digital rights

Digital rights are those human rights and legal rights that allow individuals to access, use, create, and publish digital media or to access and use computers, other electronic devices, and telecommunications networks. The concept is particularly related to the protection and realization of existing rights, such as the right to privacy and freedom of expression, in the context of digital technologies, especially the Internet. The laws of several countries recognize a right to Internet access.

View More On Wikipedia.org
  1. J

    Je, unaridhishwa na Mikakati ya Serikali katika Udhibiti wa Bei za Intaneti? Unaathirika vipi na Gharama hizi?

    Gharama za Intaneti zimekuwa zikikwamisha na kuathiri shughuli za Watumiaji wa Mitandao, Wabunifu wa Teknolojia na Wazalishaji wa Maudhui Je, unaridhishwa na mikakati ya Serikali katika udhibiti wa Bei za Intaneti? Unaathirika vipi na Gharama za Intaneti nchini? Ungana nasi katika Mjadala...
  2. Replica

    Waziri Nape akiri kufuatilia mijadala inayoendelea kuhusu mtandao wa X kufungiwa, asema TCRA itatimiza wajibu kuhakikisha watoto wanakuwa salama

    Waziri wa Habari, Teknolojia ya Habari na Mawasiliano, Nape Nnauye amesema wanaona mijadala yote inayoendelea (kuhusu maoni ya kama mtandao wa X ufungiwe au laah) na kusema Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), itatimiza wajibu wake wa kuhakikisha Tanzania na hususani kizazi cha Watoto kipo...
  3. Analogia Malenga

    Ni mtandao gani unaozuia maudhui ya ngono na mapenzi ya jinsia moja?

    Kuna kundi la watu ambao wanaiomba serikali ifungie twitter nchini kwa kudai kuwa twitter imeruhusu maudhui ya mapenzi ya jinsia moja. Hata hivyo, najiuliza ni mtandao gani ambao hauruhusu mapenzi ya jinsia moja kwa hoja hiyo kuwa na mashiko. Je ni kweli meta haruhusu maudhui ya mapenzi ya...
  4. Abdul Said Naumanga

    Kwanini mtandao wa X (Twitter) unapigwa vita nchini Tanzania?

    Katika miaka ya hivi karibuni, Tanzania imekuwa ikishuhudia mijadala mikali kuhusu matumizi ya mitandao ya kijamii, hasa Twitter, ambayo imekuwa ikichukuliwa kama mtandao wenye nguvu katika kuhamasisha mabadiliko na kutoa maoni. Hata hivyo, kumekuwa na upinzani mkubwa kutoka kwa baadhi ya...
  5. Cute Wife

    PreGE2025 CCM na Serikali tuambieni ukweli, kelele za kutaka X(Twitter) ifungiwe ni maandalizi ya kuzima mitandao kipindi cha uchaguzi

    Wakuu, CCM hivi hamuoni vibaya? Mpaka sasa Club House haipatikani halafu tena hao kunyanyua midomo eti mnataka kufungua X(Twitter) kwa kisingizio eti inahamasisha maudhui ya Ushoga! Huu ni mtandao pekee ambako kuna maudhui ya ngono nchini? Kuna Instagram, Tiktok, Facebook, huku hakuna...
  6. OLS

    Kwanini wanakomalia laini kukatwa kodi?

    Mara ya kwanza mbunge wa Gairo alishauri laini zitozwe TSh 200 kila mwezi. Na sasa huyu mwingine ameshauri laini itozwe Tsh 50. Kwanini wanaona ni muhimu kutoza laini za simu? Ni rahisi lakini je kitendo hiki ni halali kwa watanzania ambao wanahangaika kumiliki simu nk. Je hatuoni kuwa...
  7. Kitombise

    Tetesi: Makampuni ya simu kutoa GB 10 kama kufidia hasara na kuomba radhi kwa watumiaji wa mitandao ya simu

    Nyepesi nyepesi; Nimepata taarifa kuwa jana jumatatu makampuni yote ya simu yanayotoa huduma hapa nchini kuwa wamekaa na kujadili jinsi ya kutatua changamoto na kufidia hasara kwa watumiaji wa mtandao. Hivyo wamekubaliana kutoa GB 10 kwa kila mtumiaji wa mtandao kama kufidia hasara za bundle...
  8. Meneja Wa Makampuni

    Kukosekana kwa intaneti: Kebo moja ya intaneti ilikatwa mapema Jumapili katika Mji wa bandari wa Afrika wa Durban, je ni hujuma?

    Watumiaji wa intaneti nchini Tanzania, Kenya, Rwanda na Uganda wamekuwa wakilalamikia ukosefu wa intaneti huku watoa huduma kote Afrika Mashariki wakikiri kumekuwa na tatizo. Wamesema wanajitahidi kurekebisha tatizo hilo. Huduma hiyo ilikumbwa na hitilafu katika nyaya za chini ya bahari...
  9. P

    PreGE2025 Waziri Nape, kutukosesha mtandao wa ClubHouse nchi nzima sababu ya watu wachache ndio upeo wako ulipoishia?

    Wakuu, Mtando wa ClubHouse umezuiwa kupatika nchini toka mwaka jana (2023) mwanzoni, ambapo huwezi kupata kupata huo mpakata utumie VPN. Hii ni ukiukwaji wa haki ya kujieleza na kupata kupata habari, ni kwenda kinyume na Katiba ya Tanzania inayotoa haki ya mtu kuwasiliana na kupata habari bila...
  10. Nyamesocho

    PreGE2025 Tujikumbushe Oktoba 2020 kipindi cha uchaguzi, uliteseka na mtandao ukiwa wapi?

