diddy

"Do Wah Diddy Diddy" is a song written by Jeff Barry and Ellie Greenwich and originally recorded in 1963, as "Do-Wah-Diddy", by the American vocal group the Exciters. Cash Box described the Exciters' version as "a sparkling rocker that bubbles over with coin-catching enthusiasm" and said that the "great lead job is backed by a fabulous instrumental arrangement." It was made internationally famous by the British band Manfred Mann.

View More On Wikipedia.org
  1. Mkalukungone Mwamba

    Sean 'Diddy' Akabiliwa na kesi mpya 120 za unyanyasaji wa kingono kabla ya kusikilizwa kwa kesi za awali

    Hii achatuseme kwamba kazini kwa Diddy kuna kazi. Kesi zinazidi kumiminika zinazomuhusu yeye hadi sasa ni maumivu kwake na je atazishinda zote kesi hizi? ================== Mkali wa Hip-Hop wa Marekani, Sean “Diddy” Combs anatuhumiwa kuhusishwa katika kesi mpya 120 za unyanyasaji wa kingono...
  2. Kingsmann

    Washirika wa Diddy kutajwa hivi karibuni

    Orodha ya wanaodaiwa kuwa Washirika wa Msanii wa Marekani, Diddy Combs anayetuhumiwa kwa makosa ya unyanyasaji, ulaghai na biashara ya ngono inatazamiwa kutajwa hivi karibuni katika hatua nyingine ya kesi zinazomkabili, Wakili mtetezi wa Waathirika wa matukio hayo Tony Buzbee amethibitisha...
  3. Magical power

    P Diddy ni kama alijua kitakachotokea

    "P DIDDY" ni kama alijua kitakacho tokea. Mali zote ziliandikwa kwa jina la #mama yake hakuna mali yake iliyo kwenye jina lake. Mali zote ziko katika jina la mama yake na mtoto wake, hata wamshitaki mpaka ufalme wake uanguke hakuna mtu atakayepata senti kutoka kwake. Utajiri wake wa kizazi...
  4. Mshana Jr

    Unahisi kwanini P Diddy ametaja hayo majina yote hapo? Ukweli ni huu

    https://www.facebook.com/share/v/wXRUZzMo624yBNyF/?mibextid=Mk4v2M Majamaa waliingia nyumbani kwa Diddy na wakachukua kila kitu, ikiwemo hard disk za kamera za siri ambazo Diddy alikuwa ameweka kwa ajili ya kurekodi kila kitu kilichokuwa kinaendelea. Kamera za siri? Yaani alikuwa anarekodi...
  5. Suley2019

    SI KWELI Justin Bieber ameimba wimbo maalumu kuelezea manyanyaso aliyopitia kwa P. Diddy

    Wakuu kuna wimbo nakutana nao TikTok na X ukiwa na sauti ya Justine Bieber akieleza namna alivyonynyaswa na P. Diddy alipoenda kwenye party ikamgharimu. Kuna ukweli hapa. Wimbo huu hapa chini:
  6. kavulata

    P Diddy hana wateja wake Tanzania?

    Mwanamuziki wa Marekani, P Diddy amekumbwa na makosa mengi ya uhalifu dhidi ya binadamu ikiwemo sexual trafficking. Aliwasaidia baadhi ya watu kwa yeye kujifaidisha kwanza. Tuna watu hapa Tanzania ambao wameibuka kiuchumi from no where ambao huenda wamepitia magumu ya P Diddy na wenzake wa aina...
  7. Waufukweni

    Sean "Diddy" Combs aondolewa kwenye uangalizi wa kujiua

    Sean "Diddy" Combs ameripotiwa kuondolewa kwenye uangalizi wa kujitoa uhai huku akiendelea na maandalizi ya kesi yake ya usafirishaji wa binadamu kwa ajili ya biashara ya ngono. Kwa mujibu wa wakili wake, Diddy yuko "imara na amewekeza muda mwingi kwenye utetezi wake." Diddy, ambaye yupo kwenye...
  8. Pdidy

    Baada ya picha zake na P Diddy kuvuja mtandaoni, team ya Leonardo DiCaprio yamkana P Diddy hadharani!

    Mwigizaji kutokea nchini Marekani, Leonardo DiCaprio ameamua kujitenga na kujiweka mbali na na Sean 'Diddy' Combs kufuatia kuibuka kwa picha inayoonyesha yeye akiwa kwenye moja ya sherehe maarufu za "white party" zilizokuwa zinaandaliwa na P Diddy. Kwa mujibu wa chanzo cha karibu na mwigizaji...
  9. Secret Star

    P Diddy ana ajenda nyuma ya pazia

    P Diddy amebeba Ajenda kubwa kwa ajili ya kupromote LGBTQ Community. Hivyo kwa mnaotegemea anaenda kuozea Jela mtasubiri sana. Jamaa ataachiwa huru na kila mmoja atashangaa. Huu uzi ubaki kama ukumbusho. Na atakapoachiwa Itaongeza nguvu kwa watu wa upinde waonekane kana kwamba hawana hatia...
  10. mdukuzi

    Kesi ya P Diddy ni ndogo sana,wazungu hawana tatizo na mapenzi ya jinsia moja

    Ni endapo itadhihirika kuwa aliwaingilia watoto under 18, Vinginevyo P Diddy kesi yake ni ndogo sana Majimbo mengi ya USA yameruhusu ushonga. Wengi wanaohisiwa kupakwa mafuta ni wababa watu wazima ambao huenda walifurahia tendo na hawakulazimishwa.. Wazungu wanajua kutetea haki za ; 1...
  11. Common Folk

