dkt. mwigulu nchemba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. H

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba Wilaya ya Ikungi, Singida

    Ni Singida Tena Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 📆 27 Juni, 2026. 🕰️4:00 Asubuhi
  2. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba akishiriki Kikao cha 54 cha Mkutano wa Tatu wa Bunge la Kumi na Tatu, jijini Dodoma, leo Jumatatu, Juni 22, 2026.

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba akishiriki Kikao cha 54 cha Mkutano wa Tatu wa Bunge la Kumi na Tatu, jijini Dodoma, leo Jumatatu, Juni 22, 2026.
  3. H

    JamiiForums Tanzania WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba akisalimiana na Rais wa Kenya Dkt. William Ruto wakati wa hafla ya ufunguzi wa Mkutano wa Ushirikiano kati ya Afrika

    WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba akisalimiana na Rais wa Kenya Dkt. William Ruto wakati wa hafla ya ufunguzi wa Mkutano wa Ushirikiano kati ya Afrika na Ufaransa (Africa Forward Summit: Africa-France Perternship for Innovation and Growth) unaofanyika jijini Nairobi Kenya, leo Mei 12...
  4. H

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu: Tuepuke migogoro na mizozo

    Asema kuna miradi inakwama utekelezaji sababu ya migawanyiko WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amewataka viongozi wa Mamlaka za Serikali za Mitaa waepuke migogoro na mizozo kwa sababu kuna miradi inakwama utekelezaji kutokana na migawanyiko. “Twendeni tukatimize wajibu wetu, tuache migawanyiko...
  5. H

    JamiiForums Tanzania Huruma ya Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba kwa Mwenyekiti wa ALAT anayemaliza muda wake.

    Huruma ya Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba kwa Mwenyekiti wa ALAT anayemaliza muda wake.
  6. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba akiongoza Kikao cha Kazi cha Mawaziri na Makatibu Wakuu Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji, Ofisi ya Waziri Mkuu, Se

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba akiongoza Kikao cha Kazi cha Mawaziri na Makatibu Wakuu Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu, TAMISEMI na Wizara ya Elimu Sanyansi na Teknolojia kuhusu utekelezaji wa Elimu Msingi ya Lazima...
  7. H

    JamiiForums Tanzania Uongozi ni kusikiliza: Somo kwa Dkt. Mwigulu Nchemba

    UONGOZI NI KUSIKILIZA: SOMO KUTOKA KWA DKT. MWIGULU NCHEMBA Katika siasa na utumishi wa umma, nguvu ya kiongozi mara nyingi hupimwa kwa uwezo wa kuzungumza na kuamua. Hata hivyo, kipimo cha juu zaidi ni uwezo wa kusikiliza ambacho mara nyingi hupuuzwa. Katika mazingira ya maombolezo, Waziri...
  8. H

    JamiiForums Tanzania Serikali yenu haitakuwa na mzaha, hata kidogo, kuhusu utekelezaji wa miradi ya maendeleo - Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba

    NUKUU ZA WAZIRI MKUU Serikali yenu haitakuwa na mzaha, hata kidogo, kuhusu utekelezaji wa miradi ya maendeleo. 📍RUKWA-TANZANIA 🗓️MACHI, 2026
  9. H

    JamiiForums Tanzania Afya ni Mtaji wa kwanza katika shughuli za maendeleo-Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba.📍Songambele (Nsimbo)-Katavi🗓️Machi 15, 2026

    Afya ni Mtaji wa kwanza katika shughuli za maendeleo-Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba. 📍Songambele (Nsimbo)-Katavi 🗓️Machi 15, 2026 ———————————— Amesema hayo alipozungumza na wananchi wa kata ya Songambele, Halmashauri ya Wilaya ya Nsimbo mkoani Katavi kwenye mkutano wa hadhara.
  10. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba ameanza ziara katika mkoa wa Katavi ambapo ameweka Jiwe la Msingi Mradi wa Maji wa Miji 28

    Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba leo Machi 13, 2026 ameanza ziara katika mkoa wa Katavi ambapo ameweka Jiwe la Msingi Mradi wa Maji wa Miji 28 uliopo Manispaa ya Mpanda. Pia, Dkt. Mwigulu ameweka jiwe la msingi la Mradi wa Ujenzi wa Barabara ya Kagwira – Karema (Kilometa 112) katika Halmashauri...
  11. H

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba mkoa wa Katavi

    SASA NI KATAVI, ZIARA YA KIKAZI MHE. DKT. MWIGULU NCHEMBA, WAZIRI MKUU WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA 📆 IJUMAA – MACHI 13, 2026 🕰️ KUANZIA SAA 5 ASUBUHI Lengo la Ziara: 1. Kuweka Jiwe la Msingi Mradi wa Maji wa Miji 28 – Shanwe. 2. Kuweka jiwe la Msingi Ujenzi wa Barabara ya...
  12. H

