishia makao makuu kwa hali ilivo sasa ni kama laiti pangetengewa hata 1% tu...
  2. JamiiForums Tanzania Dodoma Makao Makuu tunaenda na Samia 2025-2050

    Dodoma stand up. Njooni Convention hapa tule MEMA ya Chama. Karibuni wote
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ni nani alikuwa anahujumu serikali kuhamia Dodoma hadi Magufuli akazira?

    Kwa maelezo ya Polepole ni kwamba mpango wa kuhamishia serikali Dodoma ilikuwa ni vita kamili na kuna vigogo walihujumu mpango huo makusudi kabisa hadi Hayati Magufuli akazira na kuamua kuhamia hivyo hivyo kwenye kijumba kidogo Dodoma. Hili la vigogo kuhujumu mipango yenye masilahi mapana kwa...
  4. JamiiForums Tanzania Magufuli hakuwa mkamilifu lakini sasa naanza elewa kuwa kuna hujuma nyingi zilifanywa dhidi yake

    Moja ya sababu kubwa iliyomfanya Magufuli asikae Magogoni ilikuwa ni nguvu za giza ambazo ziliachwa mle. Polepole amesema hawa jamaa wanakushambulia kwa mbinu zote ikiwemo hizo za giza. Na akasema ilibidi Magufuli ahamie Dodoma kabla Ikulu haijakamilika ili akae apate utulivu wa nafsi na...
  5. JamiiForums Tanzania GE2025 Dodoma: Mahakama Kuu yaipa Serikali Siku Tano Kujibu Kesi ya ACT Wazalendo Dhidi ya INEC

    Mahakama Kuu ya Tanzania, Masijala Kuu Dodoma, imetoa muda wa siku tano kwa Serikali kujibu kesi iliyofunguliwa na chama cha ACT Wazalendo na mwanachama wake, Luhaga Joelson Mpina, dhidi ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) na Mwanasheria Mkuu wa Serikali. Katika kesi hiyo, ACT Wazalendo na...
  6. JamiiForums Tanzania Mnaofanya kazi dodoma mna famliaa dar mnaishjje???

    BINAFSI HALI SIO NZURI KUNA WATU WANATESEKA SANA NA FAMILIA M ZIPO NDOA NYINGI SANA ZIKO IC7 SABABU YA DISTANCE MUNGU TUSAIDIE
  7. JamiiForums Tanzania Rais Samia alivyowaapisha Viongozi wateule, Ikulu Chamwino, Dodoma, leo Agosti 26, 2025

    https://www.youtube.com/watch?v=b3GTpUdBkQs Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amewaapisha viongozi mbalimbali aliowateua hivi karibuni katika hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino, Mkoani Dodoma, tarehe 26 Agosti, 2025. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
  8. N

    JamiiForums Tanzania ‘Kila hatua MIXX’ yazinduliwa Dodoma

    KAMPUNI ya huduma za kifedha kwa njia ya simu, Mixx, imeendelea na mpango wake wa kusogeza karibu huduma za kifedha za kidigitali kwa kuzindua kampeni ya Kila Hatua Mixx jijini Dodoma. Hatua hiyo inalenga kuhakikisha wakazi wa Kanda ya Kati wanapata nafasi sawa ya kushiriki katika uchumi wa...
  9. JamiiForums Tanzania Sunset somehow in Dodoma

    What a view
  10. JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Dodoma leo 23 Agosti, 2025

    Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ndugu. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kilichofanyika mkoani Dodoma tarehe 23 Agosti, 2025.
  11. JamiiForums Tanzania Urasimu wa ofisi ya ardhi Dodoma Jiji na mikoa mingine.

    Binafsi ni mdau wa makazi yaliyopangwa na kupewa matumizi kulingana na mpango wa eneo husika. Kifupi uwa ninahisi kero kupita sehemu ambazo zina ujenzi holela, kwa mantiki hiyo nimekuwa nashawishika kununua maeneo yaliyopimwa. Nilifanikiwa kununua eneo Dodoma (mtumba) na kufanya malipo...
  12. JamiiForums Tanzania Mnaochimbiwa visima Dodoma mnapigwa sana. Ni ngumu sana visima vyenu kudumu miaka zaidi ya mitano!

    Wimbi la makampuni feki yake kuchimba visima jijini Dodoma (na mikoa mingine) limekua kwa kasi sana, kutokana na changamoto ya maji na kasi ya ukuaji wa mji. Sasa kushindana bei, wengi wao wasiowaaminifu wameanza uhuni na ujanja ujanja, ambao madhara yake hayataonekana ndani ya siku 2 au mwaka...
  13. JamiiForums Tanzania Kiwanda kinauzwa Kizota Dodoma. Anayehitaji tuwasiliane

    Kiwanda Kinauzwa Kiwanda kinauzwa kikiwa Kizota, Dodoma. Ukubwa wa kiwanja ni 3,770 sqm, eneo lipo sehemu nzuri na linatoa fursa mbalimbali za uwekezaji. Bei ni bilioni 2, na maongezi yapo kulingana na makubaliano. Kwa maelezo zaidi, tafadhali angalia picha zitakazofuata au tuma ujumbe mfupi...
  14. JamiiForums Tanzania Jengo linauzwa, mali ipo Dodoma kisasa, bei ni billion 1.2 pesa ya Tanzania

    #realestatetanzania GHOROFA LA KISHUA LINAUZWA. LOCATION: KISASA MUUNDO( 16 SELF CONTAINED ROOMS) AREA:1200 MSQ PRICE:1.2 BIL 🇹🇿Call/WhatsApp +255758844717
  15. JamiiForums Tanzania Nyumba inauzwa,ipo kisasa dodoma, bei ni billion 1.2 0758844717

    #realestatetanzania GHOROFA LA KISHUA LINAUZWA. LOCATION: KISASA MUUNDO( 16 SELF CONTAINED ROOMS) AREA:1200 MSQ PRICE:1.2 BIL 🇹🇿Call/WhatsApp +255758844717
  16. JamiiForums Tanzania Tanzania na Dodoma zote ni masikini

  17. JamiiForums Tanzania Mwenye connection ya kazi mkoani Dodoma

    Kwa majina naitwa Edgar nimehitimu mwaka huu diploma in procurement, naelewa elimu yangu ndogo na huku ground kugumu kwahyo nahitaji kazi yoyote niko tayari kufanya nipate pesa nikaendelee na kusoma bach.. Napatikana humu 0610816834
  18. JamiiForums Tanzania MOI yahudumia Wananchi 1,981 Maonesho ya Nanenane 2025 Dodoma

    Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) imehitimisha ushiriki wake katika Maonesho ya wakulima 'Nanenane 2025' jijini Dodoma kwa kutoa huduma kwa wananchi 1,981. Huduma zilizotolewa na MOI zilihusisha uchunguzi wa awali (Screening), ushauri wa kitaalamu kuhusu matatizo ya mifupa...
  19. JamiiForums Tanzania Mwili wa Yustino Nduga wafika nyumban kwake dodoma, kuagwa kesho bungen dodoma na kupelekwa kuzikwa kongwa

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Mwili wa aliyekuwa spika msatafu wa bunge la Tanzania umewasili leo nyumban kwake dodoma, huku vilio vikitawala zaidi Apumzike kwa aman =============== Vilio na simanzi, Mwili wa Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
  20. JamiiForums Tanzania GE2025 Dodoma wakimsubiri Rais Samia baada ya kuchukua fomu yakugombea Urais

    Wakazi wa Dodoma wako hapa wamekusanyika wakimsubiri Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan baada ya kuchukua fomu ya kugombea Urais kwa awamu nyingine.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…