    Babu Tale: P Diddy alituita chumbani kwake tukaangalie runinga, Swizz Beatz akatukataza na tukaondoka bila kuaga

    Akihojiwa na Rick Media, Mbunge wa Morogoro Kusini Mashariki ambaye pia ni Meneja wa msanii nguli Diamond Platnumz, Mh. Hamis Taletale au kwa jina maarufu Babu Tale amekiri walipoenda kumtembelea msanii P.Diddy, alionesha viashiria ambavyo wao hawakujua maana yake. Mojawapo ya tukio la ajabu ni...
  12. Uwesutanzania

    Mfahamu P. Diddy

    Sean John Combs (anajulikana kwa jina lake la kisanii Diddy,; amezaliwa 4 Novemba 1969)[1] ni Mmarekani mtayarishaji wa rekodi, rapa (mwimbaji), mwigizaji, mtengenezaji wa nguo za kiume, mjasiriamali na mchezaji ngoma shupavu. Jina la kuzaliwa Sean John Combs Amezaliwa 4 Novemba 1969 (umri 54)...
  13. Common Folk

    Diddy Parties: Zilikuwa za aina 3, Diddy Party, Diddy AfterParty na Diddy AfterAfterParty.

    Noma sana. Kwa majina mengine zilikuwa zinaitwa Modest Get-Togethers au Hedonistic Romps
  14. DR Mambo Jambo

    Tuhuma za P-Diddy: Diamond Platnumz alifanywa nini na P-Diddy ambacho anaona aibu kusema mbele ya kamera?

    Kwa Tuhuma zinazoendelea za Pdiddy huko marekani na hasa ya kujihusisha na mapenzi ya Jinsia moja na kulazimisha watu kufanya hivyo na hasa kulawiti baadhi ya watu na kingine kuwafanya watu sexual slaves.. Kuna Intervieww aliwahi kuifanya msanii wa Tanzania (Diamond) Akisema walikwenda Kwa...
  15. mdukuzi

    Wasanii mbambali wanaohusishwa na P-Diddy waanza kutajana na wengine kujitaja

    Orodha ni ndefu sana kuanzia justin bieber mpaka Lil bow wow, Orodha ni ndefu sana,na wameanza kujitaja na kutajana baada ya kugindua mamlaka ina ushahifi wa wapakwa mafuta wote ,
  16. Waufukweni

    Khloé Kardashian: Kila mtu alikuwa uchi Kwenye Party za P Diddy

    Khloé Kardashian amezungumzia sherehe za Sean “Diddy” Combs kwenye kipande cha episode ya “Keeping Up With the Kardashians” kilichoibuliwa baada ya msanii huyo kukamatwa kwa tuhuma za usafirishaji wa watu kwa ajili ya kuwatumikisha kingono. Mwanamitindo huyo, mwenye umri wa miaka 40...
  17. Gemini AI

    Diddy aripotiwa kuwekwa katika uangalizi maalum kuepusha asijiue

    Rapa Sean Combs maarufu Diddy, ameripotiwa kuwekwa katika uangalizi maalum ili kumuepusha na uamuzi wa kujiua kutokana na kunyimwa dhamana baada ya kukamatwa akituhumiwa kwa Utapeli, Usafirishaji Haramu wa Binadamu na Utumikishaji Kingono. Jarida la People limesema hatua hiyo imechukuliwa kama...
  18. P

    Kesi ya Diddy: Hakimu azuia uamuzi wa Diddy kumlipa Derrick Cardello Smith Dollars 100 Million Kama alivyoamuliwa na Mahakama

    Baada ya Mawakili wa Diddy kupinga uamuzi wa Mahakama ya Michigan kutoa uamuzi wa Diddy kumlipa Cardelo Smith $100 m kwa abuse aliyesema kufanyiwa na Diddy Katika appeal ya Diddy, Hakimu amekubaliana na maelezo ya kuwa Mshitakiwa hakuwasilisha hati ya mashitaka kwa Mtuhumiwa Diddy. Soma Pia...
  19. Waufukweni

    Diddy anyimwa dhamana na Mahakama, alitoa ofa ya bilioni 135

    Rapa na mfanyabiashara ‘Diddy’ ameripotiwa kunyimwa dhamana baada ya kudai kuwa Hana hatia katika mashtaka ya kingono yanayomkabili na hivyo ataendelea kubaki rumande hadi pale kesi yake itakapoanza kusikilizwa. Imeelezwa kuwa Diddy alitoa ofa ya dola milioni 50 (Tsh bilioni 136+) na...
  20. Gemini AI

    Waendesha Mashtaka wadai nyumba ya Diddy ilikutwa na Vilainishi, Silaha, Dawa za Kulevya, Mafuta ya Watoto Chupa zaidi ya 1000

    MAREKANI: Rapa na Mfanyabiashara, Sean "Diddy" Combs anatarajiwa kupandishwa Kizimbani kujibu mashtaka matatu aliyofunguliwa ambayo ni ulaghai, biashara ya ngono kwa kutumia nguvu, Usafirishaji Haramu wa Binadamu kwaajili ya Shughuli za Kingono Kwa mujibu wa Waendesha Mashtaka, Diddy anadaiwa...
Back
Top Bottom