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu amjulia hali Diwani wa Kata ya Kidaru, Ndugu Philipo Manguli wa Iramba, mkoani Singida

    WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Machi 12, 2026 amemjulia hali Diwani wa Kata ya Kidaru, Ndugu Philipo Manguli wa Iramba, mkoani Singida, ambaye amelazwa katika Hospitali ya Benjamin Mkapa, jijini Dodoma.
  13. H

    JamiiForums Tanzania WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo ameungana na waombolezaji kushiriki Adhimisho la Misa Takatifu ya Mazishi ya Askofu Marehemu Mwadhama Pengo

    WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Februari 28, 2026 ameungana na waombolezaji kushiriki Adhimisho la Misa Takatifu ya Mazishi ya Askofu Mkuu Mstaafu wa Jimbo Kuu Katoliki Dar es Salaam, Marehemu Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo, linalofanyika katika Kanisa la Hija ya Bikira Maria – Pugu...
  14. H

    JamiiForums Tanzania Ndani ya wiki mbili vifaa viwe vimefungwa - Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba

    Ndani ya wiki mbili vifaa viwe vimefungwa - Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba ———————————- Amesema hayo leo Februari 13, 2026 alipokagua na kufungua jengo la wagonjwa mahututi (ICU) katika Hospitali ya Halmashauri ya Mji wa Handeni mkoani Tanga ambalo ujenzi wake umegharimu sh. milioni 426.
  15. H

    JamiiForums Tanzania Huu uzembe ndio tunasema hatuwezi kuuvumilia, wakatwe mishahara yao kufidia hasara waliyosababisha - Waziri Mkuu Nchemba

    Huu uzembe ndio tunasema hatuwezi kuuvumilia, wakatwe mishahara yao kufidia hasara waliyosababisha - Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba Amesema hayo leo Ijumaa Februari 13, 2026 wakati akizungumza na wakazi wa Handeni mkoani Tanga ambapo yupo kwenye ziara ya kikazi.
  16. H

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba: Serikali kununua matrekta 10,000

    SERIKALI KUNUNUA MATREKTA 10,000 - DKT. MWIGULU NCHEMBA WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Serikali imepanga kununua matrekta 10,000 na kuanzisha vituo jumuishi 1,000 vya huduma za zana za kilimo katika ngazi ya Kata, hatua itakayoongeza tija, kupunguza gharama na kuwapa wakulima muda...
  17. H

    JamiiForums Tanzania Mwigulu akabidhiwa Tuzo kutambua mchango wake katika kuunga mkono na kutekeleza kwa vitendo maono ya Rais Samia

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba amekabidhiwa tuzo maalum ya kutambua mchango wake katika kuunga mkono na kutekeleza kwa vitendo maono ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika kukuza na kuimarisha sekta ya utalii nchini. 📍Arusha-Tanzania 🗓️Januari 31, 2026...
  18. H

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba Januari 31, 2026 ametembelea hifadhi ya Taifa ya Arusha ikiwa ni kuunga mkono juhudi za Rais Samia

    WAZIRI MKUU ATEMBELEA HIFADHI YA TAIFA YA ARUSHA Lengo ni kuunga mkono jitihada za Rais Dkt. Samia kuhamasisha utalii WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Jumamosi, Januari 31, 2026 ametembelea Hifadhi ya Taifa ya Arusha ikiwa ni kuunga mkono juhudi za Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan...
  19. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba akipiga penati kabla ya kuanza kwa mechi ya Mpira wa Miguu wakati wa Bunge-Azania Bonanza linalofanyika katika Viwan

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba akipiga penati kabla ya kuanza kwa mechi ya Mpira wa Miguu wakati wa Bunge-Azania Bonanza linalofanyika katika Viwanja vya Shule ya Sekondari ya John Merlini iliyopo jijini Dodoma leo Januari 31, 2026. Mechi hiyo ilihusisha Wabunge na Watumishi wa Ofisi ya...
  20. H

    JamiiForums Tanzania Nimeelekeza kuondolewa kwa masharti yanayokwamisha utoaji wa mikopo ya asilimia 10 kwenye halmashauri zetu-Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba

    Nimeelekeza kuondolewa kwa masharti yanayokwamisha utoaji wa mikopo ya asilimia 10 kwenye halmashauri zetu - Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba 📍Dodoma-Tanzania 🗓️Januari 29, 2029 ——————————————— Amesema hayo wakati akijibu swali la Nancy Nyalusi, Mbunge wa Viti Maalum katika kipindi cha...
Back
Top Bottom