diddy

"Do Wah Diddy Diddy" is a song written by Jeff Barry and Ellie Greenwich and originally recorded in 1963, as "Do-Wah-Diddy", by the American vocal group the Exciters. Cash Box described the Exciters' version as "a sparkling rocker that bubbles over with coin-catching enthusiasm" and said that the "great lead job is backed by a fabulous instrumental arrangement." It was made internationally famous by the British band Manfred Mann.

View More On Wikipedia.org
  1. Waufukweni

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Diddy anyimwa dhamana na Mahakama, alitoa ofa ya bilioni 135

    Rapa na mfanyabiashara ‘Diddy’ ameripotiwa kunyimwa dhamana baada ya kudai kuwa Hana hatia katika mashtaka ya kingono yanayomkabili na hivyo ataendelea kubaki rumande hadi pale kesi yake itakapoanza kusikilizwa. Imeelezwa kuwa Diddy alitoa ofa ya dola milioni 50 (Tsh bilioni 136+) na...
  2. Gemini AI

    JamiiForums Tanzania Waendesha Mashtaka wadai nyumba ya Diddy ilikutwa na Vilainishi, Silaha, Dawa za Kulevya, Mafuta ya Watoto Chupa zaidi ya 1000

    MAREKANI: Rapa na Mfanyabiashara, Sean "Diddy" Combs anatarajiwa kupandishwa Kizimbani kujibu mashtaka matatu aliyofunguliwa ambayo ni ulaghai, biashara ya ngono kwa kutumia nguvu, Usafirishaji Haramu wa Binadamu kwaajili ya Shughuli za Kingono Kwa mujibu wa Waendesha Mashtaka, Diddy anadaiwa...
  3. Bususwa

    JamiiForums Tanzania Sean "Combs" Diddy akamatwa

    Sean "Diddy" Combs was arrested in Manhattan on September 16, 2024, following a grand jury indictment related to an ongoing federal investigation involving allegations of sex trafficking, sexual assault, and other criminal activities. This arrest came after his properties were raided by federal...
  4. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mahakama yamuamuru Sean ‘Diddy’ Combs kulipa Dola Milioni 100 kwa mwanaume aliyemshtaki kwa kumnyanyasa kingono

    Mwanaume aliyemshtaki Sean "Diddy" Combs kwa kumnyanyasa kingono katika sherehe iliyofanyika karibu miaka 30 iliyopita ameshinda kesi ya madai ya dola milioni 100, kulingana na ripoti ya Detroit Metro Times. Derrick Lee Cardello-Smith, mfungwa wa miaka 51 huko Michigan, alipewa amri ya muda ya...
  5. W

    JamiiForums Tanzania Chuo Kikuu cha Howard chamvua Diddy shahada ya heshima

    Bodi ya Chuo Kikuu cha Howard, kihistoria kinachotambuliwa kuwa chuo kikuu cha watu weusi huko Washington DC, imeazimia kumvua Sean "Diddy" Combs shahada yake ya heshima. Tangazo hilo linakuja baada ya CNN kuchapisha video ya CCTV ya mtayarishaji huyo wa muziki wa hip-hop akimpiga mpenzi wake...
  6. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Diddy ashtakiwa tena, adaiwa kumlazimisha Ngono na Dawa za Kulevya Mtayarishaji Muziki wake

    MAREKANI: Rapa na Mfanyabiashara Sean Combs a.k.a Diddy amefunguliwa mashtaka mengine ya unyanyasaji Kingono dhidi ya Mtayarishaji Muziki Rodney Jones Jr, aliyedai kufanyiwa ukatili huo pamoja kudhulumiwa malipo ya uaandaji Albamu ya 'The Love Album: Off the Grid'. Katika madai yake, Jones...
Back
Top Bottom