dkt. bashiru ally

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. sifi leo

    Nitaenda Chato kuwashitaki Polepole, Kabudi na Bashiru; nitapitia Butiama kuwashitaki Butiku, Warioba na Prof. Shivji

    Natambua hii vita ni ya kiuchumi na vita ya kiuchumi kupiganwa paspo kushirikisha marehemu walio kwisha tangulia mbele ya haki hatutoshindwa. Wakati wenzangu wanaandamana kwenda ikulu Mimi nipo njiani naelekeA Chato Kwa mzira nkende mwenzangu nampalekea mashitaka, ninao kwenda kuwashitaki ni...
  2. Sir robby

    Kigwangalla na Lusinde mnahoji uanachama wa Dkt. Bashiru, mbona hamkuhoji alipoteuliwa kuwa Katibu Mkuu wa CCM?

    CCM oyee! Zidumu fikra za mwenyekiti Magufuli Bashiru Ally aliteuliwa na mwenyekiti wa CCM, Rais Magufuli, hamkupiga ktk kikao chochote zaidi ya kumpongeza huku KIgwangalah ukijua kuwa Bashiru ni mwanachama wa CUF. Wapinzani waliteuliwa na kupewa nyadhifa serikalini huku mkijua serikali...
  3. Suzy Elias

    Bila Bashiru na Polepole, Kenani Kihongosi asingekuwa hapo alipo

    Ama kweli mkuki uusafishao kila siku ndiwo wenye kuweza kukujeruhi hapo siku za mbele. Kenani Kihongosi ni jina lililopendekezwa na Polepole kwa Bashiru ili lipelekwe Ikulu kwa Mamlaka za juu ili pamoja na yote aweze kuwa miongoni wa Wakuu wapya wa Wilaya kupitia nafasi za upendeleo kwa UVCCM...
  4. A

    Ndugai na Dkt. Bashiru wamethibitisha kuwa Tanzania hakuna Demokrasia wala uhuru wa kutoa maoni

    Ukweli mchungu, Tanzania hakuna demokrasia wala uhuru wa kutoa maoni haupo huu ndio ukweli. Ndugai na Bashiru uwe mfano hai na mjiulize kama viongozi wanatoa maoni kama hayo na sio kwamba ni kosa lakini wanaandamwa na kutweza itakuaje kwa mwananchi wa kawaida maoni yake yataheshimika kweli...
  5. voicer

    Usalama kwa Dkt. Bashiru: Lolote likimtokea tumewajua wabaya wake

    Hatuwezi kuamini kwamba Mtaishia kumsema sema kwenye hizo Press release pekee. Kwa tunavyowajua CCM na Wahuni Gang wake, ni vema tuwaambie mkae mkijua hilo, kwamba maadamu tumewaona hadharani mkimshambulia kwa hasira kali. Na pale atakapopatwa na lolote lile baya, hatutawaacha na nyinyi...
  6. Nigrastratatract nerve

    Dkt. Bashiru ana baraka zote za wenye nchi. Nadhani kauli za "anaupiga mwingi" zinamkera hata Rais Samia

    Rais Samia ameelemewa amechoshwa na kundi la wanyonyaji wanaojipendekeza kwake ili wapendelewe kwenye biashara zao Hali hii Samia na wenye nchi hawapendezwi nayo hata kidogo Taifa linalea vijana wa kujipendekeza kulinda nafasi zao haijalishi hata kama ni uongo kiasi gani. Samia hapendezwi hata...
  7. Rufiji dam

    Ya MVIWATA yapo gizani, ya Bashiru ndio yanapigiwa kelele

    Msukuma na Kibajaji hawa ni watu hatari sana kwa ukomavu wa majadiliano yenye afya. Ukiona hawa watu wameibuka ujue kuna jambo ambalo Wananchi linawagusa, Balozi Bashiru kasema yake, huyu anatabia ya kusema ukweli japo sio mwanaCCM huyu. Anahoja ya maana sana hapaswi kutishwa, na ujinga huu wa...
  8. GENTAMYCINE

    UVCCM mngemlaumu zaidi adui yetu huyu badala ya Dkt. Bashiru Ali, ningewaona mna akili timamu

    UVCCM hebu niambieni GENTAMYCINE hivi kweli Dk. Bashiru Ali ni Adui yenu Kumzidi Adui Mkuu huyu wa Watanzania wote aliyeko CCM? 1. Fisadi na Mficha Hela za Misaada 2. Mlevi wa Wine na Muhuni 3. Mdini kupita Maelezo 4. Mbinafsi wa kupenda 5. Mlipiza Kisasi kwa Aliyemtangulia 6. Mpumbavu...
  9. dr namugari

    Simpendi Dkt. Bashiru, lakini kwa hili namuunga mkono

    Hakuna asiye juwa kasia aliyetuleteaa bashiru akishirikina na jiwe ktk kukandamiza democracia na kudidimiza utawala bora, utawala unayo fata sheria. Bali wao na jiwe waliteka nchi nzima na kutaka kumiliki CCM na serikali yote madudu ni mengi sana wamefanya sitaki nijikite uko. Kwa hili alilo...
  10. L

    Maneno ya Dkt. Bashiru ni shambulizi kwa Rais Samia na yenye ajenda ya siri. Aitwe haraka na kuhojiwa na chama

    Ndugu zangu pamoja na kusikitishwa Na maneno ya mh Dr Bashiru nilishindwa kuandika mawazo yangu mapema kutokana na kusumbuliwa na kioo Cha simu ambacho kinaweka ukungu na hivyo kuwa ngumu kuandika. Na nitakapokuwa nimekosea masuala ya herufi nisamehewe Ndugu zangu maneno ya Dr Bashiru katibu...
  11. Girland

    CCM vs Dkt. Bashiru: Nini kinaendelea?

