Nimeelekeza kuondolewa kwa masharti yanayokwamisha utoaji wa mikopo ya asilimia 10 kwenye halmashauri zetu - Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba
📍Dodoma-Tanzania
🗓️Januari 29, 2029
———————————————
Amesema hayo wakati akijibu swali la Nancy Nyalusi, Mbunge wa Viti Maalum katika kipindi cha...
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba wakati akijibu swali la Nancy Nyalusi, Mbunge wa Viti Maalum katika kipindi cha Maswali ya Papo kwa Papo kwa Waziri Mkuu alisema:
"Nimeelekeza kuondolewa kwa masharti yanayokwamisha utoaji wa mikopo ya asilimia 10 kwenye halmashauri zetu"
TUNATAKA KAZI ZA SERIKALI ZIFANYIKE MAKAO MAKUU YA NCHI-DKT. MWIGULU.
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema kuwa Serikali inataka kazi zote zifanyike makao makuu ya nchi ili kusogeza huduma karibu na Wananchi.
📍Dodoma-Tanzania
🗓️ Januari 22, 2026.
Mheshimiwa Dkt. Mwigulu ametoa kauli...
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Januari 19, 2026 amefanya mazungumzo na Askofu Mkuu wa Kanisa la Anglikana Tanzania, Dkt. Maimbo Mndolwa na ujumbe wake katika ofisini kwa Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Kazi Maalum, Profesa Palamagamba Kabudi alishiriki...
Watanzania tunapaswa kuishi kwa misingi ya upendo, unyenyekevu, haki na uwajibikaji-Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba.
📍Dodoma-Tanzania
🗓️18.01.2026
Mheshimiwa Dkt. Mwigulu ametoa kauli hiyo aliposhiriki Ibada ya Jumapili katika Kanisa Kuu Anglikana la Roho Mtakatifu, Dodoma.
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Januari 17, 2026 ameongoza kikao cha kazi kuhusu ujenzi wa miradi ya barabara za haraka (Express Ways) kwa ubia kupitia mfumo wa PPP.
Kikao hicho kilichofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa Ofisi ya Waziri Mkuu, kimehudhuriwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri...
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Januari 15, 2026 amezungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Ajira na Mahusiano, Deus Sangu, ofisini kwa Waziri Mkuu Mlimwa jijini Dodoma.
Internet haisahau.
Miaka 12 iliyopita katika kesi ya Lwakatare, aliyekuwa mkurugenzi wa Sheria na Haki za Binadamu wa CHADEMA, Tundu Lissu, aliwatuhumu mpiga picha wa Rais Kikwete wa wakati huo, Issa Michuzi, Idara ya Usalama wa Taifa (TISS), Waziri Mkuu wa sasa, Mwigulu Nchemba na bwana Joseph...
𝗭𝗜𝗔𝗥𝗔 𝗬𝗔 𝗞𝗜𝗞𝗔𝗭𝗜
Pwani na Dar es Salaam
Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
📆 Jumatatu - Desemba 29, 2025.
🕰️ Kuanzia Saa 3 Asubuhi.
Lengo la Ziara:
1. Kukagua hali ya Uzalishaji na Usambazaji wa Maji - RUVU CHINI.
2. Kukagua Maendeleo ya Ujenzi wa Soko...
Waziri Mkuu wamchongo anaendelea kutuchamba kama, boss wake mwingine
Hii serikali ya mchongo inahuzuni sana wanatuona kama watoto wao nyumbani
===============
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema watu wenye nia ovu wanafanyia biashara maisha ya Watanzania kwa kuzusha taarifa za uongo.
Mheshimiwa Jenista Mhagama alikuwa ni kiongozi anayehakikisha kazi anazofanya zinakuwa na matokeo - Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba.
📍Dodoma.
🗓️Desemba 11, 2025.
DKT. MWIGULU AKABIDHIWA OFISI RASMI
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba leo Novemba 17, 2025 amekabidhiwa Ofisi na Waziri Mkuu Mstaafu Kassim Majaliwa, Mlimwa Jijini Dodoma Novemba 17, 2025.
Viongozi waliohudhuria hafla ni pamoja na Naibu Waziri Mkuu Mstaafu Dkt. Doto Biteko, Makatibu...
dkt.mwigulunchemba
dodoma
kassim
kassim majaliwa
majaliwa
mkuu
mstaafu
mwigulumwigulu lameck nchemba
novemba
ofisi
ofisi ya waziri mkuu
waziri
waziri mkuu
waziri mkuu mstaafu
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kumuapisha Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
📅 14.11.2025
⏰️ Saa 4 Asubuhi.
📍Ikulu Chamwino, Dodoma.
Viongozi mbalimbali wamewasili katika uapisho wa Waziri mkuu
Makamu...
Akiwa anazungumza leo Dodoma Tanzania Waziri Mkuu Mteule Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba alisema
"Rais Samia amejitambulisha kama Rais anayetaka matokeo ya haraka yanayotatua matatizo ya Watanzania"
Leo Novemba 13, 2025, Dkt. Mwigulu Nchemba ameteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuwa Waziri Mkuu wa JMT. Kama ilivyo ada, anapoteuliwa Waziri Mkuu ndio mwanzo wa kuunda Baraza la Mawaziri ili kumsaidia Rais.
Soma > Dkt. Mwigulu Nchemba apendekezwa kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri...
Tunampongeza kwa dhati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kumteua Dkt. Mwigulu Nchemba kushika wadhifa wa juu kabisa wa kiutendaji – Waziri Mkuu wa Tanzania. Uteuzi huu unaonesha kuaminiwa kwa mtu mwenye rekodi ya kiutendaji serikalini, mwenye elimu ya hali ya juu, uzoefu wa kisiasa, na...
Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba ameunga mkono kampeni ya kununua jezi halisi (original) za timu ya Simba SC, akitoa rai kwa wapenda soka wote kuepuka jezi bandia (feki).
Dkt. Mwigulu ameunga mkono kampeni ya kuhamasisha mashabiki kukataa jezi feki na kununua orijino kwa kununua jezi 200...
DKT. MWIGULU NCHEMBA ASISITIZA UWAJIBIKAJI KWA WATUMISHI OFISI YA HAZINA NDOGO KIGOMA
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba, ametembelea Ofisi zilizo chini ya Wizara ya Fedha Mkoani Kigoma na kuzungumza na Watumishi wa Taasisi hizo kuhusu mambo mbalimbali yanayohusu shughuli za maendeleo...
Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba, Juni 25, 2025 amewasilisha Muswada wa Sheria ya Fedha wa mwaka 2025 bungeni jijini Dodoma ili kujadiliwa na wabunge na hatimaye kuupitisha.
Muswada huo unatarajiwa kufanya marekebisho ya sheria za kodi ili kuwezesha utekelezaji wa kisheria wa Bajeti ya...
"Hata mkitusifia hatuchezi" Waziri wa fedha Mwigulu Nchemba ambaye pia ni shabiki wa Yanga SC
"Kuhusu ile ya Simba hata mkitusifia hatuchezi hadi mambo yetu yasikilizwe.Unajua hawa jamaaa wanataka kuturudisha zile enzi za mpira kushona.Kwenye enzi hizo nayekuja na mpira hamruhusiwi kumkaba,na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.