dhuluma

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    KERO Dhuluma ya Likizo katika Ofisi zetu za Umma

    Imefika wakati sasa wa kuizungumzia tamaduni inayozidi kushamiri katika baadhi ofisi zetu za umma: Kitendo cha kufanya likizo ya mwaka ionekane kama "kosa la jinai." Kwa watumishi wengi, kitendo cha kuwasilisha fomu ya kuomba likizo kimekuwa kama chanzo cha unyonge mahali pa kazi. Badala ya...
  2. A

    KERO Shirika la Umeme Zanzibar mnatukwaza kukata umeme mara kwa mara maeneo ya Kwahani na mnajua kuna Kituo cha Afya, Ziwani Police Health Center

    Mimi ni Mkazi wa Zanzibar katika Mkoa wa Mjini Magharibi, Wilaya ya Mjini. Kero yangu ni kwa Shirika la umeme Zanzibar (ZECO). Wamekuwa na muendelezo wa kukata umeme mara kwa mara maeneo ya Kwahani, ikizingatiwa sehemu hiyo kuna Kituo cha Afya, Ziwani Police Health Center kinachotoa Huduma za...
  3. Just Pray

    Padri Wigira: Wengine wanapata uongozi kwa Dhuluma, Rushwa, wewe uliyeingia kwa njia hizo sio chaguo la Mungu

    Kiongozi anatakiwa kuwa Chaguo la Mungu, Wengine wanapata uongozi kwa Dhuruma, Rushwa, wewe uliyeingia kwa njia hizo sio chaguo la Mungu, na Mungu anakukataa kama alivyomkataa sauli. Padre Denis Wigira ameyasema hayo katika Adhimisho la Misa ya Jioni Jumanne 20/1/2026 ikiwa sasa Kanisa lipo...
  4. H

    Asili ya Mwanadamu ni Mchukia Dhuluma. Serikali Dhulumati Itatengeneza Maadui Wengi Sana Dhidi Yake kwa Kukumbatia Dhuluma

    Asili ga binadamu ni kupenda haki, mwanadamu kupenda dhuluma ni kitu ambacho huwa kinapandikizwa na kutengenezwa. Kazi ya kupandikiza dhuluma huwa ni ngumu sana na huwa haishindi kwa sababu inapingana na asili ya binadamu. Siku zote, mwanadamu ambaye dhamira yake haijaharibiwa, husimama na...
  5. T

    Wakina mama, kesho ni siku yenu ya kudai haki juu ya dhuluma na ukatili uliofanywa kwa watoto wenu

    Hii sio vita ya vijana peke yao, tarehe 29 waliopitia mateso zaidi ni nyie kina Mama ambao uhai na ndoto za watoto wenu ulikwapuliwa kwa ukatili mkubwa sana. Ukatili huu ukiongozwa na mwanamke mwenzenu D9 ni siku yenu ya kupigania damu ya watoto wenu iliyomwagika mbele ya macho yenu wakipania...
  6. Mr Why

    Hongera sana NMB Bank kwa kuthamini utu, hakika ninyi ni bank bora kila Mtanzania ni shuhuda wa maneno haya, mnasifika kwa kuepuka dhuluma

    Hongera sana NMB Bank kwa kuthamini utu, hakika ninyi ni bank bora kila Mtanzania ni shuhuda wa maneno haya, mnasifika kwa kuepuka dhuluma kwa wateja wenu Mnaonesha uaminifu wa hali ya juu na taarifa zote za miamala kwa wateja wenu ni za wazi na zenye maelezo yanayojitosheleza Tangu mtoe...
  7. H

    GE2025 Rais Samia itafute hekima, ukiwasikiliza waovu, utajutia ukiwa peke yako

    Kwa hapa tulipo, Rais Samia unahitaji sana hekima yako binafsi kuliko ushauri wa uovu kutoka kwa waovu waliokuzunguka. Ufahamu kuwa kila uovu unaoendelea nchi hii, yakiwemo matukio ya ushetani mkubwa kama vile kuteka na kuwaua wanaokukosoa, kumbambikia kesi Lisu, watu wanaoenda kisikiliza kesi...
  8. M

    Nikija kuwa Rais huko mbeleni.

    Huko mbeleni nikifanikiwa kuwa Rais wa Nchi, jeshi langu la ulinzi litafanya kazi kuu 4. 1. Kulinda mipaka ya Nchi. 2. Kulinda rasilimali za Nchi yetu. 3. Kulinda HAKI za Watanzania kwa kuhakikisha hakuna mhimili au chombo chochote kinatumia mabavu na vyombo vyake kupora HAKI za Watanzania...
  9. S

    Timu ya Jangwani wana dhuluma sana Sema waandishi wengi wako upande wao

    Mnajitia sifa kusajili wachezaji kumbe huku nyuma mnadhulumu akina Prince, ni basi tu timu yetu ya Msimbazi haina viongozi ndio maana utopolo wanatamba.
  10. J

    PreGE2025 Ushindi wa kishindo kwa hali hii ni dhuluma!!!