    Kwa mara ya kwanza hatutasahau unaamka asubuhi unaingia mtandaoni lakini inashindikana, unaangalia bando sina au , unauliza salio full bando ,unajiuliza hivi hii simu yangu imeharibika nataka niende kwa fundi nakutana na watu wengine wanajadili mtandao kuzimwa. Kuingia Jamiiforum ikashindikana...
  11. S

    PreGE2025 Uzi maalum wa hali ya kimtandao kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025. Intaneti itapatikana au itazimwa kama 2020?

    Wakuu Wote tunakumbuka kipindi cha Magufuli mambo yalivyokuwa. Baada ya purukushani zake za kutishia wapinzani, kuzorotesha uchumi na mwisho kuona majority ya watanzania hawamkubali zikaanza figisu za kutuminya kipindi cha Uchaguzi. Sijui alikuwa na wasiwasi wa nini? Uchaguzi mkuu ulivyofika...
  12. The Sheriff

    Unachukua tahadhari gani za kiusalama unapotumia Taksi Mtandao (Uber, Bolt n.k)?

    Tukio la kusikitisha la kifo cha Catherine Serou, mwanamke Mamrekani, linatufundisha umuhimu wa kuchukua tahadhari zinapohusiana na usalama wako unapotumia huduma hizi. Kifo cha Catherine Serou kilitokea baada ya kupanda gari la mtu asiyejulikana, akiwa na imani kuwa ni dereva wa Uber. Usalama...
  13. Roving Journalist

    Tanzania Digital Rights Coalition: Official Statement Against Restriction of VPN Use In Tanzania

    The Tanzania Digital Rights Coalition, a united front of organizations committed to upholding and promoting digital rights, unequivocally condemns the recent statement issued on Friday, 13 October 2023 by the Tanzanian Communication Regulatory Authority (TCRA) restricting the use of Virtual...
  14. The Sheriff

    Umoja wa Mataifa: Wanawake wameachwa nyuma kwenye nafasi za kazi za Sayansi, Uhandisi na TEHAMA

    Mwaka 2022, watu bilioni 2.7 bado hawakuwa na upatikanaji wa intaneti. Tofauti hii inatishia kuongeza kutokuwiana baina na ndani ya nchi. Kutofikia teknolojia na taarifa kunakoendelea kutaendelea kuyatenga makundi ambayo tayari yako nyuma, ikiwa ni pamoja na wanawake na wasichana wa vijijini na...
  15. OLS

    Mwaka 2023, matukio 80 ya kuzuia internet yamerekodiwa katika nchi 21 duniani

    Katika muongo uliopita, serikali barani la Afrika zimeendelea kushika madaraka kwa nguvu kwa kudhibiti haki za binadamu mtandaoni na nje ya mtandao. Kwa kuongezeka kwa mahitaji ya uwajibikaji na utawala bora, watu katika nchi kadhaa wamekuwa wakitumia mitandao ya kijamii ambayo yamekuwa...
  16. The Sheriff

    Teknolojia inaleta fursa muhimu katika Elimu. Ni muhimu kuondoa vikwazo vinavyozuia wengine kuifurahia

    Elimu ni msingi wa maendeleo na fursa binafsi. Hata hivyo, kupata elimu bora kunaweza kuwa changamoto kubwa kwa makundi mbalimbali katika jamii. Lakini kwa miaka ya hivi karibuni, teknolojia imeleta mapinduzi katika uwanja wa elimu na kuwapa wengi fursa mpya. Kuthibitisha hili, Ripoti ya...
  17. BARD AI

    Somalia yaifungia Mitandao ya Tiktok, Telegram na 1XBet

    Kwa mujibu wa taarifa ya Serikali, Mitandao hiyo pamoja na Kampuni ya Michezo ya Kubahatisha ya 1XBET zimebainika kutumiwa na Magaidi pamoja na kueneza Uasherati kupitia Picha na Upotoshaji katika Jamii. Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia iliagiza watoa huduma za Intaneti kutekeleza marufuku...
  18. Lanlady

    Wakati tunamshukuru alivujisha mkataba, tujiandae pale watakapozima mtandao!

    Kuna hisia nazipata hasa baada ya DP World kufunga message huko instagram. Watanzania wamekuwa wakionesha hisia zao kuhusu kutokubaliana na mkataba wa kubinafsisha bandari kwa muda usio na kikomo. Wamekuwa wakitumia mitandao ya kijamii kudhihirisha hisia hizo. Sasa hofu yangu kwa sasa ni juu ya...
  19. J

    Nini kifanyike kuwalinda Watoto wenye ulemavu katika dunia ya kidigitali?

    Dunia kwa sasa inapitia mapindizu makubwa ya kidijitali, watoto limekuwa miongoni mwa kundi muhimu ambalo linastahili kulindwa na kuongozwa katika suala zima la matumizi ya kidijitali. Zaidi ya wadau mbalimbali kusisitiza umuhimu wa kuwalinda watoto katika wakati huu wa mapinduzi ya kidijitali...
  20. The Sheriff

    Serikali na Matumizi ya Programu za Udukuzi na Upelelezi: Ongezeko la Tishio kwa Ulinzi wa Faragha na Haki za Binadamu

    Serikali nyingi duniani zinaongeza matumizi ya udukuzi kufanikisha shughuli zao za upelelezi. Hata hivyo, nyingi hutumia udukuzi huo kwa siri na bila msingi wa wazi wa kisheria. Hata katika kesi ambapo serikali zinajaribu kuweka uwezo huo katika sheria, mara nyingi hufanya hivyo bila kuweka...
Back
Top Bottom