diamond

  1. K

    Kwa mwenendo huu Diamond tutamsahau baada ya miaka miwili ijayo

    Nikiwa kama shabiki kindaki ndaki wa Diamond Platnumz since kamwambie hadi leo hii, nauona mwisho wa msanii huyu kuwa hauko mbali. Diamond wa miaka miwili iliyopita siyo huyu wa sasa. Kila analogusa linaangukia pua skendo zake, kiki, na vitu vingi vya kimaendeleo hiviwi kama ilivokuwa mwanzo...
  2. Je, WasafiBet ni ya Diamond Platinumz? Ukweli huu Hapa

    Wasafi bet, ni Kampuni Iliyoundwa kwa makubaliano(Partnership)baina ya kampuni ya kubeti ya nchini Kenya inayoitwa Odibet, Mliliki Wa Odibets ni Jimmy Kibaki (Mtoto Wa Raisi Wa Zamani Wa Kenya Mwai Kibaki) Hapa Ndipo Tunapojua Kuwa Kumiliki na Kuendesha Michezo hii Inahitaji Pesa Nyingi Sana ...
  3. HATA DIAMOND KASHINDWA KUFIKISHA VIEWS MILION NDANI YA SIKU!! MABANDO YATAZIKA UMAARUFU WA SANAA YETU AFRICA.

    Mods tafadhalini msiwe mnaunganisha uganisha thread zetu kwenye nyuzi za zamani, Kiutani utani sanaa yetu naenda kufutika katika ramani ya Africa, Sanaa yetu ya muziki ilikuwa inapaa kwa kasi ila kwa sasa haya mabando yamekata mbawa. Hata hizo tuzo za bet, views zilikuwa na nafasi yake kumpa...
  4. I

    Kinachotokea kwa Diamond Platnumz sasa hivi

    Mashabiki wengi wa Diamond Platnumz aka Simba watakua sasa wanajiuliza kimetokea nini kwa msanii wao pendwa kutoa ngoma za hadhi isiyotegemewa kutoka kwake. Hasahasa mwaka huu tukianzia nyimbo ya Kamata, Gimmie na hii sasahivi ya Unachezaje ndo kabisaa haiendan na hadhi ya msanii tunayemjua na...
  5. F

    Diamond Platnumz apewe shahada ya falsafa ya heshima

    Mwanamuziki nguli anayetamba duniani kwa kazi zake na ukwasi mkubwa Naseeb Abdul Juma Issack almaarufu kama Diamond Platnumz anastahili kupewa tuzo ya heshima ya udaktari wa falsafa na vyuo maarufu duniani kwa jinsi ya mchango wake kwa mtu mmoja mmoja, jamii kwa upana wake, taifa/serikali...
  6. Je, ni jeuri ya pesa? Diamond atembeza R-R bila plate number kwenye usiku wa WASAFIBET

    Usiku wa tarehe 10 December wadau mbalimbali wa burudani na michezo waliweza kushuhudia uzinduzi kabambe kwa WASAFIBET. Katika uzinduzi huo C.E.O na boss wa wasafi media alionekana akiwasili ukumbini ndani ya gari yake ya kifahari kabisa RR ikiwa na bila namba ya utambulisho maalum. Bado...
  7. Ali Kiba aizungumzia Wasafi Bet, asema yeye hana mpango wa kufungua kampuni ya betting kwa sababu dini yake hairuhusu, hajajua kuhusu dini ya Diamond

    Msanii wa muziki wa Bongo fleva Ali Kiba alisema hayo alipoulizwa kama na yeye ana mpango wa kufungua kampuni ya betting kama msanii mwenzake.
  8. Hamisa Mobetto akanusha madai ya kumkomoa X wake Diamond Platnumz

    Mwigizaji maarufu Bongo Hamisa Mobetto amepuuzilia mbali madai kwamba amekuwa akionekana sana na watu mashuhuri duniani kwa sababu anajaribu kumkomoa aliyekuwa mpenzi wake Diamond Platnumz. Akiwa kwenye mahojiano na wanahabari, Mobetto aliweka wazi kwamba kwa kawaida yeye huwa hana matatizo...
  9. Diamond Platnumz amuiga Rick Ross kufuga ndevu

    Huyu bwana wa kuiga iga hakimpiti kitu 😂 ati na yeye ameamua kudunduliza vindevu vyake ili awe kama Rick Ross ( rich forever). Basi kwa vile anafuga vindevu mda si mrefu ataanza kujitangaza amekua tajiri zaidi ya Bill Gates 👀 Picha ya chini ni Diamond Platnumz akiwa na muonekano mpya wa kirich...
  10. Black Diamond Apples from Tibet

    Black Diamond Apples from Tibet The Black Diamond apple is a rare breed from the family of Huaniu apples that is cultivated in the Tibetan region of Nyingchi. Despite what the name suggests, the apple rather is a purple hue, with white pulp on the inside. Its unique color is due to the...
  11. Mkubwa Fella adai hakuna msanii anastahili kulinganishwa na Diamond Platnumz Bongo

