Wakazi na Wananchi wa Mkoa wa Lindi wamejitokeza kwa wingi kwenye Uwanja wa Ilulu mkoani Lindi kwa ajili ya kumpokea Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ambaye amewasili mkoani humo kwa ajili ya kushiriki siku ya Ukimwi Duniani.
Kwa mujibu wa Wananchi wa Lindi waliokua wamevaa sare maalum...