    UKIONA VYAELEA, UJUE VIMEUNDWA walisema wahenga wa zamani. Tumeshuhudia press ya Dk Bashiru na baadaye viongozi mbalimbali wakipinga vikali msimamo wa aliyekuwa katibu mkuu wa CCM. Tukio hili linafanana kwa ukaribu na tukio la kujiuzulu kwa aliyekuwa Spika baada ya shinikizo Kali kutoka kwa...
  12. M

    Trump ameshatangaza nia ya kugombea Urais, akina Bashiru msiogope tangazeni!

    Ili kunogesha siasa za nchi yetu nashauri wanasiasa wote ndani ya CCM na nje ya CCM wanaoona wanaweza kuwa marais wa nchi watangaze mapema waanze kujijenga na kutoa sera zao mbadala mapema. Watu wasikubali kufungwa midomo. Trump ameshaanza marekani wakati uchaguzi ni Nov 2024 na hapa kwetu hadi...
  13. J

    Dkt. Bashiru: Wakulima ni lazima muwafanye Watawala wawaheshimu, msikubali kuburuzwa na Wanyonyaji wachache

    Najiuliza Huyu Dkt. Bashiru ni mjamaa? Maana wajamaa ndio hupenda kutumia hili Neno Wanyonyaji Wakati wa Nyerere tuliimba "Mabepari walia kukatiwa mirija ya unyonyaji walipotangaziwa Azimio la Arusha" Dkt. Bashiru amesema Wakulima ndio wanawalisha Watawala hivyo ni lazima wawafanye wawaheshimu...
  14. J

    Dkt. Bashiru: Unaposhukuru na kusifia unapopewa haki yako unakuwa hauna "maana"

    Hii kauli ya Dr Bashiru kwa MVIWATA nataka niiangalie kikatiba na kiBiblia zaidi Sitajali hata kama yeye alikuwa akishukuriwa na Kusifiwa wakati anatimiza Majukumu yake ambayo kwayo alilipwa mshahara "Ukishukuru na Kusifu unapopewa Haki yako unakuwa hauna maana" Wabunge husemaga: Mh Spika...
  15. wazagamba nkoko

    Mpaka sasa Bashiru Ally ndio kiongozi mwenye uthubutu, na CCM inajua

    Bashiru Ali kasema hadharani bila kupepesa macho wala haya kusema kinachofanyika kwa wakulima wadogowadogo si sahihi na kuna haja ya watawala kufanyia kazi mtazamo wake,sio kutumia nguvu kuzima hoja yake,tena kwa kumkejeri. Ni wachache nchi hii wenye uthubutu wa kuzungumza kama alivyofanya...
  16. mshale21

    Hamisi Kigwangalla: Hatujui Dkt. Bashiru alirudisha lini kadi ya CUF. Hatujui namba ya kadi yake ya CCM

    Hatujui kadi yake ya Chama Cha Mapinduzi aliichukuwa lini, hatujui hata kadi yake ya CUF aliirudisha lini? Tulishangaa tu ameteuliwa kuwa Katibu Mkuu wa CCM, lakini tuliheshimu mamlaka iliyomteua, sasa tulitegemea awe na Shukrani" Aliyoandika Kigwangalla kwenye account ya Twitter Mkiendelea...
  17. Suzy Elias

    Hayati Magufuli aliwaamini sana marafiki zake Kagame na Bashiru

    Historia inatueleza bayana Hayati Magufuli na Paul Kagame walitokea kuwa marafiki wakubwa kupata kutokea! Urafiki wa wawili hao ulikuwa wa kufa na kuzikana hali iliyopelekea waaminiane kwa kila jambo. Kiungo wa marafiki wale uliunganishwa na rafiki yao mwingine Bashiru Ally. Bashiru Ally na...
  18. Mocumentary

    UVCCM wamvaa Dkt. Bashiru mzimamzima - "Aache unafiki, aombe radhi, hatutamuangalia usoni

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM UVCCM, Kenani Kihongosi amemtaka Dkt. Bashiru aombe radhi kutokana na kauli yake aliyotoa wakati wa mkutano mkuu wa Mviwata, Kenani amekiomba chama kumchukulia hatua Dkt Bashiru kutokana na kauli zake za ukosoaji kwa viongozi, hawapaswi kupongezwa. Global...
  19. Cathelin

    Yuko wapi Katibu Mkuu Kiongozi mstaafu Dkt. Bashiru Ally?

    Wakuu huyu Mheshimiwa amekuwa kimya sana. Yupo wapi Katibu Mkuu Kiongozi mstaafu Dkt. Bashiru.
  20. J

    Kwanini Wabobezi wa siasa za CCM na wasomi wa falsafa Dkt. Bashiru Ally na Dkt. Wilson Mukama wamesahaulika haraka sana?

    Hawa wawili Dr Bashiru Ally na Dr Wilson Mukama ndio makatibu wakuu wa CCM waliojaliwa PhD. Wengine akina Kawawa, Kolimba, Gama, Kinana, Makamba nk...nk ni wasomi wa kawaida siyo wabobezi labda Gama ndio alikuwa na Udaktari wa zamani. Najiuliza tu kwanini Bashiru na Wilson wamesahaulika kwa...
Back
Top Bottom