    Meneja wa Diamond Platnumz, Mkubwa Fella amesisitiza kwamba mwanamuziki anayewakilisha ndiye kigogo wa muziki nchini Tanzania. Akiwa kwenye mahojiano ya hivi majuzi na Mbengo TV, Fella ambaye pia ni mwanasiasa alisema kwa sasa hakuna mwanamuziki anayestahiki kulinganishwa na Diamond Platnumz...
  12. Zuchu: Diamond Platnumz alinipata nikiwa masikini na kunitunza kama mtoto wake

    Msanii Zuchu ni miongoni mwa wasanii ambao wamesajili katika lebo ya WCB inayomilikiwa na staa wa bongo Diamond Platnumz. Baada ya kujiunga na lebo hiyo Zuchu ameonekana akiinuka kutoka kiwango kimoja hadi kingine kutokana na biii yake. Ni msanii ambaye ana uhusiano mwema na wa karibu na...
  13. Diamond Platnumz kujenga arena kubwa ya burudani

    Katika kuendelea na uwekezaji msanii namba moja Africa, Diamond Platnumz anakuja na investment ya ukumbi mkubwa wa burudani. Arena hiyo itayoweza kuchukua mpaka watu 20,000 itakuwa na kumbi za muziki, maduka, migahawa na lounge. Itakuwa solution ya kilio cha muda mrefu kwa wapenzi wa burudani...
  14. Diamond anashindwa kufanya Timing nzuri katika biashara zake

    Kwanza nimpongeze kwa jitihada anazofanya kwani zimekuwa motisha kwa vijana wengi ambao wanapenda sana umaarufu wake kuliko jitihada alizoonesha na harakati ngumu alizopitia. Niwakumbushe vijana mpaka anafika pale bwana Almasi haikuwa kazi nyepesi, na kama mlivyo sikia kwa mahojiano...
  15. Diamond aendelea kumkimbiza Rayvanny

    Msanii namba moja Tanzania Diamond Platnumz anaendelea kumkimbiza msanii namba mbili Tanzania Rayvanny. Licha ya Diamond kutoachia wimbo hivi karibuni, bado anaendelea kumpa wakati mgumu mpinzani wake halisia kimuziki Rayvanny. Pia tunaona anajitokeza mara zote kwenye charts msanii chipukizi...
  16. Baba mzazi wa Diamond Platnumz Mzee Abdul Juma ametoa wito kwa mwanawe kuelewana na Harmonize

    Baba mzazi ya Diamond Platnumz, Mzee Abdul Juma ametoa wito kwa mwanawe kuelewana na mwenzake wa zamani Rajab Abdul Kahali almaarufu kama Harmonize. Alipokuwa kwenye mahojiano na Mbengo TV hivi majuzi, mzee Abdul alimsihi Diamond ashiriki kikao na Harmonize wazungumzie tofauti zao na...
  17. Hakuna msanii mwenye pumzi ya kukimbizana na Diamond kiuchumi, biashara zinamlipa kuzidi muziki

    kumlinganisha diamond kiuchumi na wasanii ambao wengi wao hata linapokuja swala la usafiri wanavimba na toyota crown za miaka kumi iliyopita, inakuwa sio fair Sote tunajua ya kwamba kuanzisha biashara kubwa ni gharama kubwa na ni hatari endapo ukila za uso, unaweza kuanzisha biashara mbili...
  18. Zari Hassan (The Boss Lady) ataja sababu zilizovunja mahusiano yake na Diamond Platnumz

    Zari amefichua miongoni mwa sababu zilizomfanya kumwacha staa wa bongo Diamond Platnumz ni kwa sababu ya kutokuwa mwaminifu mfululizo. Anasema wasichana walikuwa wengi na katika baadhi ya matukio, kulikuwa na mimba zinazohusika. Akizungumza wakati wa mahojiano ya wazi na Toke Makinwa, Zari...
  19. Diamond afanya uwekezaji mkubwa kwenye betting...Atambulisha rasmi Wasafi betting

    Diamond Platnumz msanii namba moja Africa ameendelea kuonyesha ubabe wake kwenye kila kona kuanzia muziki mpaka uwekezaji. Ametambulisha rasmi biashara yake mpya ya Wasafi betting. Ama kwa hakika vijana wapambanaji tuna mengi ya kujifunza kwa huyu living legend. Tunakiwa tupate hamasa kwa...
  20. Diamond atambulisha Wasafi Bet

    Mwaka juzi diamond akiohojiwa alisema kwamba anawazo la kuanzisha kampuni ya kubet lakini watu wengi walimcheka na wengine kumdhihaki kwamba hana huo uwezo leo hii rasmi ameitambulisha kampuni hiyo na kuipa Jina la WASAFI BET.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…