    Tuna amini kwamba tawala zote duniani utoka kwa Mungu! Ni kweli maana Mungu ndo muumba wa vitu vyote! Chaguzi zote za haki ni sehemu ya kumpendeza Mungu! Chaguzi za dhuluma ni machukizo ya Mungu! Kama kuna watu wanalalamika automatically ni chaguzi za kuzimu! Ndo maana tunaona ardhi imepanua...
  11. M

    PSSSF kulipa fao la wategemezi kwa warithi walio chini ya miaka 18 ni dhuluma kubwa

    Inasemekana kuwa kuna kanuni mpya za kulipa fao la wategemezi ambazo zimeanza kutumika mwaka huu 2025. Hapo awali mstaafu ambae alikuwa mtumishi akifariki ilikuwa warithi wanalipwa miezi 36 ya mafao ya marehemu . Ila sasa kanuni zinabagua kwamba watalipwa warithi amaboa wana umri chini ya...
  12. itakiamo

    MX Carter ni Nani? Na Kwanini Wasanii Wanalalamika Kuhusu Dhuluma Zake?

    Habari za wakati huu wadau wa JamiiForums, Kumekuwa na gumzo kubwa mitandaoni kuhusu mtu anayejulikana kwa jina la MX Carter. Inaonekana kuwa jina hili limehusishwa sana na masuala ya usambazaji wa kazi za wasanii kwenye majukwaa ya kidijitali kama YouTube, Spotify, na mengineyo. Kinachoshangaza...
  13. H

    Kwanini kila dhuluma dhidi ya watanganyika inasimamiwa na watawala wageni?

    Tanganyika na Zanzibar zilungana nusu, na kutengeneza Tanzania. Ni muungano nusu kwa sababu Zanzibar iligoma kuingia kwenye muungano kamili, iliendelea kuwa na Serikali yake, na inajitambulisha kama ni nchi, na tena yenye mipaka yake. Hoja muhimu hapa, ni kwa nini kila dhuluma kubwa dhidi ya...
  14. Waufukweni

    CHADEMA yalaani kufutwa kwa Kanisa la Askofu Gwajima, wadai ni dhuluma na ukiukwaji wa uhuru wa kuabudu

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimelaani vikali hatua ya Msajili wa Jumuiya za Kiraia kulifuta kanisa la Ufufuo na Uzima, likiuita uamuzi huo kuwa wa kidhalimu na unaokiuka uhuru wa kuabudu kama unavyolindwa na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Pia soma > ACT Wazalendo...
  15. ngara23

    BAKWATA tokeni hadharani kukomea dhuluma za watawala

    BAKWATA ni Moja kati ya taasisi kubwa ya kidini hapa nchini Sijui jukumu lake ni kuangalia mwandam wa mwezi na kutangaza sikukuu ya Eid tu au kuchinja ngamia pale uwanja wa Biafra Kinondoni Kuna dhulumu za watawala wanatenda Kwa wapinzani ikiwemo kubambikizia kesi watu za uhaini, kunyima...
  16. Paspii0

    Ukiona dhuluma na ukanyamaza,Je dhamiri yako inasemaje?

    👉🏾Dhamiri ni ile sauti ya Mungu rohoni inayotuambia ni sawa au si sawa, ni mema au ni mabaya. Ni muhimu inatufundisha kutenda haki, na hutoka kwa Mungu mwenyewe, kama ilivyo katika Warumi 2:15, ambapo inasema; "Kwa maana ni ishara ya kazi ya sheria ya Mungu iliyo katika mioyo yao, wakijua kuwa...
  17. Determinantor

    Hatimae Vijana wa CHADEMA waliopewa kesi ya UBAKAJI na CCM washinda dhuluma

    Yale MASHETANI YA CCM KWA KUTUMIA MASHETANI YA POLISI YAMEAIBIKA THOUGH KWA KUCHELEWA Wanachama wa CHADEMA, Katala Kikaja na Ng'hulima Lilanga, wakazi wa kata ya Dutwa, Wilaya ya Bariadi, walihukumiwa kitumikia kifungo cha maisha gerezani. Katala Kikaja na Ng'hulima Lilanga walikuwa mawakala wa...
  18. Mr Why

    Marekani ni Taifa lenye dhuluma ya Kibiashara tangu enzi za s lol slave trade, haikuishia hapo bado linaendeleza dhuluma hiyo kwa TikTok

    Marekani ni Taifa lenye dhuluma ya Kibiashara tangu enzi za Biashara ya utumwa, haikuishia hapo bado linaendeleza dhuluma hiyo kwa TikTok Hili Taifa la Marekani linanuka laana ya dhuluma waliotendewa mababu zetu kipindi cha biashara ya utumwa Taifa la Marekani limekuwa ni Taifa lisilotaka...
  19. Mr Why

    Dhuluma ya viwanda vya kufungasha mitumba China, sababu kuu ya kumzuia mke wangu kufanya biashara ya mitumba

    Wakuu mke wangu alikua muuza mitumba sasa ile biashara huwa wananunua yale mabando ya nguo na huwa linafungashwa mchanganyiko wa nguo tofauti Sasa kwa mara kadhaa kila alipokuwa akifungua ili achague nguo za kufanya usafi ili aanze kuuza huwa alikutana na taka nyingi sana za matambara...
  20. The Father of All

    Dunia inawezaje kukomesha dhuluma na ukatili vya Allah na Jehova

    Ninapoandika kuna watu wasio na hatia wameuawa nchini Uganda eti kisa ni kubadili dini toka uislam kwenda ukristo. Hii ni kutokana na maagizo ya Mohamed kuwa atakayeretadi auawe. Kwanini watu wanaopingia kwenye uislam hawaambiwi hili na kwanini iwe haki kuingia lakini siyo kutoka? Nchini...
Back
Top Bottom